GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,569
- 108,911
Mpaka sasa Mechi za Ligi Kuu ya Vodacom imefikia Michezo 11 haya ndiyo Magoli ya Jumla ambayo yamefungwa na Timu Tatu Kubwa hapa nchini
1. Simba imefunga jumla ya Magoli 24
2. Azam imefunga jumla ya Magoli 12
3. Yanga imefunga jumla ya Magoli 9
Na kabla hamjasahau mpaka hivi sasa Mchezaji anayeongoza kwa Kufunga Magoli mengi ni John Boko wa Simba Sports Club mwenye Jumla ya Magoli yake Saba (7) Kibindoni. Na kumbukeni Boko huyu huyu alikuwa Majeruhi na alikaa Benchi kwa muda mrefu, ila Mshambuliaji Tegemeo wa Yanga SC Michael Sarpong amecheza Mechi zote na mpaka leo ana Magoli Matatu ( 3 ) tu.