Hivi kwanini klabu ya Yanga inashindwa kuheshimu logo za klabu nyingine?

Muulizeni Uchebe sehemu au club yenye viongozi waongo wasioenda shule.

Club ambayo viongozi wake na mashabiki ni maboya fuata upepo.

Mkifungwa mechi moja tu, kocha hafai. Kesho mkishinda, mnajidai hata aje Barca hatoki.
Unategemea nini kama timu ina mashabiki au wanachama kama weweee! Unaelezwa tatizo la msingi, wewe unarukia mengine!
 
Mimi ni shabiki wa MBEYA City (timu ya nyumbani) na ndio maana nikaweka kiambatanisho hapo juu. Nembo ya timu yetu ninayoijua haina rangi hiyo pichani. Na Nadhani huu ndio msingi wa hoja iliyopo mezani. Je, hili (kuweka nembo timu katika rangi isiyostahiki) lina uhusiano gani na GSM au Vodacom mkuu kama ulivyotuhumu hapo juu ?
Wewe ni shabiki wa mbeya city.Muulize Kimbe kuwa kwa nini hawajalalamika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimegunduaa nyie ni mbumbumbu ambao mnabweka tu bila hatua zozote kama yanga anaafanya kosa mbona hamumfungulii kesi? Si mna haki miliki ya hizo logo? Fungueni kesi basi ya kubadilishiwa logo zenu. Katika siku zote, miaka yote Yanga amekuwaa na utaratibu huo na ni tradition kuwa hakuna rangi nyingine zaidi ya hizo,
Mbona hakuna timu yoyote iliyopeleka malalamiko kuwa logo yao imebadilishwa?
Kiko wapi? Naona umegonga ukuta kwa hoja yako dhaifu kupita maelezo

Kuna mwenzako naye alikuja kutetea huu ujima, alivyopewa dawa ya kutuliza hayupo tena, nadhani aliamka usingizini na kuanza kuropoka.

We ni wale wale kinachosema tofauti na unachokijibu, matokeo yake umeishia nenda mahakamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haijaniuma sana, ila nimeshangaa. Sitokwenda mahakamani. Moja kati ya kazi za majukwaa Kama haya ni kujadili mambo mbali mbali ili angalau kuufikisha mpira wetu kwenye kiwango bora zaidi. Huenda unaipenda mno Yanga na hata usilione hilo kama ni tatizo. Au pengine hii ni Yanga mpya isiyokubaliana na logo za timu nyingine zisizokua na rangi ya manjano na kijani maana hapo kabla sijawahi kuona logo za namna hiyo.
Ninakubali kutofautiana nanyi (wenye msimamo kama wako) katika hili.
Huo ni utaratinu ambao haaujaanza leo wala.jana Yanga kufanya hivyo, kuna miaka ya nyuma wadhamini walikuwa kilimaanjaro nao walileta mgomo huo ila mwishoo wa siku walikubaliana na Yanga timu ya wananchi na maisha yakaendelea.

Kamaa unaona yanga inakosea, ishauri hiyo timu yako inayobadilisshiwa logo ikashtaki, si mna hakimiliki na mmeisajili logo yenu bassi nendeeni mkashtaki muone nguvu ya Yanga ilivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga hakuna mahali wamebadili logo ya timu ya watu.Jielishe kwanza usitie uzoefu kwenye mambo ya weledi.Upo hapo wewe huna akili kuzidi wenye timu ngoja tarehe 8/3 /tuweke logobya simba ya njano ndo ufe uzimie kabisa.rangi haina effect yoyote kwa logo wala kmpuni ndio maana Vodacom logo yao ni nyekundu lakin kwa Yanga wanatumia nyeusi.Sasa wewe endelea kushikia bango jambo ambalo liko juu ya akili yako.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tumia akili wewe Mbute, hivi hii ndo logo ya Ruvu Shooting? Kuandika tu kunakushinda hata kuona vile vile huoni?

Ubishi umekujaa utadhani anaelewa vile kumbe kichwani empty, nenda kajifunze kuandika kwanza.

tapatalk_1581715199610.jpeg
 
hivi unajuaa maana ya logo kufanyiwa marekebisho kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app

Angalia swali nilivyomuliza chura mwezako, hii ndo logo ya Ruvu Shooting? Nikikusudia kuiweka rangi ya njano na kijani, soma mada upate kuelewa ili huo ubongo wako uliofungwa ufunguke..!

Kiswahili cha kufanyiwa marekebisho logo nimeandika wapi? Mjinga wewe!
 
Huo ni utaratinu ambao haaujaanza leo wala.jana Yanga kufanya hivyo, kuna miaka ya nyuma wadhamini walikuwa kilimaanjaro nao walileta mgomo huo ila mwishoo wa siku walikubaliana na Yanga timu ya wananchi na maisha yakaendelea.

Kamaa unaona yanga inakosea, ishauri hiyo timu yako inayobadilisshiwa logo ikashtaki, si mna hakimiliki na mmeisajili logo yenu bassi nendeeni mkashtaki muone nguvu ya Yanga ilivyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sawa, hata kama ni utaratibu ambao umekuwapo kwa miaka na miaka (kwa mujibu wa madai yako) ila ni utaratibu mbovu.
Nimekuambatanishia hapa chini logo sahihi za timu ya Simba, Alliance na Iringa United na zilipostiwa kwenye official instagram page ya hiyo hiyo Yanga. Sijui ni kipi kiliharibika.
Screenshot_20200215-052357.jpg
Screenshot_20200215-052528.jpg
Screenshot_20200215-052438.jpg
 
Unategemea nini kama timu ina mashabiki au wanachama kama weweee! Unaelezwa tatizo la msingi, wewe unarukia mengine!
Mbona kelele nyingi sana?

Rais wa TFF ni Simba.
Katibu Mkuu ni Simba.
Rais bodi ya Ligi ni Simba.
CEO wa bodi ni Simba.

Kwa nini wote hao wasilifanyie kazi kwa manufaa ya Mikia?
 
Mbona kelele nyingi sana?

Rais wa TFF ni Simba.
Katibu Mkuu ni Simba.
Rais bodi ya Ligi ni Simba.
CEO wa bodi ni Simba.

Kwa nini wote hao wasilifanyie kazi kwa manufaa ya Mikia?
Kuna wakati lazima tusimame kama wadau wa kandanda nchini, tukiachia mbali ushabiki, ndo maana tulitoa mifano ya rangi ya logo ya Mbeya City na Ruvu Shooting.

Mkuu acha mahaba yasiokuwa na maana, hivi leo Simba SC awe mwenyeji wa mchezo halafu waweke rangi nyekundu logo ya Yanga ni sahihi?
 
Uswahili huu!
Ndio maana mashabiki wengi wa Yanga ni wale wajinga wajinga si ajabu mmewaaambia ni timu ya mabeberu
Yanga inafuata katiba yake iliyokuwepo toka enzi za mkoloni? unajua kwa nini yanga ilipiga marufuku g rangi nyekundu? sababu ni kwamba enzi za mkoloni wakati yanga inashiriki kwenye harakati za kupigania uhuru, klabu ya simba ikiitwa sunderland walikuwa mstar wa mbele kushirikiana na mkoloni kuwapinga waafrika waliokuwa wanapigania uhuru, simba walikuwa wasaliti na ndio sabab ya rangi nyekundu kupigwa marufuku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia akili wewe Mbute, hivi hii ndo logo ya Ruvu Shooting? Kuandika tu kunakushinda hata kuona vile vile huoni?

Ubishi umekujaa utadhani anaelewa vile kumbe kichwani empty, nenda kajifunze kuandika kwanza.

View attachment 1357978
Mjinga wewe.Kuna rangi halafu kuna logo.Ndo maana nilikuonesha pale juu kuwa logo unaweza kuitia rangi yoyote na isitie shaka.Ndo maana vodacom walibadili logo yao hadi kuwa nyeusi.Logo ni yale mapicha au alama zilizomo ndani ya logo na sio rangi.Unaweza kuondoa marangi yote kwenye logo ya simba hayo marangi mekundu.Ilmradi hatujamwondoa simba na maneno ya kwenye logo hiyo ni logo halali ya timu.Halafu wewe mpumbavu unatakiwa ujue masuala ya official announcement na masuala ya entertainment.Hapo yanga ni matangazo ndo maana tangazo wanaliweka kama wanavyotaka kuvutia watu wao.Lakin wakitaka kutumia nembo official watatumia.Hizo ni nembo za kampuni ya jeshi unadhani Yanga ni wajinga kuweka kwa rangi tofauti?

Mikia mna aleji na rangi nini mbona kwenye voda mlishupalia wenzenu wakakausha hata hili wenye timu hawalalamiki lakin wewe ngwambalu ndo unashikia bango.shame on you.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe ni mbumbumbu+ hivi unajuaa maana ya logo kufanyiwa marekebisho kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa atakuwa mkuu wa mambumbumbu(Manara) yeye anadhani rangi ndio logo.Hajui kuwa logo ni alama tu zilizoko kwenye mfumo fulani.Saiz man u wanatumia logo yenye weusi na njano zaman walikuwa wanatumia rangi nyekundu na nyeupe lakin mbumbumbu ataelewaje mambo madogo kama haya.Nadhani mzee mwinyi alivyosema Watanzania ni vichwa vya wenzawazimu basi na huju jamaa atakuwa mmojawapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom