Hivi kwa nini walimu wa shule za msingi za serikali ni wagumu sana kulipa madeni ya watu?

Mtu namdai laki 1 tu,lakini huu unaenda mwezi wa 2 sasa,kila mshahara ukitoka jamaa anasema ana vipengele vingi hivyo nimvumilie.
Huu sio uungwana kabisa
umekosea sana kutaja cheo, wasiolipa madeni ni wengi tu
 
Mtu namdai laki 1 tu,lakini huu unaenda mwezi wa 2 sasa,kila mshahara ukitoka jamaa anasema ana vipengele vingi hivyo nimvumilie.
Huu sio uungwana kabisa
Wengine ni wachungaji na walokole.Usiombe ukawakopesasha utajuta.
 
Umejitakia mwenyewe ukitaka umkopeshe mwalimu anabidi aweke bondi vitu vyake .

Wenzako wanawajua hao.
 
Mtu namdai laki 1 tu,lakini huu unaenda mwezi wa 2 sasa,kila mshahara ukitoka jamaa anasema ana vipengele vingi hivyo nimvumilie.
Huu sio uungwana kabisa
Kama walimu wa sekondari ni wepesi kulipa madeni, basi kumbuka kuwa mwaka 2018 kuna walimu wa sekondari walishushwa kwenda msingi.

Hili uelewe hili inabidi utafakuri sana.
 
Mtu namdai laki 1 tu,lakini huu unaenda mwezi wa 2 sasa,kila mshahara ukitoka jamaa anasema ana vipengele vingi hivyo nimvumilie.
Huu sio uungwana kabisa
Sio hao tu, hadi ma police
 
Mvumilie mwenzio nawe khaaah!

Ila mkuu mbona umdkopesha mwalimu mmoja. ila umetujumuisha wote?
 
Umejitakia mwenyewe ukitaka umkopeshe mwalimu anabidi aweke bondi vitu vyake .

Wenzako wanawajua hao.
Sio walimu tu.

Wabongo wengi hata wenye kazi na mishahara mizuri ni wagumu sana kulipa madeni.

Binafsi alicholeta mtoa mada nakubaliana nae kwa kiwango fulani.

Niliwahi mkopesha mwalimu wa shule ya msingi laki na nusu nikaja kuipata baada ya miezi mitatu kwa tabu sana.

Niliwahi mkopesha mwanasheria pia laki 4 nikaja kuipata baada ya miezi miwili wakati ilikuwa niipate withn two weeks.

Na wote hao sio kwamba wana njaa no,nawafahamu wapo vizuri tu kiuchumi nilichokigundua watanzania wagumu sana kulipa madeni.

Wachache sana ukimkopesha ndio mtaenda sawa kwenye kulipana.
 
Back
Top Bottom