Hivi kuna watu mpaka leo wanatumia mabando ya 2100?

Hivi kuna watu mpaka leo wanatumia mabando ya 2100?

Kila mtu na maisha yake wa buku tunatumia bando letu kwasababu hatuna matumizi makubwa yanayotulazimu tuwe na unlimited kwasababu hatuna online business inayotuingizia hela kahiyo hiyo ni kwa wale wenye biashara zaidi ya hapo ni matumizi mabaya ya pesa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom