Katangazaji Kama Citizen tv ya Kenya....hahahaWakulima wenu wameshaanza kulia machozi ila wanaogopa kuongea hadharani kwa sababu ya udikteta wa Magu
.Kenya mna Shida...msije kuichezea Tanzania Tena...inabidi muwe wapole kwa kweli...
Katangazaji Kama Citizen tv ya Kenya....hahahaWakulima wenu wameshaanza kulia machozi ila wanaogopa kuongea hadharani kwa sababu ya udikteta wa Magu
Now you are talking...sio Kama juzi..hivi MK254 na Tony254 ni mtu mmoja?!?!Sawa. Wacha tuone nchi gani itashinda. Tutajua nchi gani ina nguvu zaidi
Sasa mbona ukaleta story iliopitwa na wakati? Mimi nilidhani kuwa unasema baada ya marais wetu kukubaliana bado kuna mtafaruku. Anyway wacha tuone pande zote mbili zitaamua vipi. Wasipokubaliana pia ni poa tu kwa sababu Watanzania sisi hatutawabembeleza. Sisi huwa hatubembelezi punda kwenye mteremko.Hiyo ilikua kabla ya Uhuru kupiga simu na kuomba msamaha, tulijiandaa kuwafungia vioo ili mfe kwa njaa, Uhuru aliliona mapema ikabidi awe mpole na kupiga goti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi ni watu wawili tofauti. Mimi ndio nilicopy jina lake. Lilinifurahisha tu maana ni jina la kizalendo sana. Wewe kichwa boflo ungejiita 255 badala ya 1954 mwaka uliyozaliwa. Ama unadhani hatujui 1954 ndio mwaka uliyozaliwa?Now you are talking...sio Kama juzi..hivi MK254 na Tony254 ni mtu mmoja?!?!
Ethiopia's ENDF wametungua ndege yenu Somalia kwavile mliingia anga ya Somalia bila kuwaomba kibali! Nyie mna gundu unwanted seed in EA!Hatuna ugomvi na UGANDA (resolved amicably inamaanisha kuwa ugomvi ulisitishwa kidiplomasia)
Ethiopia has never laid claim into this Ilemi triangle issue. Ilemi triangle is an issue BTW SS and KE only. And like I said, administrative boundaries have been put in place and they change from time to time. So this is no longer a "dispute"
KDF na ENDF wanapigania Somalia. Na ENDF wako on the wrong kwa sababu they are illegally in Somalia. (except for troops within AMISOM)
As for TZ nishakuelezea ni nchi gani inahujumu biashara ila you are choosing what to believe SELECTIVELY.
Usilazimishe ugomvi.
Hahaha kwa hiyo nikijiita 1945 mwaka ilipomalizika WWII ina maana nilizaliwa 1945...nikijiita 1961 mwaka wa uhuru wa TZ ina maana pia nilizaliwa 1961...Sisi ni watu wawili tofauti. Mimi ndio nilicopy jina lake. Lilinifurahisha tu maana ni jina la kizalendo sana. Wewe kichwa boflo ungejiita 255 badala ya 1954 mwaka uliyozaliwa. Ama unadhani hatujui 1954 ndio mwaka uliyozaliwa?
Ndio. Akili zenu ni rahisi kuzielewa.Hahaha kwa hiyo nikijiita 1945 mwaka ilipomalizika WWII ina maana nilizaliwa 1945...nikijiita 1961 mwaka wa uhuru wa TZ ina maana pia nilizaliwa 1961...
Sawa ...umepatia Ndugu Tony254...mtengeneza bunduki Aina ya Tony254...Ndio. Akili zenu ni rahisi kuzielewa.
Hahaha kama huelewi geopolitics of the horn heri ubaki ukikumbatia chupa ya konyagi. It was a civilian plane owned by Somalis but registered in Kenya. It was a private jet. What, you expected KAF to retaliate on what grounds/basis?Ethiopia's ENDF wametungua ndege yenu Somalia kwavile mliingia anga ya Somalia bila kuwaomba kibali! Nyie mna gundu unwanted seed in EA!
Here the media says it's Kenyan aircraft! Endeleeni kujitia kidole...Hahaha kama huelewi geopolitics of the horn heri ubaki ukikumbatia chupa ya konyagi. It was a civilian plane owned by Somalis but registered in Kenya. It was a private jet. What, you expected KAF to retaliate on what grounds/basis?
Huu ujinga uliokolea TZ usilete kwenye meza ya wababe.
Here the media says it's Kenyan aircraft! Endeleeni kujitia kidole...
Now leta leta evidence ya Somali-owned plane !Majority of the populace in TZ is IGNORANT and you are a perfect example. Who disputed the plane being Kenyan? It's a Somali-owned plane REGISTERED in Kenya. Get it?? Good. It's a private plane. Got it? Great! It was shot down IN Somalia. Get it? Smooth! ENDF explained themselves. If it were a military plane then we could be talking differently right now.
Again, kama hujui the geopolitics of the horn, kaa kando. After all nyinyi mpo sadc, haya matukio yakiwapita tutaelewa. Fanya research. Usipayuke tu juu umepata data.
What is a Somali? Are you trying to claim a word Somali is exclusive for a country Somalia? wacha ubaguzi wewe fala! That Somali overthere presents ethnicity not nationality!
Year | Number |
1911 | 23 000 |
1926 | (approx.) 46 000 |
1936 | 24 647 |
1939 | 9 633 |
1949 | 40 000 |
1989 | 119 672 |
2009 | 661 941 |
Hawa wakenya bila kupambana nao hawawezi kuwa na nidhamu, nadhani sasa wameanza kushika adabu.Hahaha kumbe Sasa hata dola ya Kenya ni wapole.
Good..
Lugha nzuri ..hakuna arrogance hapo...Hakuna Tena kusema eti ufunguo wa border anao Uhuru Kenyatta Kama mlivyokuwa mkisema awali kwa maringo na majigambo ya kifedhuli
Mimi ninaamini kabisa kwamba njia nzuri ya Tanzania na Kenya kuishi bila migogoro ni kufunga mipaka ili kila nchi isijihusishe na mambo ya nchi nyengine, kama alivyofanya Nyerere.Sasa mbona ukaleta story iliopitwa na wakati? Mimi nilidhani kuwa unasema baada ya marais wetu kukubaliana bado kuna mtafaruku. Anyway wacha tuone pande zote mbili zitaamua vipi. Wasipokubaliana pia ni poa tu kwa sababu Watanzania sisi hatutawabembeleza. Sisi huwa hatubembelezi punda kwenye mteremko.