Hivi kwa nini Wanaume wengi wanapenda kusaidia 'UKWENI' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kwa nini Wanaume wengi wanapenda kusaidia 'UKWENI'

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mshume Kiyate, May 23, 2011.

 1. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wana JF,
  Nimefanya utafiti kidogo kwenye hili jambo, kupitia kwa jamaa zangu na marafiki zangu na jamii kwa ujumla nimeona, ni kwa nini Wanaume wengi wanapenda kusaidia sehemu walipokwenda kuoa 'UKWENI'
  Mwenye sababu achangie...
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mkuu!
  Hili swali nyeti hivi unaliweka kwenye JOKES?
   
 3. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu. nimeona kama lina simama kwenye Gossips, ngoja tuone jamaa watalipokeaje! au mkuu na wewe linakugusa kiaina
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  unaongeza point mamsap akukubali zaidi hasa miaka ya mwanzo ya NDOA. Wanaume tu wadhaifu kwa wanawake, mwanamke akiwa mrembo chochote akikitaka kikiwa ndani ya uwezo wa mwanaume sometimes hata kwa kuiba mwanaume atatafuta tu alete. naupenda ule wimbo wa O'TEN akitakacho binti mwanaume lazima atanunua. mifano iko kibao tuu. usishangae unamjengea demu tena nyumba ndogo kigorofacmbezi beach wakati wife wako anakamata daladala kwenda kazini. wanaume huwa tunapataana saaana lkn inapofika suala la mwanamke mtatoana roho. so mkuu wala usishangae
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  May 23, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  sasa sifa zaukweni si ndio zenyewe

  kwenu wanakujua a to z

  huitaji ku wa impress
   
 6. TheChoji

  TheChoji JF-Expert Member

  #6
  May 23, 2011
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 672
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Haka ni kamfumo jike
   
 7. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #7
  May 23, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,784
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  sifa ndo zinatuua mkuu...
   
 8. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #8
  May 23, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mkuu hv jokes n kwa hili swali, au wewe ndio mwenye jokes!
   
 9. M

  Marytina JF-Expert Member

  #9
  May 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kweli kabisa
   
 10. Ba Martha

  Ba Martha JF-Expert Member

  #10
  May 23, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mkweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.....wacha kabisa ...
   
 11. s

  sawabho JF-Expert Member

  #11
  May 23, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Kwenu si wanakufahamu toka ukiwa mtoto na umekuwa ukiwasaidia kabla ya kuoa na hivyo umejenga jina kwao. sasa unajenga jina upande wa pili.
   
 12. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #12
  May 23, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu hii imesimama kwenye Gossips
   
 13. a

  allydou JF-Expert Member

  #13
  May 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 1,484
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280

  hii kali,
   
 14. olele

  olele JF-Expert Member

  #14
  May 23, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 814
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 80
  hivi ni wanaume wanapenda au ni wanawake ndo wanaforce upande wao?
   
 15. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #15
  Dec 3, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,276
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Haya mambo kumbe ni universal...nilisoma article moja yahoo walikuwa wanazungumzia suala kama hili;

  Wanasema mwanamke akiwa na tabia ya kujikomba na kujiweka karibu na in-laws wake basi ndoa yake inakuwa na migogoro mingi hata kuvunjika...tofauti na wanaume...eti wanaume wanaojali wakwe zao ndoa zao uwa na amani na ni more likely kudumu....walitoa maelezo zaidi ya kitaalamu lakini siyakumbuki ila niliondoka na somo la ku stay away from my in laws..
   
 16. m

  makeda JF-Expert Member

  #16
  Dec 3, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Yani hata ujikombe vipi wengi wao ni mwiba. ila kuna familia ambao ni wakwe wazuri.

  mara nyingi hii negative attitude kutoka kwa wakwe,inasababisha upande wa mwanamke ndo uonekane mzuri.


   
 17. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #17
  Dec 4, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,101
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  mwanaume sifa ukweni bana,unaenda kusalimia full mazaga,unagawa mpunga kwa familia ya mkeo.unawajengea bonge la mjengo,afu kwenu nyumba la udogo hahaha.DUH
   
 18. ndendi

  ndendi JF-Expert Member

  #18
  Dec 4, 2012
  Joined: Nov 29, 2012
  Messages: 628
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  yah,wazaa chema wale,lazima ijijengee heshima.
   
 19. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #19
  Dec 4, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  unyanyasaji wa kijinsia, kwa nini waume wapelekeshwe, haki za jinsia wafuatilie hili.
   
 20. m

  makeda JF-Expert Member

  #20
  Dec 5, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Mbona wanawake wanapofanyiwa ukatili na wanaume,wanapocheatiwa na wanaume,mnaotetea hizo haki hamuonekani?ila ikiwa mwanamke kafanyiwa jema basi haki za mwanaume zimekuwa violated!

  Inamaana wazazi wa mwanaume wakizawadiwa na huyo mwanaume ndo haki zake hazijawa violated?mmh!
   
Loading...