Hivi kwanini Kenya inakataa wazo la kuzuia malori ya Kenya na Tanzania kama?

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
Rais Uhuru Kenyatta alifunga mipaka ya Somalia na Tanzania kwa sababu ya kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona kuingia Kenya toka hizi nchi mbili. Ikumbukwe kwamba maambukizi mengi yamegundulika miongoni mwa madereva wa magari ya mizigo.

Mkuu wa mikoa ya Tanga na Kilimanjaro walizuia magari ya mizigo ya Kenya na Tanzania kutorihusiwa kuvuka mipaka kwa sababu madereva ndio wenyekukutwa na maambukizi ya Corona.

Tulitegemea kwamba wakenya wangekubaliana na uamuzi huu wa hawa wakuu wa mikoa kwasababu kiukweli madereva wa malori wa Tanzania ndio wanaogundulika kuwa na maambukizi mengi, lakini jambo la kushanga, Uhuru Kenyatta amepinga wazo hilo la kuzuia malori ambayo ndio chimbuko kuu la kuingiza Corona Kenya, badala yake anataka kupima lakini MAGARI yaruhusiwe.

Hivi kwanini Kenya hawawezi kuvumilia huo mwenzi mmoja tuishi bila kuruhusu malori ya pande zote mbili?, ina maana Kenya wanathamini biashara kuliko maisha yao?
 
Kwa akili zenu adui mkubwa wa Tz ni Kenya. Ila kwa mtazamo wa Kenya na rais UK pia ni kwamba adui mkubwa wa Kenya na Tz pia ni Corona.

Ndio maana tulifunga mpaka ili kuzuia maambukizi kutoka upande wa pili na tunawapima madereva wa Tz na kuwarudisha wale wanaopatikana +ve. Nyinyi mnakichofanya ni kujibu tu mapigo na aibu ya hatua hizo za Kenya kwa mbwembwe nyingi, bila kushirikisha ubongo, badala ya kupambana na 'kaugonjwa kadogo ka Corona'.

Ndio maana baada ya kugoma kupokea simu wakati wa vikao vya marais wa EAC, sasa hivi rais wenu anatembea na simu mkononi. Kumbuka kwamba kibiashara Kenya inawauzia bidhaa za thamani ya juu zaidi ya mnazotuuzia na kufikia maamuzi ya kufunga boda ilikuwa tayari ni hasara kwa Kenya, zaidi ya itakavoiletea hasara Tz.

Mwisho wa siku mvutano huu unaashiria kwamba afya, maisha na maslahi ya wananchi wa Kenya ni kipaumbele kwa serikali ya Kenya. Ila upande wa pili wa boda maisha ya punda sio muhimu zaidi ya mzigo anaoubeba, ongeza na sifa za kipumbavu juu yake.
 
Kwa akili zenu adui mkubwa wa Tz ni Kenya. Ila kwa mtazamo wa Kenya na rais UK pia ni kwamba adui mkubwa wa Kenya na Tz pia ni Corona. Ndio maana tulifunga mpaka ili kuzuia maambukizi kutoka upande wa pili na tunawapima madereva wa Tz na kuwarudisha wale wanaopatikana +ve. Nyinyi mnakichofanya ni kujibu tu mapigo na aibu ya hatua hizo za Kenya kwa mbwembwe nyingi, bila kushirikisha ubongo, badala ya kupambana na 'kaugonjwa kadogo ka Corona'. Ndio maana baada ya kugoma kupokea simu wakati wa vikao vya marais wa EAC, sasa hivi rais wenu anatembea na simu mkononi. Kumbuka kwamba kibiashara Kenya inawauzia bidhaa za thamani ya juu zaidi ya mnazotuuzia na kufikia maamuzi ya kufunga boda ilikuwa tayari ni hasara kwa Kenya, zaidi ya itakavoiletea hasara Tz. Mwisho wa siku mvutano huu unaashiria kwamba afya, maisha na maslahi ya wananchi wa Kenya ni kipaumbele kwa serikali ya Kenya. Ila upande wa pili wa boda maisha ya punda sio muhimu zaidi ya mzigo anaoubeba, ongeza na sifa za kipumbavu juu yake.
Kwahiyo kitendo cha Tanzania kuzuia malori ya Tanzania na Kenya kuvuka mipaka huoni kwamba kingesaidia zaidi kuzuia maambukizi kuliko kuruhusu huu muingiliano?.

Kiukweli kabisa, kama kweli lengo la Uhuru Kenyatta ni kujali maisha na Afya za wakenya kama alivyotangaza kufunga mipaka, asingempigia Magufuli simu ya kuomba biashara na malori yaruhusiwe kupita, badala yake anguacha japo kwa mwezi mmoja kama alivyosema ili kupunguza maambukizi.

Kenya mngeendelea kufanya biashara na UGANDA, Rwanda, South Sudan na Ethiopia na kuachana na Tanzania kama tulivyotaka sisi. Tanzania tusipofanya biashara na Kenya, tunakua tumepunguza makelele na misuguano isiyokuwa ya lazima, hatipendi na wala hatutaki kukwaruzana na majirani WETU, hakuna Jirani tunayekwaruzana naye zaidi ya Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili zenu adui mkubwa wa Tz ni Kenya. Ila kwa mtazamo wa Kenya na rais UK pia ni kwamba adui mkubwa wa Kenya na Tz pia ni Corona. Ndio maana tulifunga mpaka ili kuzuia maambukizi kutoka upande wa pili na tunawapima madereva wa Tz na kuwarudisha wale wanaopatikana +ve. Nyinyi mnakichofanya ni kujibu tu mapigo na aibu ya hatua hizo za Kenya kwa mbwembwe nyingi, bila kushirikisha ubongo, badala ya kupambana na 'kaugonjwa kadogo ka Corona'. Ndio maana baada ya kugoma kupokea simu wakati wa vikao vya marais wa EAC, sasa hivi rais wenu anatembea na simu mkononi. Kumbuka kwamba kibiashara Kenya inawauzia bidhaa za thamani ya juu zaidi ya mnazotuuzia na kufikia maamuzi ya kufunga boda ilikuwa tayari ni hasara kwa Kenya, zaidi ya itakavoiletea hasara Tz. Mwisho wa siku mvutano huu unaashiria kwamba afya, maisha na maslahi ya wananchi wa Kenya ni kipaumbele kwa serikali ya Kenya. Ila upande wa pili wa boda maisha ya punda sio muhimu zaidi ya mzigo anaoubeba, ongeza na sifa za kipumbavu juu yake.
Kwa akili yako Kunyaland inaweza kutufundisha sisi cha kufanya? Ngoja tusubiri mkutano wa Mawaziri halafu tutajua mbivu na mbichi! Ninachoweza kukuhakikishia sidhani kama madereva wa Kenya wataruhusiwa kuingia! Solution iliyo muafaka ni kufaulisha mizigo mipakani, hii mambo ya mdomo mwingi wakati mna njaa, mfanyie kwenu.
 
Kwa akili yako Kunyaland inaweza kutufundisha sisi cha kufanya? Ngoja tusubiri mkutano wa Mawaziri halafu tutajua mbivu na mbichi! Ninachoweza kukuhakikishia sidhani kama madereva wa Kenya wataruhusiwa kuingia! Solution iliyo muafaka ni kufaulisha mizigo mipakani, hii mambo ya mdomo mwingi mfanyie kwenu.
Alisikika msemaji wa serikali kutoka Manzese 😹
 
Ngoja nikuulize swali, hivi kwanini Kenya inakwaruzana na majirani zake wotee?

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyekukaririsha haya ni nani? Na usiniletee ujinga wa border disputes. Border disputes occur worldwide. Unataka kulazimisha ugomvi pahali hapako. Uganda (Migingo ilishatatuliwa), Ethiopia hatuna ugomvi wala hata South Sudan. Hatuna ugomvi na TZ na hata hao Wasomali hatuna ugomvi nao except for Al-kebab (tuko Somalia kuwasaidia)
 
Hahahah loosers!

Nitajie nchi nyingine yenye border disputies na kila upande wa jirani yake. Na this time lazima tuwashushe kaptula tu. Ile siti ya namba moja kwa uchumi east and central Africa endeleeni kuifuta vumbi tunaihitaji tuikalie.
 
Wivu kitu mbaya sana 😹😹😹 walikariri mababu zenu wajukuu nao hamjambo
 
Wivu wa kitu gani? Nitajie nchi kwanza inayosumbuana sana na majirani zake kila upande huko mipakani.... Mko jangwani halafu mnataka kushindana na walio Eden?
Labda uulizane na wakuu wa mikoa yenu. Sina MDA.
 
Aliyekukaririsha haya ni nani? Na usiniletee ujinga wa border disputes. Border disputes occur worldwide. Unataka kulazimisha ugomvi pahali hapako. Uganda (Migingo ilishatatuliwa), Ethiopia hatuna ugomvi wala hata South Sudan. Hatuna ugomvi na TZ na hata hao Wasomali hatuna ugomvi nao except for Al-kebab (tuko Somalia kuwasaidia)
South Sudan - Ilemi triangle
Uganda - Kisiwa cha Migingo
Somalia - Maritime border
Ethiopia - KDF na Jeshi la Ethiopia
Tanzania - Ugomvi wa biashara hauishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rubbish, you are so subjective. Be objective n put facts on the table. Every nation fights for their own interests n people. If ur strategy is lockdown to hell with it n goodluck, we can not use the same strategy in the battle field so we go with mass education, public medical policing, natural medication n prevention, herd immunity. So blocking our drivers due to Corona as if u r not sick despite we were leaving them to pass trusting your medical results now we won't turn a blind eye on u. We will chase anybody that being kunyaland out the moment you positive an so shud you. Other countries they can continue having that free passage n FYI we do not depend on Kunyaland. Nairobi has got much much more to lose n you need Dodoma BUT Dodoma needs n depend on nothing from Kunyaland. It's a war you will never win!!!!
Kwa akili zenu adui mkubwa wa Tz ni Kenya. Ila kwa mtazamo wa Kenya na rais UK pia ni kwamba adui mkubwa wa Kenya na Tz pia ni Corona. Ndio maana tulifunga mpaka ili kuzuia maambukizi kutoka upande wa pili na tunawapima madereva wa Tz na kuwarudisha wale wanaopatikana +ve. Nyinyi mnakichofanya ni kujibu tu mapigo na aibu ya hatua hizo za Kenya kwa mbwembwe nyingi, bila kushirikisha ubongo, badala ya kupambana na 'kaugonjwa kadogo ka Corona'. Ndio maana baada ya kugoma kupokea simu wakati wa vikao vya marais wa EAC, sasa hivi rais wenu anatembea na simu mkononi. Kumbuka kwamba kibiashara Kenya inawauzia bidhaa za thamani ya juu zaidi ya mnazotuuzia na kufikia maamuzi ya kufunga boda ilikuwa tayari ni hasara kwa Kenya, zaidi ya itakavoiletea hasara Tz. Mwisho wa siku mvutano huu unaashiria kwamba afya, maisha na maslahi ya wananchi wa Kenya ni kipaumbele kwa serikali ya Kenya. Ila upande wa pili wa boda maisha ya punda sio muhimu zaidi ya mzigo anaoubeba, ongeza na sifa za kipumbavu juu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rubbish, you are so subjective. Be objective n put facts on the table. Every nation fights for their own interests n people. If ur strategy is lockdown to hell with it n goodluck, we can not use the same strategy in the battle field so we go with mass education, public medical policing, natural medication n prevention, herd immunity. So blocking our drivers due to Corona as if u r not sick despite we were leaving them to pass trusting your medical results now we won't turn a blind eye on u. We will chase anybody that being kunyaland out the moment you positive an so shud you. Other countries they can continue having that free passage n FYI we do not depend on Kunyaland. Nairobi has got much much more to lose n you need Dodoma BUT Dodoma needs n depend on nothing from Kunyaland. It's a war you will never win!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Win'nt you?
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom