Kumbe mnatambua kuwa Kenya itapata hasara zaidi.??!! Sasa mbwembwe zote zilikuwa za Nini? Hilo la kumdhihaki Rais wetu kuwa Sasa eti Sasa anatembea na simu wakati eti Alikuwa hafanyi hivyo tafadhali usirudie Tena kuweka upuuzi wa Aina hiyo...Kumbuka our President ni Head of State na Commander in chief of our armed forces..ukimdhihaki yeye sawa na kuwadhihaki Watz woteKwa akili zenu adui mkubwa wa Tz ni Kenya. Ila kwa mtazamo wa Kenya na rais UK pia ni kwamba adui mkubwa wa Kenya na Tz pia ni Corona. Ndio maana tulifunga mpaka ili kuzuia maambukizi kutoka upande wa pili na tunawapima madereva wa Tz na kuwarudisha wale wanaopatikana +ve. Nyinyi mnakichofanya ni kujibu tu mapigo na aibu ya hatua hizo za Kenya kwa mbwembwe nyingi, bila kushirikisha ubongo, badala ya kupambana na 'kaugonjwa kadogo ka Corona'. Ndio maana baada ya kugoma kupokea simu wakati wa vikao vya marais wa EAC, sasa hivi rais wenu anatembea na simu mkononi. Kumbuka kwamba kibiashara Kenya inawauzia bidhaa za thamani ya juu zaidi ya mnazotuuzia na kufikia maamuzi ya kufunga boda ilikuwa tayari ni hasara kwa Kenya, zaidi ya itakavoiletea hasara Tz. Mwisho wa siku mvutano huu unaashiria kwamba afya, maisha na maslahi ya wananchi wa Kenya ni kipaumbele kwa serikali ya Kenya. Ila upande wa pili wa boda maisha ya punda sio muhimu zaidi ya mzigo anaoubeba, ongeza na sifa za kipumbavu juu yake.
Yeye ni kichwa chetu...na sisi hatuwezi kumdhihaki Uhuru Kenyatta ambaye ni kichwa chenu...kumbukeni kuwa siku chache zilizopita baadhi ya media zenu ziliomba radhi kwa kumdhihaki Rais wetu...hata BBC ya mabeberu naona Sasa imejirudi baada ya kuingizwa mkenge kuhusu Corona in Tanzania..