Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,211
- 113,520
- Thread starter
- #41
Unakosea kulinganisha Mubarak na Tanzania. Kule watu waliandamana Tahrir Square bila kupigwa risasi au kufurushwa na vifaru.
Tokea Lissi apigwe risasi imeonyesha wazi CCM haina haya kuua linapokuja suala la kulinda mamlaka yake. Tokea hapo many opposition leaders waliogopa maana hakukuwahi kuwa na jasiri zaidi ya Lissu!! Kma alikoswa koswa kifo kila mtu alipoa sana.
Ila polisi wasipoingilia maandamano kama tu haya hapa chini mbona watu watajitokeza kwa maelfu. Tatizo ni kwamba hapa mnatukejeli ila tukiitisha maandamano ya amani utaona watakavyojaza Majeshi mtaani!! Sasa kma mnataka kutu prove wrong kwanini msiaachie tu kma ujio wa Lissu