Hivi kwa nini devil worshippers wengi wana uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kucheza na mind za watu kiasi kwamba wanaweza kukuaminisha uwongo kuwa ukweli ?
Christians wengi wana akili ndogo sana kiasi kwamba wanachoambiwa na viongozi wao wa dini wana fuata bila kuhoji, kwa mfano kesi kama ya kibwetele alipo waambiwa waumini wake wagawe mali zao zote yesu anakuja kuwachukuwa na waumini hawakumbishia matokeo yake aliwafungia na kuwachoma moto
Au kuna juzi juzi tu kuna kiongozi wa dini alikuwa anawanywesha wafuasi wake dettol kama sehemu ya ibada
Ushahidi upi tena ?Hakuna punguani asiyejiona kuwa ana akili kubwa, nnakushangaa wewe unaewaona wengine wana akili kubwa kuliko wengine? Sijuwi nikuweke kundi lipi?
Tuwekee ushahidi kwa uyasemayo la sivyo wewe utakuwa ni mtu mwenye akili kubwa sana.
Me nakuna wewe ndio huna akili na fukara wa ubongo hivi kuna taasisi iliyotoa mchango wa kufuta ujinga duniani kama kanisa?Hivi kwa nini devil worshippers wengi wana uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kucheza na mind za watu kiasi kwamba wanaweza kukuaminisha uwongo kuwa ukweli ?
Christians wengi wana akili ndogo sana kiasi kwamba wanachoambiwa na viongozi wao wa dini wana fuata bila kuhoji, kwa mfano kesi kama ya kibwetele alipo waambiwa waumini wake wagawe mali zao zote yesu anakuja kuwachukuwa na waumini hawakumbishia matokeo yake aliwafungia na kuwachoma moto
Au kuna juzi juzi tu kuna kiongozi wa dini alikuwa anawanywesha wafuasi wake dettol kama sehemu ya ibada
Kwahiyo katika kanisa umemuona kibwetele tu ndio icon ya IQ ya wakristo na ukristo wote kwa ujumla?Ushahidi upi tena ?
Kwani kibwetele humjui ?
Na hilo sakata la waumini kunyweshwa dettol nalo ni geni masikioni mwako?
Anhaaa bado unataka ushahidi zaidi basi haina shakaKwahiyo katika kanisa umemuona kibwetele tu ndio icon ya IQ ya wakristo na ukristo wote kwa ujumla?
Wewe huna tofauti na pumpkin around the house
Mzee wa Loliondo unamzungumziaje ?Kwahiyo katika kanisa umemuona kibwetele tu ndio icon ya IQ ya wakristo na ukristo wote kwa ujumla?
Wewe huna tofauti na pumpkin around the house
Imeandikwa weka mbali na watoto nasio watu wazimaUshatoa jibu... kwamba wanafuata bila kuhoji... hilo ndiyo tatizo... Toka mdogo mpaka unakua umekuwa ukiambiwa usinywe dettol ni hatari, na hata maelezo yanasema siyo kwa matumizi ya kunywa... alafu ukubwani unaenda kudanganywa...
Cheki na wewe ulivyo na akili ndogoImeandikwa weka mbali na watoto nasio watu wazima
Kwani wewe waonaje??Cheki na wewe ulivyo na akili ndogo
Kwa hiyo kunywa dettol unaona ni swala la kawaida ?
Ushatoa jibu... kwamba wanafuata bila kuhoji... hilo ndiyo tatizo... Toka mdogo mpaka unakua umekuwa ukiambiwa usinywe dettol ni hatari, na hata maelezo yanasema siyo kwa matumizi ya kunywa... alafu ukubwani unaenda kudanganywa...
Sasa em nikuulize wewe chanzo chako cha ukweli juu ya ukristo ni kipi!?Mzee wa Loliondo unamzungumziaje ?
yaani hapa ndo mnazidi kuonesha uwezo wenu mdogo wa kufikiriSasa em nikuulize wewe chanzo chako cha ukweli juu ya ukristo ni kipi!?
Mimi ningekuona wa maana kama ungekua unauchambua ukristo kutoka kwenye Bible lakini kuuelezea ukristo kutoka kwa mtu yoyote eti kisa anaitwa John au Peter au Mary inaonesha ni jinsi gani ulivyo shallow in data collection and analysis.
yawezekana sijakuelewa mleta mada, unaposema devil worshiper unamaanisha nini. Manake wengi wao IQ zao zinakuaga na shida. Imagine mtu anamtoa kafara mzazi au mtoto wake, au anapewa sharti la kulala na mwanae na wanafanya. Acha wale anakua na hela lakini anaambiwa asilale kitandani ukiwaza haya bora hata hao waislam na wakristo wanaofundishwa kuishi kwa upendoNikweli hata ukiwaangalia waislamu wengi wanaambiwa wabebe mabom na kuua watu ndio watauona ufalme Wa mbingu nao wanakubali, utakuta mwislamu mzima anamchinja mwenzake kisa tu kaambiwa akiua ataenda mbinguni
Ushahidi upi tena ?
Kwani kibwetele humjui ?
Na hilo sakata la waumini kunyweshwa dettol nalo ni geni masikioni mwako?
Hata wewe kesho unaweza kuamka na kuchukua Bible ukatafuta jengo na kuanza biashara yako na kupata wafuasi wengi tu kutoka background tofauti wengine watakua Christians, Muslims, pagans etc kuendana na unachowapa sasa hapo hatutawanyooshea kidole wakristo bali jamii nzima sababu pale wapo multicultural from different religions.yaani hapa ndo mnazidi kuonesha uwezo wenu mdogo wa kufikiri
Sasa mtu yupo kanisani anasali kila siku na matukio yote hayo yanatokea ndani ya kanisa sasa utathibitisha vipi kuwa sio mkristo mtu huyo?
Hivi kwa nini devil worshippers wengi wana uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kucheza na mind za watu kiasi kwamba wanaweza kukuaminisha uwongo kuwa ukweli ?
Christians wengi wana akili ndogo sana kiasi kwamba wanachoambiwa na viongozi wao wa dini wana fuata bila kuhoji, kwa mfano kesi kama ya kibwetele alipo waambiwa waumini wake wagawe mali zao zote yesu anakuja kuwachukuwa na waumini hawakumbishia matokeo yake aliwafungia na kuwachoma moto
Au kuna juzi juzi tu kuna kiongozi wa dini alikuwa anawanywesha wafuasi wake dettol kama sehemu ya ibada
Unatushangaa nini sie Wakristo wakati muasisi wa imani yetu (Kristo mwenyewe) alisema "msipokuwa kama watoto wadogo hamuwezi kuurithi ufalme wa mbinguni." Mtoto ni mnyenyekevu na hana muda wa kuhojihoji mambo kama wewe Devil Worshopper unayejinasibu kuwa na IQ kubwa. Akili nyingi huondoa maarifa. KalagabahoopHivi kwa nini devil worshippers wengi wana uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kucheza na mind za watu kiasi kwamba wanaweza kukuaminisha uwongo kuwa ukweli ?
Christians wengi wana akili ndogo sana kiasi kwamba wanachoambiwa na viongozi wao wa dini wana fuata bila kuhoji, kwa mfano kesi kama ya kibwetele alipo waambiwa waumini wake wagawe mali zao zote yesu anakuja kuwachukuwa na waumini hawakumbishia matokeo yake aliwafungia na kuwachoma moto
Au kuna juzi juzi tu kuna kiongozi wa dini alikuwa anawanywesha wafuasi wake dettol kama sehemu ya ibada
sawa ngoja nije inbobo
ndio umegundua ni pm nikupe maujanja..?
Ufurahi Mkuu