Hivi kuna watu mpaka leo wanatumia mabando ya 2100?

Hivi kuna watu mpaka leo wanatumia mabando ya 2100?

Nje kidogo ya mada.

Kuna jamaa ana WIFI huwa anaunganisha watu eneo fulani limechangamka.

Huyu jamaa amefunga kidude kama antenna 📡 nahisi ndio kina supply eneo zima.

Huyu jamaa akikuunga unaweza kusogea hata umbali wa Mt 100 inasoma vizuri.

Kujiunga masaa 12 jero au 24 kwa buku.

Swali langu, je, hivi akikuunga wewe huwezi kumu hotspot mtu mwingine? Labda mpo watatu ila anajiunga mmoja wengine mnapata kutoka kwake?

Kile ki WiFi gharama yake ni bei gani?

Je biashara hii inalipa kweli?
 
Upo sahii
Yaani unatumia bando linaisha ata hujamaliza siku akati kuna Pocket wifi za yas kwa sh140,000 unapata kifaa chenywe kinakaa na charge masaa 8 mpaka 10 nakupa na unlimited bundle mwezi mzima baada ya mwezi utakua unarenew kwa 70,000 tu kupata unlimited bundle yako.

Upo sahihi mzee, ila inategemea na matumizi ya mtu. Binafsi Mimi ni heavy user natumia internet muda mwingi hata mpira naangalia kupitia internet, nishaacha kulipia ving'amuzi mechi zote mpaka za NBC premier league naangalia online kupitia fawanews.com. kwaiyo kama wewe ni heavy user vibundle vya GB 10 havitoshi. Natumia unlimited ya Yas elf 70 kwa mwezi ipo fresh, inasukuma device tatu kwa wakati mmoja bila kukata kata.
 
H hizo Gb zote ulikuwa unafanya nini?
1787572744955.png

- Tayari GB1 zaidi imeongezeka.
<Jibu> Streaming
 
Acha uongo wewe kama nani?.......Hatupo zama za mawe saivi kwamba utadanganya tu akati kila kitu kipo wazi
Sasa kijana! nilisema nina sababu nitakazozitaja, badala ya kuzipinga ukaamua kuanza na vijembe na mitihani ya Ndalichako. Hapo umepinga hoja gani hasa?
na elimu ipo mkononi...ndio maana mlifeli mitihani ya ndalichako uongo mwingi
Elimu kuwa mkononi ni vizuri. Sasa itumie kutofautisha hoja na mtu anayetoa hoja.
 
Nje kidogo ya mada.

Kuna jamaa ana WIFI huwa anaunganisha watu eneo fulani limechangamka.

Huyu jamaa amefunga kidude kama antenna 📡 nahisi ndio kina supply eneo zima.

Huyu jamaa akikuunga unaweza kusogea hata umbali wa Mt 100 inasoma vizuri.

Kujiunga masaa 12 jero au 24 kwa buku.

Swali langu, je, hivi akikuunga wewe huwezi kumu hotspot mtu mwingine? Labda mpo watatu ila anajiunga mmoja wengine mnapata kutoka kwake?

Kile ki WiFi gharama yake ni bei gani?

Je biashara hii inalipa kweli?
Unaweza ila akicheki kwenye user ambao wako registerd atagundua hao uliowa hotspot anawaondoa kisha anabadili nywila. Akibadili nywila na kwako inakata utamrudia tu.

Kwenye biashara kulipa hili sijui kwa sababu sijawahi kufanya hiyo biashara.
 
Sio kwa nia mbaya ila router yoyote ambayo jina lake lina neno "pocket" ni scam kwasababu ambazo nitazitaja hapo baadae. Hivyo nawashauri watu bora wanunue unlimited bundles kwenye simu zao kuliko hivyo vidude
Huyu fala anataka kuingiza watu mjini.
Akawapige watu wa magengeni huko.
 
anawaondoa kisha anabadili nywila. Akibadili nywila na kwako inakata utamrudia tu.
<Wifi - Bila Nyila>
- WIFI hain nyila ( Picha)
1787574865090.png

<Je nazuia vipi watumiaji wengine wasitumie internet>
  • Kila mwenye uhitaji huwa nachukua MAC address ya kifaa chake.
  • Narusuhus apate au asipate internet kupitia "whitelist"
1787574978052.png

- Hivo hakuna awezaye kutumia internet bila ya mimi kumruhusu, Mfano mwenye kifaa namba 7 hapati internet.
1787575092067.png
<Kitu cha kujifunza> Jibu nililotoa hapo juu ndio walio wengi watoa huduma, licha ya 'Nyila' pia kuna MAC address ambapo una option mbili 'whitelist / blacklist'
 
Huyu fala anataka kuingiza watu mjini.
  • Kinachokupatia unlimited internet sio kifaa, ni laini ya simu
  • Ukiwa na laini waweza kuweka kwenye kifaa cha 5G au 4G
  • Mfano mleta mada kifaa ni 4G, ila laini ni 5G na vifurushi ni vya 5G ndio sababu kwenye maelezo yake kuna hii sentensi.
bundle mwezi mzima baada ya mwezi utakua unarenew kwa 70,000 tu kupata unlimited bundle yako.
== My take ==
Mleta mada hajafanya utafiti kujua bei ya hizo device,
  • Ikiwa device ya 5G used waweza kupa kwa 50K, why auze 4G kwa 140K angeweka tu wazi kuwa anauza laini - Angeleweka zaidi.
  • Ila hata kwa bei ya laini bado iko juu - haina uhalisia.
 
  • Kinachokupatia unlimited internet sio kifaa, ni laini ya simu
  • Ukiwa na laini waweza kuweka kwenye kifaa cha 5G au 4G
  • Mfano mleta mada kifaa ni 4G, ila laini ni 5G na vifurushi ni vya 5G ndio sababu kwenye maelezo yake kuna hii sentensi.

== My take ==
Mleta mada hajafanya utafiti kujua bei ya hizo device,
  • Ikiwa device ya 5G used waweza kupa kwa 50K, why auze 4G kwa 140K angeweka tu wazi kuwa anauza laini - Angeleweka zaidi.
  • Ila hata kwa bei ya laini bado iko juu - haina uhalisia.
Ukisema sijafanya utafiti wa kutosha lazima utuambie wewe bei yako baada ya utafiti!....unless kama unataka kuleta uswahili pia routers unaweza kuwaonganisha familia au team yako mkiwa kwenye event au kazini so inamatumizi mengi labda kama huyajui!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom