Francis fares Maro
JF-Expert Member
- Jun 20, 2021
- 1,227
- 1,339
Shida hawa Diaspora wamepewa majina makubwa!!.. Huwezi kuishi na kufanya Kazi US Kwa 5 years alafu ukaja hapa ukafungua Duka la Nguo au la Vyombo vya Ndani au Vitenge Eti umeishi ulaya for 10 years umerudi hapa umefungua Bar huko Mpiji magoe Au ulikua UAE for 7 years unaenda kulima Tikiti Kigamboni au kufunga Kuku 150 wanyama!!..Hii mada ina ukweli lakini inategemea zaidi na Mindset na jinsi ya kusimamia malengo kwa Diaspora husika. Kinachowaponza wengi ni sifa na kufuata Mkumbo.
Ila still wapo wengi ninaowajua waliofanikiwa vizuri.