wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,598
- 3,405
Kwa hiyo hujamuelewa au?Ukisema sijafanya utafiti wa kutosha lazima utuambie wewe bei yako baada ya utafiti!....unless kama unataka kuleta uswahili pia routers unaweza kuwaonganisha familia au team yako mkiwa kwenye event au kazini so inamatumizi mengi labda kama huyajui!!
Kama vipi njoo mjini usafishe akili na macho.
Madhara ya kuishi magengeni ni makubwa kuliko faida.
The Risks of Living in The Slums Far Outweigh The Benefits