Hivi kutangaza nia ni dhambi?

Hivi kutangaza nia ni dhambi?

Kama unaipenda hiyo post ya Lowasa na Shelukindo kwa nini usiianzishe mwenyewe ............... Huo ulikuwa ni mfano wa politics za CCM. So if you cannot understand things at a lower level why go higher??

Umenichekesha sana tena sana, naona unajiviringa kama kambare aliye ndani ya ndowana. Hewalla si utumwa wahenga walisema. Sawa nakubali kujiweka hiyo daraja ulionipa kuliko kupoteza muda kwa mtu asiyejuwa hata yuko katika daraja gani. Wasallam kwani naona haja haikidhi kubishana na wewe sitoelimika bali nitaendelea kujipeleka huko uliko wewe.
 
It's better that you decided to step aside and let people who are able analyse matters proceed ............. you are those type of people who are here to distract the continuation of some threads which expose you and your CCM!! Kwa taarifa yako hili siyo darasa ............ kama upo hapa kuelimika basi umepotea .................... People are here to analyses issues of national interest. Kama unataka kuelimika rudi shule!!
 
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom