Hivi kwanini klabu ya Yanga inashindwa kuheshimu logo za klabu nyingine?

Upumbavu ni kukosa akili njema katika ufahamu na bado ukawa katika hali ya kujiona kuwa una akili njema kuliko wengine. Zaburi 53: 1

IMG_20200306_105745_461.jpeg
 
Hao akna mwakiembe + BMT + wachambuzi ni fake San na wanafiki hawawezi sema hilo utasikia marefa wanaibeba simba ,wanasahau logo ni biashara na inalipa kodi kwa namna moja au nyingine hivyo kuishambulia au kuizofisha logo ya timu ni kuhujumu uchumii na kugushi nyaraka za serikal especially apo kwa mbeya city ambayo ni ya serikali kupitia jiji la mbeya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom