Hivi kwanini Bakwata mnatumika sana na CCM?

Ya Mungu muachie Mungu. Baraza limeenda vizuri tu leo. Kama kuna mtu ameudhika ni kafir tu, kwanza hayamhusu...

Hahahahaha Dini bana... Uneridhika ulipo ita Kafiri???
 
Kuliko niwe muongo(mnafki ) bora niwe muwazi.. TBC siwezi angalia ... Yaan labda itokee bahat mbaya kuna tukio kama LA Leo niseme niangalie kunani.. hivi na akiki zako Timamu waanzaje angalia TBC1 kila Siku?? kwa lipi hasa au???
Baada ya kuangalia umebadika nini? Je usipoangalia kuna hasara ipi?
 
Mkuu kuhusu masuala ya Waislam(BAKWATA) kusifia serikali hilo jambo achana nalo. Kuna mengi unayopaswa kuyajua na usiyopaswa kuyajua. Kuanzia sababu ya kuundwa kwa BAKWATA mpaka tukio hilo la MAWLID. Kama umezaliwa 2000 kurudi nyuma nadhani kuna baadhi unaweza kuwa unayajua.

JE WAJUA KUWA KUNA CHAPISHO NIKILIWEKA HUMU LAZIMA MELO ATAFUTWE KUOMBWA ID YANGU. NA IP ADDRESS?

mkuuu basi basi usijaribu tafadhali
 
Bakwata ilianzishwa na serikali na kwa sasa ni kama jumuia ya CCM sawa na UWT au UVCCM.
Sio kwamba Waislamu wanaipenda la hash's bali nguvu kubwa ya dola inayotumika kulinda.
Masheikh wote waliojaribu kuipinga walipata matatizo makubwa ikiwemo shs Takadir kufukuzwa Dar es salaam kuwa sio raia na kurudishwa kwao Zanzibar(sic)
Angalia Shehe wa Dar yupo Ikulu mara nyingi kuliko misikitini.
 
mkuuu basi basi usijaribu tafadhali
Ndio maana hao lazima waisifu CCM. Nadhani wewe ni miongoni mwa watu wanaounga mkono kushikiliwa kwa mashekh wa uamsho. Nadhani kinachowapata hao mashekh wengi mnakijua. Je kwanini hao wasiendelee kuisifu CCM ili wao wawe salama.
 
Bakwata ilianzishwa na serikali na kwa sasa ni kama jumuia ya CCM sawa na UWT au UVCCM.
Sio kwamba Waislamu wanaipenda la hash's bali nguvu kubwa ya dola inayotumika kulinda.
Masheikh wote waliojaribu kuipinga walipata matatizo makubwa ikiwemo shs Takadir kufukuzwa Dar es salaam kuwa sio raia na kurudishwa kwao Zanzibar(sic)
Angalia Shehe wa Dar yupo Ikulu mara nyingi kuliko misikitini.
Asante, tena Takadir akabadilishwa jina na Mwenye Heri na Kuitwa Suleiman Mtakadini
 
Nimeshangaa sana nilipokuwa naangalia hii video ya shehe huyu kuwaambia Watanzania kuwa waislamu ndio waliosimama na ccm wakati wa uchaguzi na kuiokoa kwenye anguko katika uchaguzi wa 2015, swali langu ni hili hivi walioichagua ccm ni waislamu tu? Je kauli hizi haziudhalilishi Uislamu na waislamu? Je shehe huyu anataka kuwaambia Watanzania kuwa Waislamu ni adui wa vyama vingine vya siasa?

Je waislamu wanakubaliana na yote yanayofanywa na serikali ya ccm ndio maana wakaamua kuwaambia waislamu wasichague vyama vingine ila wachague ccm tu? Je shehe huyu anataka kuaminisha Watanzania kuwa Waislamu wanafanyaga kampeni misikitini kuamua waislamu wachague nani na chama gani?

Ebu angalia video
 
Umetuuliza maswali magumu sana! Ilipaswa ujadili hizo hoja za hiyo shehe ndio ulete humu na sio kutuuliza maswali
 
Hata wakristu wakija watasema ndio walioiokoa CCM kwa kuwa nao walipiga maombi kumpata kiongozi na ndio hao wamepatikana,ila mimi ninajua hata huko makanisani kile kipindi cha uchaguzi hawa viongozi wa dini huwa wanapiga promotion kiana na waumini wakashawishika na viongozi wao sasa huenda na kiongozi huyo naye alipiga promotion ila kwa ameshindwa kzuia hisia zake na kuamua kuweka wazi tu.
 
Kwenye hutuba ya Leo Ya maulidi Yaani ni kuimba na kuabudu tupu... Haya ongelewi matatizo ya bakwata au waislam husika.. Mbona Wakristo hawapelekeshwi hivi jamani.. Nilitegemea swala hili LA dini iongelewe Dini sio hutuba za CCM pekee
Bakwata ni jumuiya ya ccm kama ilivyo UWT , hakuna muislam wa kweli mle , na wala hakuna atakayeiona pepo miongoni mwao .
 
Umetuuliza maswali magumu sana! Ilipaswa ujadili hizo hoja za hiyo shehe ndio ulete humu na sio kutuuliza maswali

Nimekuwekea video ya huyo shehe ili usikilize mwenyewe kisha utoe comments zako
 
Mkuu si useme tu kama ulikuwa unaangalia TBC, kwani baada ya kuangalia umebadilika nini acha kuishi maisha ya kimtandao humu JF kila mtu anamaisha yake binafsi kwanini ujilazimishe kuyakana maisha yako. TV yako angalia channel yoyote utakayopenda. Usifuate maneno ya watu wa JF. HUO UTAKUWA NI ULIMBUKENI.
Limbukeni ni wewe unayedhani TBC ni Tv ya Taifa.
 
Nimeshangaa sana nilipokuwa naangalia hii video ya shehe huyu kuwaambia Watanzania kuwa waislamu ndio waliosimama na ccm wakati wa uchaguzi na kuiokoa kwenye anguko katika uchaguzi wa 2015, swali langu ni hili hivi walioichagua ccm ni waislamu tu? Je kauli hizi haziudhalilishi Uislamu na waislamu? Je shehe huyu anataka kuwaambia Watanzania kuwa Waislamu ni adui wa vyama vingine vya siasa?

Je waislamu wanakubaliana na yote yanayofanywa na serikali ya ccm ndio maana wakaamua kuwaambia waislamu wasichague vyama vingine ila wachague ccm tu? Je shehe huyu anataka kuaminisha Watanzania kuwa Waislamu wanafanyaga kampeni misikitini kuamua waislamu wachague nani na chama gani?

Ebu angalia video

Kwani waislamu wako wangapi Tanzania?!!....... Kwani Zanzibar kwenye waislam 99% ya wapiga kura wote hali ilikuwaje? Tuanzie hapo tuachane na siasa za ubwabwa na kahawa!
 
Limbukeni ni wewe unayedhani TBC ni Tv ya Taifa.
HII MADA ILISHAISHA, ACHA KUDANDIA GARI KWA MBELE HUO NDIO ULIMBUKENI, KUJADILI TBC HAIKUWA MSINGI WA MADA. FANYA UFANYAVYO TBC NDIO TELEVISION YA TAIFA, KAMA UNAPINGA TUAMBIE NI IPI TELEVISION YA TAIFA, BILA KUTUMIA ULIMBUKENI WA KICCM NA KICHADEMA(BILA KUTUMIA ULIMBUKENI WA KISIASA)
 
Back
Top Bottom