Hivi kwanini chakula kinaweza kumfanya mtu adhalilike

Hivi kwanini chakula kinaweza kumfanya mtu adhalilike

Umasikini huo+roho mbaya,.chakula kama unacho kula na mwenzio na yeye apate angalau kwenda msalani kusalimia,kule nako kuna raha yake jomoniii unapata wasaa wa tafakuri mbili tatu ukiwa pekeako,.yani bora nimnyime mtu nauli atembee tuu kwa miguu,.sio chakula..loh!!!
Twenzetu bas London Leo ukaninunulie misosi
 
Ukiona mtu anamsema mwingine sababu ya chakula huyo mtu ni mchoyo...

Ila kuna watu wanakera na kujiona wao ndiyo wajanja baada ya kula vyakula vya watu...


Cc: mahondaw
 
Chakula na maji siyo vitu vya kumnyima binadamu na hata mnyama umfugaye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom