Hivi kuna watu mpaka leo wanatumia mabando ya 2100?

Hivi kuna watu mpaka leo wanatumia mabando ya 2100?

Sio kwa nia mbaya ila router yoyote ambayo jina lake lina neno "pocket" ni scam kwasababu ambazo nitazitaja hapo baadae. Hivyo nawashauri watu bora wanunue unlimited bundles kwenye simu zao kuliko hivyo vidude
Acha uongo wewe kama nani?.......Hatupo zama za mawe saivi kwamba utadanganya tu akati kila kitu kipo wazi na elimu ipo mkononi...ndio maana mlifeli mitihani ya ndalichako uongo mwingi
 
Yaani unatumia bando linaisha ata hujamaliza siku akati kuna Pocket wifi za yas kwa sh140,000 unapata kifaa chenywe kinakaa na charge masaa 8 mpaka 10 nakupa na unlimited bundle mwezi mzima baada ya mwezi utakua unarenew kwa 70,000 tu kupata unlimited bundle yako.

Mbona mimi nimenunua bando la 2,000/= unlimited tangu april, sijui kuishiwa bando kwenye simu siku 365 nipo online
 
Unlimited una maanisha nini?
Kama hivi
1787570455141.png
Matumizi ya Mwezi huu nimefikisha GB 650+
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom