Hivi kwanini klabu ya Yanga inashindwa kuheshimu Logo za Klabu Nyingine!

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Messages
19,976
Points
2,000

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2015
19,976 2,000
Cha ajabu anayelalamikia logo ni mkia.Yani mkia logo ya Mbeya city inakuuma wakati wenye Mbeya city wako kimya.Unadhani wewe mkia unaakili kuliko timu zote za ligi kuu Kiroporopo wa mikia Manara?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mmoja ana nafasi yake katika kuelezea jambo, kuna wakati lazima tusimame kama wadau wa soka kwa maslahi mapana ya soka hata kama tuna Usimba na Uyanga

Kutolalamika kwao City si kigezo cha wewe kufanya uharibifu..Tafakari..!
 
Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Messages
19,976
Points
2,000

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2015
19,976 2,000
Suala la Logo sioni shida kwa sababu logo zinabadilika.Kaangalie logo ya man u ya msimu uliopita na msimu huu kama rangi ya logo ni moja?mbona ya saiz imewekewa rangi nyeusi mpauko?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wewe uko mbali na tunachozungumza, hatujadili timu yenyewe kubadilisha logo.

Tunasema kuhusu timu kama Azam FC kuiboresha logo ya timu nyingine kama Ndanda FC, lete page Official tuone kama kuna timu inaweza kufanya huo ujinga ambao umekuvaa kichwani..!

Angalia picha hapo, mbona ngumu kuelewa
IMG_20200214_112745_678.jpeg
IMG_20200214_113127_012.jpeg
 
Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Messages
1,306
Points
2,000

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2016
1,306 2,000
Muulizeni Uchebe sehemu au club yenye viongozi waongo wasioenda shule.

Club ambayo viongozi wake na mashabiki ni maboya fuata upepo.

Mkifungwa mechi moja tu, kocha hafai. Kesho mkishinda, mnajidai hata aje Barca hatoki.
Siyo kwamba tumsikilize Zahera kuhusu Viongozi Wanaingilia Majukumu ya Kocha na bench la ufundi..
 
Louis II

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Messages
2,721
Points
2,000

Louis II

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2018
2,721 2,000
Hili jambo sasa limetamalaki mno kwa Viongozi, pamoja na Graphic Designer wa Yanga, kutoheshimu logo za timu nyingine, jambo ambalo si sawa kwakweli, wenye mamlaka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, BMT, TFF mbona kimya kwa hili? Kulikoni.

Mbona kampuni ya simu Vodacom na GSM ambao ni wadhamini wenu wamewaheshimu na kukubali kubadili rangi zao nyekundu na kuweka rangi zenu, kwanini Yanga haiheshimu logo ya timu zingine?

Logo ni sehemu muhimu sana ya utambulisho wa brand yoyote ikiwa ni klabu, Kampuni au Taasisi, ambayo inakuwa na rangi maalum tofauti tofauti ambayo inapaswa kuitambua na kuiheshimu, lakini kwa Yanga hili jambo wameshindwa kabisa na kulitambua kulifanyia kazi.

Kama wapinzani wao wa jadi Simba wanatumia rangi nyekundu ambayo kwa mila za Yanga hawawezi kuiweka hiyo haina shida, lakini je timu nyingine za Azam FC, Ruvu Shooting, Mbeya City? Kwanini mnaharibu logo za timu zao?

Huu ni ushamba uliopitiliza ambao hausaidii chochote katika maendeleo ya soka la Tanzania, haiwezekani timu takriban 20 kwenye VPL hawafanyi huu ujinga halafu Yanga pekee ijione iko sawa katika hili, kwingineko hii ni kesi kubwa sana ambayo inaweza kuigharimu klabu, lakini hapa wahusika wanachukulia kawaida tu.

•••Nawasilisha

View attachment 1356275 View attachment 1356276 View attachment 1356277 View attachment 1356278
Yanga ni timu inayojiendesha Kijima mno...Kiufupi ni stagnant kabisa.
 
innocent dependent

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Messages
2,320
Points
2,000

innocent dependent

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2019
2,320 2,000
Muulizeni Uchebe sehemu au club yenye viongozi waongo wasioenda shule.

Club ambayo viongozi wake na mashabiki ni maboya fuata upepo.

Mkifungwa mechi moja tu, kocha hafai. Kesho mkishinda, mnajidai hata aje Barca hatoki.
Ebu weka ushabiki pembeni tujadili hili Jambo kwa uzito wake.
 
Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
15,624
Points
2,000

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2014
15,624 2,000
Muulizeni Uchebe sehemu au club yenye viongozi waongo wasioenda shule.

Club ambayo viongozi wake na mashabiki ni maboya fuata upepo.

Mkifungwa mechi moja tu, kocha hafai. Kesho mkishinda, mnajidai hata aje Barca hatoki.
Ufafanuzi wa uchebe huu hapa
Mo.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Messages
19,976
Points
2,000

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2015
19,976 2,000
Zingine hizo.Kwa hiyo logo hazina shida labda kama logo mfano ya simba mnyama aliyeko kwenye logo wao wakaamua kuwa swala au nyani.Hapo utasema logo haiheshimiwi
TUSIISHI KWA KUKARIRI. View attachment 1357622 View attachment 1357623

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga wa kuharibu uzi kwa kujaza usichokijua, timu kama timu ina uwezo wa kubadili logo wanavyotaka.

Narudia tena Man Utd hawawezi kuiboresha Logo ya Man City, kama ipo Official lete hapo.
IMG_20200214_112745_678.jpeg
 
ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
2,857
Points
2,000

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
2,857 2,000
Hili jambo sasa limetamalaki mno kwa Viongozi, pamoja na Graphic Designer wa Yanga, kutoheshimu logo maalum za timu nyingine, jambo ambalo si sawa kwakweli, wenye mamlaka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, BMT, TFF mbona kimya kwa hili? Kulikoni.

Mbona kampuni ya simu Vodacom na GSM ambao ni wadhamini wenu wamewaheshimu na kukubali kubadili rangi zao nyekundu na kuweka rangi zenu, kwanini Yanga haiheshimu logo ya timu zingine?

Logo ni sehemu muhimu sana ya utambulisho wa brand yoyote ikiwa ni klabu, Kampuni au Taasisi, ambayo inakuwa na rangi maalum tofauti tofauti ambayo inapaswa kuitambua na kuiheshimu, lakini kwa Yanga hili jambo wameshindwa kabisa na kulitambua kulifanyia kazi.

Kama wapinzani wao wa jadi Simba wanatumia rangi nyekundu ambayo kwa mila za Yanga hawawezi kuiweka hiyo haina shida, lakini je timu nyingine za Azam FC, Ruvu Shooting, Mbeya City? Kwanini mnaharibu logo za timu zao?

Huu ni ushamba uliopitiliza ambao hausaidii chochote katika maendeleo ya soka la Tanzania, haiwezekani timu takriban 20 kwenye VPL hawafanyi huu ujinga halafu Yanga pekee ijione iko sawa katika hili, kwingineko hii ni kesi kubwa sana ambayo inaweza kuigharimu klabu, lakini hapa wahusika wanachukulia kawaida tu.

•••Nawasilisha

View attachment 1356275 View attachment 1356276 View attachment 1356277 View attachment 1356278
Team haina ata uwanja wa mazoezi
 
Forum statistics

Threads 1,389,312
Members 527,908
Posts 34,022,705
Top