Hivi kwa nini familia ambayo imedumu mke na mume ina watoto wengi waliozaa ukilinganisha na hawa sasa watoto wakizidi watatu?.jibu ni unyumba

Hivi kwa nini familia ambayo imedumu mke na mume ina watoto wengi waliozaa ukilinganisha na hawa sasa watoto wakizidi watatu?.jibu ni unyumba

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,138
Reaction score
33,525
Ukichunguza ukaribu watu ambao ndoa kuvunjika na ikivunjika basi kunatizo tena sio tatizo ni kwamba mzee ndio tatizo kama baba wa kusimamia.

Miaka ya nyuma wazee waliweza kumudu wake wengi na kila mke aliweza kupata anacho wekewa kuzalishwa idadi ya watoto ya kama movie ya fast ferious.

Ila leo wanawake ambao wapo kwenye ndoa wanafanya wanaume kuonekana maanisi kuwa hawana uwezo wa kuzalisha kumbe ni wao sababu ya unyumba
 
Elimu za kijinga na kung'ang'ani mijini ndio kikwazo!!

Mfano ukaenda kuishi zakoo huko kyerwa huko kwenye migomba ya ndizi na maziwa wake watatu na watoto name Kila mke Kuna shida gani!!?unajibana hapo dar joto lote hilo utazaaje na misosi ya mawazo hiyo!!?
 
Watu wanachelewa umri wa kuoa na kuolewa.

Mwanamke anayebeba mimba ya first born akiwa na miaka 29 ni ngumu sana kufikisha watoto wanne. Labda apate mapacha
 
Mambo ya sasa yamebadilika Sana kuzaa kunahitaji mipango zaidi na sio jambo la kukurupuka tu unajizalia

Maana watoto wa zama hizi wanahitaji mahitaji mengi ukifananisha na zama za zamani

Elimu bora
Uwekezaji
Kuwajengea mtandao mzuri n.k

Kuzaa ilimradi tu kisa unaweza kuwapa ugali watoto hiyo imepitwa na wakati.

Mfano umezaa watoto kumi

Wanasoma Shule za kuunga unga
Hauna kitu chochote umewaandilia Kama uwekezaji

Hawana network wala exposer unafikiri wataishia wapi watoto zaidi ya kuwa vibarua wa wahindi.

You need to be smart enough to forecast the future of ur kids.
 
Hizo ni kanuni tu za mwanadamu ila mwisho wa siku hatma ya mwanadamu anaijuwa aliye juu sisi tunaishi tu.
 
Back
Top Bottom