Hivi kwanini CHADEMA mpo wanyonge sana?

CDM ni chama cha kishamba sana kile, if you know what I mean.

Sisi CCM ki ukweli ni wepesi kama pamba (deep inside this very true), kiasi kwamba chadema wakikaza kidogo tu CCM tunaachia hii nchi asubuhi na mapema kabla ya jogoo la alfajiri.

Ishu ni kwamba, hawa jamaa hawana uweledi kabisa katika kufanya mambo yao.

Actually they have and practice the same old methods which we CCM have knew them a very long time ago, and u fortunately the old methods normally yield the same results which are no maajabu at all.

One time (not a very long time), tindo if I can right suggested one of the very mass destruction weapon of dealing with us, but the guys didn't consider.

Ki msingi chadema ni chama chakavu na kisicho na mbinu sahihi za mapigano kwenye uwanja wa siasa.

Acha tuendelee kuwanyoosha one by one.

CCM halla! Halla CCM!

Which mass destruction you advised!? Seems you are trying to play mind games with me.
 
Kwani hiyo video walikua kwenye keyboard hao?? Polisi msipo interfere you know CHADEMA has numbers. Mlitukana sana kuwa chama kimekufa but nadhani wote tuliona mass following kuelekea kampeni kila tulipopita ikabidi hadi mvuruge uchaguzi maana hamkuamini kabisa.

Siku Lissu amerudi polisi hawakuingilia je hukuona hilo nyomi??

You nailed it. Ccm wanajua fika wameshapoteza ushawishi kwa umma, na njia pekee yao wao kubaki sala kwa muda huu mfupi ni kutegemea vyombo vya dola kwa 100%. Hapo walipo wanashurutisha kutaka kuleta maendeleo ambayo walishindwa muda wote wakiamini watakubalika, bila kujua kwa sasa hata waifanye nchi hii kuwa kama US bado kizazi hiki hakipo na ccm tena.
 
Waulize tena, hawakuona wafuasi wa Bobi wine huko Uganda? Eti, wanasubiri Mbowe akitoka gerezani mara atakuwa Gandhi!

Mpaka hao wafuasi wa Bob Wine wanafanya hayo wameshateswa kwa muda gani na Museveni? Au unadhani hizo movement ni za wiki moja kwa watu walioshika dola?
Unakosea kulinganisha Mubarak na Tanzania. Kule watu waliandamana Tahrir Square bila kupigwa risasi au kufurushwa na vifaru.

Tokea Lissi apigwe risasi imeonyesha wazi CCM haina haya kuua linapokuja suala la kulinda mamlaka yake. Tokea hapo many opposition leaders waliogopa maana hakukuwahi kuwa na jasiri zaidi ya Lissu!! Kma alikoswa koswa kifo kila mtu alipoa sana.

Ila polisi wasipoingilia maandamano kama tu haya hapa chini mbona watu watajitokeza kwa maelfu. Tatizo ni kwamba hapa mnatukejeli ila tukiitisha maandamano ya amani utaona watakavyojaza Majeshi mtaani!! Sasa kma mnataka kutu prove wrong kwanini msiaachie tu kma ujio wa Lissu


Uko sahihi kabisa, wanasema kama suala la katiba mpya ni la wananchi, mbona wananchi hawajitokezi cdm wanapopata madhila katika kudai katiba mpya, nikiwauliza kwani wanaowazuia cdm kufanya makongamano kudai hiyo katiba mpya ni wananchi au vyombo vya dola hawana jibu. Isitoshe watanzania ni waoga kudai haki zao kwa mapambano na sio kwamba wanaridhika na hali iliyopo.

Kama wangekuwa wanaweza kudai haki zao kwa nguvu, basi huko vijijini wasingeendelea kutumia maji machafu ya Kwenye mabwawa na mifugo, huku viongozi wanakwenda kuwatembelea na maVX, huku wao wakiwa na maji safi ya bomba mpaka ya kuflash vinyesi chooni. Ama wakulima wa korosho wasingeporwa korosho zao kimachomacho.
 
Which mass destruction you advised!? Seems you are trying to play mind games with me.
Wewe una umuhimu gani haswa kwangu? Au ww unadhani una umuhimu gani haswa humu JF or any where else, kwamba I need to play mind games na wewe?

We ungeuliza tu ki staarabu ni ushauri gani huo ulitoa ambao mm nimeukubali kiasi hicho lakini sio kuongea kimama kwenye comment za wanaume.

Next time jitahidi kuwa makini bwamdogo hata kama hujanywa chai you still don't have a privilege of writing shits, if you know what I mean.
 
Ni zaidi ya wiki mwenyekiti wenu Freeman Mbowe ananyea debe huko lupango.

Lakini nyie ambao mpo huru mmeridhika tu na kunung’unika kwenye mitandao.

Kwa nini hamjaingia barabarani kupigania uhuru wa mwenyekiti wenu ambaye mnasema anaonewa?

Makamanda gani mnakuwa wanyonge hivyo?

Mnaogopa nini? Mnamwogopa Bi. Mkubwa kiasi hicho?

Walau jana wale akina mama walienda kujigalagaza mbele ya ubalozi wa Marekani.

Bavicha wako wapi?

Na hao washirika wenu akina Kigogo na Shangazi wako wapi?

Wanaharakati wa kweli huwa hawajifichi nyuma ya mitandao. Bali huingia barabarani na kukinukisha mpaka kieleweke.

Lakini nyie mmekaa mmejificha tu nyuma ya mitandao na kwenye vyombo vya habari vya kimataifa!

Hamjaona jinsi washabiki wa fisadi Jakobo Zuma walivyokinukisha?

CHADEMA mnatia huruma kwa kweli.

Ukweli mchungu
 
Mkuu Nyani Ngambu atafute “umaarufu” hapa JF kweli? Huyu huyu Ngambu wa tangu enzi za Jambo Forum? Natumaini wewe pia ni mkongwe hapa,kwa tuliokuwepo tangu enzi hizo za 2006 mtu kama Nyani Ngambu,Mwanakijiji,Kichuguu,Mwafrika wa Kike,Sikonge na wengine wengi mbona ni maarufu sana tangu enzi hizo.

Ngabu huwa anapenda kuchokonoa mijadara na si kutafuta umaarufu.Mpe heshima yake huyu Legendary wa Jambo Forum na sasa Jamii Forum.Rudi kwa hoja yake ya msingi aliyouliza hapa.
Umaarufu huwa unashuka hasa usipou-mantain. Halafu ukisoma vzr nilichandika nimesema ''kuongeza umaarufu''
 
Umaarufu huwa unashuka hasa usipou-mantain. Halafu ukisoma vzr nilichandika nimesema ''kuongeza umaarufu''
Umaarufu wa JF?

You must be out of your doggone mind!

Labda wewe ndo huwa unautafuta huo umaarufu na hapa una project ulivyo wewe kwa kudhani na wengine wanautaka huo umaarufu unaouwaza wewe!
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom