Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,283
- 79,648
Sijakuelewa mkuu. Naelewa Uhuru anachotaka ila sielewi nyie mnataka nini? Eti proposal yenu ni gani?Rais Uhuru Kenyatta alifunga mipaka ya Somalia na Tanzania kwa sababu ya kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona kuingia Kenya toka hizi nchi mbili. Ikumbukwe kwamba maambukizi mengi yamegundulika miongoni mwa madereva wa magari ya mizigo.
Mkuu wa mikoa ya Tanga na Kilimanjaro walizuia magari ya mizigo ya Kenya na Tanzania kutorihusiwa kuvuka mipaka kwa sababu madereva ndio wenyekukutwa na maambukizi ya Corona.
Tulitegemea kwamba wakenya wangekubaliana na uamuzi huu wa hawa wakuu wa mikoa kwasababu kiukweli madereva wa malori wa Tanzania ndio wanaogundulika kuwa na maambukizi mengi, lakini jambo la kushanga, Uhuru Kenyatta amepinga wazo hilo la kuzuia malori ambayo ndio chimbuko kuu la kuingiza Corona Kenya, badala yake anataka kupima lakini MAGARI yaruhusiwe.
Hivi kwanini Kenya hawawezi kuvumilia huo mwenzi mmoja tuishi bila kuruhusu malori ya pande zote mbili?, ina maana Kenya wanathamini biashara kuliko maisha yao?
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahOnyesha lini Kenya na Uganda mlilimaliza tatizo la Migingo, na je ni nchi gani inayomiliki Migingo, ninakuomba weka link inayoonyesha kwamba Kenya na Uganda walishakubaliana kuhusu Migingo.
Kuhusu Ilemi triangle, wanajeshi wa Ethiopia wamekua wakiingia katika eneo hili na kuwauwa wakenya kwa kisingizio kwamba sio Eneo la Kenya, hili tatizo limeishia wapi?
Kenya na Somali mnagombea maritime border.
Jeshi la Ethiopia linaisaidia Serikali ya Somalia kupigana na Jeshi la Jubaland na KDF, huo nao ni Mgogoro uliosababishwa na Kenya kuisaidia Serikali ya Jubaland isiyotambulika kimataifa.
Tanzania na Kenya hatujawahi kuwa marafiki na Kenya toka enzi za Nyerere na Jommo Kenyatta.
Kwanini Kenya mnakwaruzana na majirani wenu wote?
Sent using Jamii Forums mobile app
speeches hata huyu alitoa na sasa yeye ndo anawadunga kwenzi!
Proposal yetu Kenya na Tanzania wa-exchange mizigo mpakani ili tuone kelele zenu za kudai tunawaambukiza coronavirus zina ukweli upi! Kenyatta anajua ataumbuka ndo maana analazimisha madereva wa Kenya kuingia Tanzania ili apate excuse ya ku-put blame on Tanzania!Sijakuelewa mkuu. Naelewa Uhuru anachotaka ila sielewi nyie mnataka nini? Eti proposal yenu ni gani?
Sawa. Wacha tuone nchi gani itashinda. Tutajua nchi gani ina nguvu zaidiProposal yetu Kenya na Tanzania wa-exchange mizigo mpakani ili tuone kelele zenu za kudai tunawaambukiza coronavirus zina ukweli upi! Kenyatta anajua ataumbuka ndo maana analazimisha madereva wa Kenya kuingia Tanzania ili apate excuse ya ku-put blame on Tanzania!
Huyo mpumbavu ndio nani jamaniTanzania na Kenya hazijawahi kuwa na uhusiano mzuri, yeye Kikwete ndiye aliyezuia safari za KQ hadi Uhuru Kenyatta alipomtafuta na kuyarekebisha. Vipi kuhusu hizo nchi zingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
1)Kitendo cha kwamba Kenya imefikia makubaliano na Uganda kuhusu Migingo kinaonyesha kwamba Kenya na Uganda zilikwaruzana kuhusu Migingo (Kenya ilikwaruzana Uganda)Hahah
1. Migingo: Kenya and Uganda strike deal
2. The only border point ETHIOPIAN forces have crossed over is the area around MOYALE. ILEMI is further west and like I told you ET has NEVER laid claim in ILEMI. A simple Google Search will suffice.
3. Kenya Somalia maritime? Yes that's the only possible conflict we have with a neighbor. And this is normal for many coastal states. There are currently DOZENS of maritime cases at the ICJ with regards to maritime boundaries. So this is nothing new.
4. JUBALAND: that regional government was recognized by the international community. FGS and ET were caught flat footed and thus the current fiasco. The good thing is that the international community is behind Kenya's efforts.
FYI: SS and KE brokered a deal for KE to administer the region in exchange for KE supporting the Sudan Civil War in favor of SS. Usishangae mbona bendera yao ni sawa na yetu. Usilazimishe ugomvi
Good lets wait!Sawa. Wacha tuone nchi gani itashinda. Tutajua nchi gani ina nguvu zaidi
Mbona tumeshawashinda,mnataka tuwashinde vipi tena?. Uhuru Kenyatta ameshaomba msamaha, mnataka tuendelee kuwapa kibano?Sawa. Wacha tuone nchi gani itashinda. Tutajua nchi gani ina nguvu zaidi
KDF haina ugomvi na Ethiopian army bali ni kuwa Ethiopian army wana haki na ruhusu ya kufanyia mafunzo kwenye mili,aridhi na mali za KenyaSouth Sudan - Ilemi triangle
Uganda - Kisiwa cha Migingo
Somalia - Maritime border
Ethiopia - KDF na Jeshi la Ethiopia
Tanzania - Ugomvi wa biashara hauishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Kitendo chako kutumia "ili-" inaonyesha kuwa imebakia historia kwani ni kitu kilishatendeka na hakuna ugomvi tena.1)Kitendo cha kwamba Kenya imefikia makubaliano na Uganda kuhusu Migingo kinaonyesha kwamba Kenya na Uganda zilikwaruzana kuhusu Migingo (Kenya ilikwaruzana Uganda)
2)Kitendo cha Kenya na South Sudan kuendelea kugombania Ilemi triangle (Kenya mnakwaruzana na South Sudan)
3)Kitendo cha Ethiopia kuisaidi Somalia kupigana na Jubaland inayosaidiwa na Kenya(Kenya inakwaruzana na Ethiopia na Somalia)
4)Kitendo cha Kenya na Somalia kugombania maritime border ni Kitendo kibaya, hata kama zipo nchi zingine zinagombania mpaka,. Kwahiyo kwasababu duniani watu wengi wanakufa kwa Corona, kwako unadhani sio tatizo kubwa wakenya wakifa wengi kwasababu sio jambo la ajabu?.
Kwanini Kenya mnakwaruzana na majirani wenu wote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Evidence?KDF haina ugomvi na Ethiopian army bali ni kuwa Ethiopian army wana haki na ruhusu ya kufanyia mafunzo kwenye mili,aridhi na mali za Kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayajaisha. Si wewe ndio umeleta mada kuwa KE na TZ wameshindwa kuelewana?Mbona tumeshawashinda,mnataka tuwashinde vipi tena?. Uhuru Kenyatta ameshaomba msamaha, mnataka tuendelee kuwapa kibano?
Sent using Jamii Forums mobile app
Good lets wait!
Meanwhile hakuna Mkenya anaingia Tanzania as we speak!
Hiyo ilikua kabla ya Uhuru kupiga simu na kuomba msamaha, tulijiandaa kuwafungia vioo ili mfe kwa njaa, Uhuru aliliona mapema ikabidi awe mpole na kupiga goti.Hayajaisha. Si wewe ndio umeleta mada kuwa KE na TZ wameshindwa kuelewana?
Aisee ungekuwa karibu ningekupa offer ya chupa ya wine Kama unatumia au hata katuni nne za maji Kama hutumii kilevi...Mliishia wapi na Northern Corridor?
Sis kama Watanzania msimamo wetu nikuto tanagza maambukizi mapya...hou ni msimamo wa waTz, Nyinyi wakenya msimamo wenu nikutangaza kila ambukizo jipya na lockdown ya usiku..haina shida..
Shida ipo hapa...kwanini ukimpima mtz unautangazia ulimwengu kuwa nimewakuta Wtz wanavirusi huku ukijua sis hatutaki...kwanini usiamue kuwarudisha kwao Tz na ukaa kimya......
Sasa kupitia viongozi wetu tukaamua basi madereva wetu wasije kwenu maana tutawaambukiza CORONA..
Cha kushangaza bado mnatuhitaji...
Naomba nikuulize...hivi katka magonjwa yanayo ongoza kwa kuuwa watu Africa,Je Corona ni number ngapi? je ipo katika top ten?
kwanini mmeipa kapaumbele coroana..au kwasababu inauwa mzungu? kwanini nguvu hizo hamzitumii kutokomeza Malaria,kifua kikuu au njaa kule TURKANA,
Tatizo lenu wekenya mna ulimmbukeni na watu weupe sana.
bYE