Hivi kutangaza nia ni dhambi?

Hivi kutangaza nia ni dhambi?

Mbona Edward Lowasa wa Kaskazini katangaza nia lakini haumuongelei? Membe je anayepigiwa debe hadi na first lady? Sasa ikifika wakati Dr.Slaa akatangaza nia sijui CCM wenzangu tutakuwa na kipi cha kumchafua, maana mbinu zote tumeshazitumia na tumeambulia patupu.
 
Kama unampenda Zitto nenda kamtengenezee chai!

Watu tunatafuta RAIS wa nchi atakayetusogeza mbele wewe unatuletea mzaha hapa.
 
KAmuulize yule aliyetangaza nia ya kugombea urais wa 2015 huku akiwa katika katikati za kampeni za 2010.
 
Tatizo CHADEMA ina wenyewe wenye hisa zao katika kukianzisha.
Kwani ulikuwa hujui kuwa Mzee Mtei baada ya kuondoka amemuachia mkwe wake kama mwenyekiti? Na kwa taarifa ni kwamba mwenyekiti ameshaamua mgombea wa 2015 atakayepinga atakiona cha moto. Kuna ushauri kwamba CDM ibadilishwe jina kiitwe chama cha Maendelona kiache kutumia neno Demokrasia kwenye jina lake.
sasa nimekuelewa ndugu yangu kama hvyo zitto hana haki maana kitendo cha zito kupgania umri wa kugombea urais upunguzwe mzee mtei amemponda zito amesema anatamaa.
 
Na lini alikataa? Ubaya wenyewe unakuja kuwa unakasirika mmoja kujitangaza lakini unaamuwa kumtangaza mwengine huku ukijuwa kuwa mna utaratibu maalum.

Mbona yule mama Shelukindo kamtangaza Lowasa baada ya kula pilau na kunywa wine za mwaka mpya hukuja humu kusema kitu!! Una bifu na Dr. tu wewe!! Ndiyo walewale mliotumwa........... mapandikizi!!
 
Na lini alikataa? Ubaya wenyewe unakuja kuwa unakasirika mmoja kujitangaza lakini unaamuwa kumtangaza mwengine huku ukijuwa kuwa mna utaratibu maalum.
unataka akatae nini sasa wakati hajawahi tangaza
 
Hili jambo huwa nashindwa kulielewa kwamba mtu wa tofauti wa mikoa ya kaskazini hatakiwi au inakuwaje maana nimeshasikia zaidi ya mara moja humu jf na baadhi ya viongozi CHADEMA wakimtaja Dr. Slaa kama ndo mgombea wa 2015,Ila Zitto akisema nataka kugombea urais anaambiwa anavuruga chama. Hadi mzee Mtei aliongea lakini km wiki zilizopita Mbowe kamtaja Dr. Slaa alisifiwa kweli kwa busara.

Hivi tatizo nini?kugombea uongozi ni haki ya kila mmoja kwanini Zitto inakuwa nongwa ?
nakuonea huruma sana aisee maana hili jambo unalozungumzia hapa muda simrefu watakuita masalia.wakikuhurumia sana watasema umetumwa na wassira ukaivuruge chadema.chonde chonde ondoa mjadala wako huu kwa hiyari maana kuna watu wakisikia mtu akimchallenge slaa wanataka kufa.
 
hv kati ya zitto na huyo mnaemtaka nani wa kutilia shaka?maana zitto hajawahi kuwa na chama zaidi ya cdm lakini huyo mwingne ana uwanachama wa vyama 2

kwa hakika wakumtilia shaka ni yule asiyeimba wimbo wa chama kimatendo
 
maswali ya masali tumeyachoka humu JF, kamuulize mwenyewe
 
hv kati ya zitto na huyo mnaemtaka nani wa kutilia shaka?maana zitto hajawahi kuwa na chama zaidi ya cdm lakini huyo mwingne ana uwanachama wa vyama 2
na cc ndo tunamtaka mwenye uanachama wa vyama viwili ili tupate kura za vyama vyote viwili
 
Tatizo CHADEMA ina wenyewe wenye hisa zao katika kukianzisha.
Kwani ulikuwa hujui kuwa Mzee Mtei baada ya kuondoka amemuachia mkwe wake kama mwenyekiti? Na kwa taarifa ni kwamba mwenyekiti ameshaamua mgombea wa 2015 atakayepinga atakiona cha moto. Kuna ushauri kwamba CDM ibadilishwe jina kiitwe chama cha Maendelona kiache kutumia neno Demokrasia kwenye jina lake.
Watu wanasema wew na mama yako wote muko chadema na bila mama yako usingechukua kadi ya chadema unasemaje hilo chadema ibadilishwe jina itwe mto na mam fresh
 
there are scores of reasons, lakini kwamba hana uwezo hiyo haimo katika mlolongo huo wa sababu!
I beg to differ with you particularly on the red highlight. In my opinion "the young man" has shown a high degree of hypocricy, selfish orputunistic behaviour and ego which to me desqulifies him in the contest. Anyway it should not be a one man crusade to become a leader of the country it should take the people and from where I stand I dont see many behind Zitto as I see them behind Slaa.
 
Zitto na Dr Slaa wana kitu kimoja tu kinachofanana kwamba wote ni wanachama na viongozi wa CHADEMA. Kwa mengine yote wako mbali kama magharibi na mashariki na kwa hiyo huwezi kulazimisha wakubalike ama kukatalika kwa uwiano sawa.

Naomba usilitazame hili suala kwamba ni la Ukaskazini na Ukigoma. Liangalie kwa mantiki hiyo hapo juu kwamba hata kama zito angekuwa wa Kaskazini Dr Slaa akawa Muha, bado Dr Slaa angekubalika na Uha wake kuliko Zito na Ukaskazini wake.

Kwa uharaka unaweza kujua ni kwa nini Zito anakataliwa na Dr Kukubalika hata namna ya utangazaji wa hiyo nia unavyokuwa. Iko namna ya kutangaza nia watu ikajua kweli nia yako safi na aina nyingine iko nasomeka ni fujo. Kama ile ya Zito.
 
Tatizo CHADEMA ina wenyewe wenye hisa zao katika kukianzisha.
Kwani ulikuwa hujui kuwa Mzee Mtei baada ya kuondoka amemuachia mkwe wake kama mwenyekiti? Na kwa taarifa ni kwamba mwenyekiti ameshaamua mgombea wa 2015 atakayepinga atakiona cha moto. Kuna ushauri kwamba CDM ibadilishwe jina kiitwe chama cha Maendelona kiache kutumia neno Demokrasia kwenye jina lake.

Ni kweli CDM ina wenyewe mmoja wapo ni Mbunge kotoka Kaskazini ya Kigoma. najua wapo watakaochukia kwasababu yeyote anayetokea kaskazini kawo ni jinai.
 
Mwenye chama alishamuita wa kuja sasa unategemea nini? waachieni wenye chama chao.
 
Kama unampenda Zitto, mtafutie dada yako mzuri mzuri ili apumzike naye siku moja kama House Girl .....
 
Zitto na Dr Slaa wana kitu kimoja tu kinachofanana kwamba wote ni wanachama na viongozi wa CHADEMA. Kwa mengine yote wako mbali kama magharibi na mashariki na kwa hiyo huwezi kulazimisha wakubalike ama kukatalika kwa uwiano sawa.

Naomba usilitazame hili suala kwamba ni la Ukaskazini na Ukigoma. Liangalie kwa mantiki hiyo hapo juu kwamba hata kama zito angekuwa wa Kaskazini Dr Slaa akawa Muha, bado Dr Slaa angekubalika na Uha wake kuliko Zito na Ukaskazini wake.

Kwa uharaka unaweza kujua ni kwa nini Zito anakataliwa na Dr Kukubalika hata namna ya utangazaji wa hiyo nia unavyokuwa. Iko namna ya kutangaza nia watu ikajua kweli nia yako safi na aina nyingine iko nasomeka ni fujo. Kama ile ya Zito.

umenifanya na mimi kufanananisha kauli hizi

CDM
Zito: 2015 sitagombea tena Ubunge
Mbowe & Co.: Dr. Slaa Atosha

CCM
Membe: 2015 Sitagombea tena Ubunge
Shelukindo & Co: Lowasa ndiye anayefaa kuchukua kijiti baada ya JK
 
Back
Top Bottom