Yes kiasiKila kitu kisizidi uwezo wako kukihimili.Too much of anything is harmful.Lokoles huwa wenyewe kila kitu ni kibaya kwao.Yani ilimradi usifurahie maisha.Wapo medieval ages kila muda.
Naam.Kikizidi kiasi hitajika kinakuwa ulafi.Yes kiasi
Pombe ni kinywaji kinachokurahisisha kufikiri dhambi na kuitenda dhambi. Kwa ufupi Pombe ni dalali wa dhambi.Wakuu, jana nimetoka kwenye mishe zangu nikapitia bar flani ya jirani kupooza koo kidogo.wakapita walokole flani hivi tunafahamiana nikawapungia mkono,wakaniita pembeni,jambo Lao kubwa likawa wananiambia eti niache kunywa pombe kwani unywaji wa pombe ni dhambi kubwa sana.nikawaitikia ila baadae nikafungua biblia kutafuta mstari wowote unaosema kuwa kunywa bia ni dhambi lkn sijaona popote palipoandikwa hivyo.
So labda na nyie mnisaidie kujua wakuu,je kunywa pombe ni dhambi au sio dhambi?
Umewahi kunywa pombe au unaisingizia kwa uzembe wako tu?Pombe ni kinywaji kinachokurahisisha kufikiri dhambi na kuitenda dhambi. Kwa ufupi Pombe ni dalali wa dhambi.
Ilikufanya nini?Pombe ni nyoko tu kiufupi.
Hii ni CHAI tena haina sukari. Kajipange uje na hoja yako tena.Wakuu, jana nimetoka kwenye mishe zangu nikapitia bar flani ya jirani kupooza koo kidogo.wakapita walokole flani hivi tunafahamiana nikawapungia mkono,wakaniita pembeni,jambo Lao kubwa likawa wananiambia eti niache kunywa pombe kwani unywaji wa pombe ni dhambi kubwa sana.nikawaitikia ila baadae nikafungua biblia kutafuta mstari wowote unaosema kuwa kunywa bia ni dhambi lkn sijaona popote palipoandikwa hivyo.
So labda na nyie mnisaidie kujua wakuu,je kunywa pombe ni dhambi a dhambi?
Nimegonga pombe mtaa a nmetoka vizuri tu tena nimewaaga wana nikapumzike aisee sikufika mtaa b.nikala mweleka na habari ikaishia hapo.alikuja niokota wife baada ya kupigiwa simu na wanaonijua kile kitaa.kiufupi nlikua mfu saa saba ndo nazinduka usiku toka jioni.nlishindwa hata kula kwa siku tatuIlikufanya nini?
Usinywe pombe kali zitakudhalilisha na upunguze kiwango.Kuitwa majesty siyo mchezo.Kuwa makini.Nimegonga pombe mtaa a nmetoka vizuri tu tena nimewaaga wana nikapumzike aisee sikufika mtaa b.nikala mweleka na habari ikaishia hapo.alikuja niokota wife baada ya kupigiwa simu na wanaonijua kile kitaa.kiufupi nlikua mfu saa saba ndo nazinduka usiku toka jioni.nlishindwa hata kula kwa siku tatu
Wakuu, jana nimetoka kwenye mishe zangu nikapitia bar flani ya jirani kupooza koo kidogo.wakapita walokole flani hivi tunafahamiana nikawapungia mkono,wakaniita pembeni,jambo Lao kubwa likawa wananiambia eti niache kunywa pombe kwani unywaji wa pombe ni dhambi kubwa sana.nikawaitikia ila baadae nikafungua biblia kutafuta mstari wowote unaosema kuwa kunywa bia ni dhambi lkn sijaona popote palipoandikwa hivyo.
So labda na nyie mnisaidie kujua wakuu,je kunywa pombe ni dhambi au sio dhambku
Maandiko yanatuasa tuwe na kiasi.. Hivyo kunywa kidogo kwa ajili ya afya ya mwili na akili sio dhamnbi kabisaWakuu, jana nimetoka kwenye mishe zangu nikapitia bar flani ya jirani kupooza koo kidogo.wakapita walokole flani hivi tunafahamiana nikawapungia mkono,wakaniita pembeni,jambo Lao kubwa likawa wananiambia eti niache kunywa pombe kwani unywaji wa pombe ni dhambi kubwa sana.nikawaitikia ila baadae nikafungua biblia kutafuta mstari wowote unaosema kuwa kunywa bia ni dhambi lkn sijaona popote palipoandikwa hivyo.
So labda na nyie mnisaidie kujua wakuu,je kunywa pombe ni dhambi au sio dhambi?
Wakuu, jana nimetoka kwenye mishe zangu nikapitia bar flani ya jirani kupooza koo kidogo.wakapita walokole flani hivi tunafahamiana nikawapungia mkono,wakaniita pembeni,jambo Lao kubwa likawa wananiambia eti niache kunywa pombe kwani unywaji wa pombe ni dhambi kubwa sana.nikawaitikia ila baadae nikafungua biblia kutafuta mstari wowote unaosema kuwa kunywa bia ni dhambi lkn sijaona popote palipoandikwa hivyo.
So labda na nyie mnisaidie kujua wakuu,je kunywa pombe ni dhambi au sio dhambi?
Kunywa bia mbili au tatu Ili kuchangamsha mwili sio dhambi. Hawa walokole inabidi waache ujinga.Wakuu, jana nimetoka kwenye mishe zangu nikapitia bar flani ya jirani kupooza koo kidogo.wakapita walokole flani hivi tunafahamiana nikawapungia mkono,wakaniita pembeni,jambo Lao kubwa likawa wananiambia eti niache kunywa pombe kwani unywaji wa pombe ni dhambi kubwa sana.nikawaitikia ila baadae nikafungua biblia kutafuta mstari wowote unaosema kuwa kunywa bia ni dhambi lkn sijaona popote palipoandikwa hivyo.
So labda na nyie mnisaidie kujua wakuu,je kunywa pombe ni dhambi au sio dhambi?
Hayajasema msinywe bali yamesema MSILEWE..