joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Rais Uhuru Kenyatta alifunga mipaka ya Somalia na Tanzania kwa sababu ya kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona kuingia Kenya toka hizi nchi mbili. Ikumbukwe kwamba maambukizi mengi yamegundulika miongoni mwa madereva wa magari ya mizigo.
Mkuu wa mikoa ya Tanga na Kilimanjaro walizuia magari ya mizigo ya Kenya na Tanzania kutorihusiwa kuvuka mipaka kwa sababu madereva ndio wenyekukutwa na maambukizi ya Corona.
Tulitegemea kwamba wakenya wangekubaliana na uamuzi huu wa hawa wakuu wa mikoa kwasababu kiukweli madereva wa malori wa Tanzania ndio wanaogundulika kuwa na maambukizi mengi, lakini jambo la kushanga, Uhuru Kenyatta amepinga wazo hilo la kuzuia malori ambayo ndio chimbuko kuu la kuingiza Corona Kenya, badala yake anataka kupima lakini MAGARI yaruhusiwe.
Hivi kwanini Kenya hawawezi kuvumilia huo mwenzi mmoja tuishi bila kuruhusu malori ya pande zote mbili?, ina maana Kenya wanathamini biashara kuliko maisha yao?