Hivi kwanini klabu ya Yanga inashindwa kuheshimu logo za klabu nyingine?

Muulizeni Uchebe sehemu au club yenye viongozi waongo wasioenda shule.

Club ambayo viongozi wake na mashabiki ni maboya fuata upepo.

Mkifungwa mechi moja tu, kocha hafai. Kesho mkishinda, mnajidai hata aje Barca hatoki.
Siyo kwamba tumsikilize Zahera kuhusu Viongozi Wanaingilia Majukumu ya Kocha na bench la ufundi..
 
Siyo kwamba tumsikilize Zahera kuhusu Viongozi Wanaingilia Majukumu ya Kocha na bench la ufundi..
Mchezo wa kuingilia bench la ufundi kwa maana ya kutaka kumpangia kocha wachezaji upo well documented kwenye club ya Simba.
 
Muulizeni Uchebe sehemu au club yenye viongozi waongo wasioenda shule.

Club ambayo viongozi wake na mashabiki ni maboya fuata upepo.

Mkifungwa mechi moja tu, kocha hafai. Kesho mkishinda, mnajidai hata aje Barca hatoki.
Ebu weka ushabiki pembeni tujadili hili Jambo kwa uzito wake.
 
Muulizeni Uchebe sehemu au club yenye viongozi waongo wasioenda shule.

Club ambayo viongozi wake na mashabiki ni maboya fuata upepo.

Mkifungwa mechi moja tu, kocha hafai. Kesho mkishinda, mnajidai hata aje Barca hatoki.
Ufafanuzi wa uchebe huu hapa
Mo.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo Valentine's Day
Hata Yanga Wamevaa Nguo Nyekundu 😅😄😃😂😁😁😍😍😘😋🤩🤩
 
Acha kusumbuka na vitu vilivyozidi uwezo wako. Fata ya timu yako haya ya Yanga huyawezi. Yaani wenye biashara zao wamekubali wewe nani hadi ubweke? Hujistukii?
 
Dah hili la logo uongozi wa Yanga imetuabisha kwakweli sijaona matinki ya kushindwa kuwawekea logo halisi ya timu pinzani inayoenda kupambano nazo.

Ni moja ya mambo ya kiswahili sana uongozi unafanya kwenye hili. Inabidi huyo mtaalam wa uendeshaji wa timu kisasa aliyeletwa aanze na kuwabadilisha viongozi kwanza kutoka kwenye fikra za kijinga na kipumbavu kama hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Imekuaibisha wewe peke yako sisi wengine tunaunga mkono hilo suala
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom