Hivi kwanini Bakwata mnatumika sana na CCM?

Hivi kwanini Bakwata mnatumika sana na CCM?

Bakwata ilianzishwa na serikali na kwa sasa ni kama jumuia ya CCM sawa na UWT au UVCCM.
Sio kwamba Waislamu wanaipenda la hash's bali nguvu kubwa ya dola inayotumika kulinda.
Masheikh wote waliojaribu kuipinga walipata matatizo makubwa ikiwemo shs Takadir kufukuzwa Dar es salaam kuwa sio raia na kurudishwa kwao Zanzibar(sic)
Angalia Shehe wa Dar yupo Ikulu mara nyingi kuliko misikitini.
Chadema waanzishe yao, kina kipozeo na Ponda wapo
 
Ndio maana hao lazima waisifu CCM. Nadhani wewe ni miongoni mwa watu wanaounga mkono kushikiliwa kwa mashekh wa uamsho. Nadhani kinachowapata hao mashekh wengi mnakijua. Je kwanini hao wasiendelee kuisifu CCM ili wao wawe salama.
...siasa za muungano haziwezi kukuacha salama hata kama ni Sheikh. Zanzibar ni nchi ya kimapinduzi. Ni hivyo tuu !
 
Ukriristo si Uislaam, wewe baki huko huko msikopelekeshwa. Hangaikeni tu na masanamu yenu.
SHEKHE Acha kuwa mfia dini wewe.. We waona dini yako sahihi ya mwenzako ni uwongo nae anakuona Umepotea hivyo hivyo....

ila achana na hilo Maudhui yangu Kwanini Bakwata inakuwa kama ya CCM wakati ni ya waislam...
 
Wewe unapungukiwa nini Bakwata wakiwa hivyo !? Au walipoianzisha taasisi yao walikuja kukuomba ushauri waiendesheje na wajipendekeze kwa nani !?
Ni unafiki tu wa kigalatia unakusumbua.
 
Back
Top Bottom