Turidafafue ndio niniHbr za mida Wakuu,
Hivi kuna sababu zipi zilizopelekea kushindwa kwa India katika vita ya 1962.Kwa sababu ya Mpaka kati ya China na India,Japo mgogoro bado Upo chini chini,mwenye sababu anisaidie maana nimefuatiria migogoro ya mipaka mingi cana.
Soo huwa sielew kwa nini India alixhindwa vita iyoo?!!
Karibuni wakuu turidadafue hili jambo..View attachment 750050
Maalifa ndio nini?U
Uandishi wako waki face book uwe Na nidhamu Dogo unapo taka kupewa maalifa. Ngoja wanakuja
Hiyo ni typing error sikukusudia kuandika hivyo.ni maarifaLabda ni kinyume na maarifa haya tunayoyajua sisi,maana ametuchanganya mkuu.
Unaandika kama demu mpk mm umenikera.Sawa mkuu hakna xhida,japo ungenisaidia kidogo kupata sabab na sio kuzba nafac za akna joserevest,but ucwaze cana mm n mtu wa utani mwingi
Mwambie huyo dogo wa Facebook, uandishi wa kimapenzi sijui huwa wana haraka gani.Popote ulipotumia X badala ya S rudia kuziondoa halafu tumia lugha inayoeleweka upo "JAMII INTELLIGENCE" lasivyo mada yako ni utoto haupo serious!!!..SIO OMBI
Daah mkuu umenikumbusha mbali kidogo, ya tano iwe internal disputes.Point ni zile zile mkuu
1. Poor weapons
2. False ideology
3. Lack of good leadership
4. Lack of transport
Hyo moja tafuta mwenyewe ziwe tano
hahahahh!!...Daah mkuu umenikumbusha mbali kidogo, ya tano iwe internal disputes.
Ana utoto sanaHii inadhihirisha mtu huyu kama sio hakufaulu somo la kiswahili basi mbwembwe za ufupisho wa maneno zimempita kushoto
Teh teh ati si ombi..Popote ulipotumia X badala ya S rudia kuziondoa halafu tumia lugha inayoeleweka upo "JAMII INTELLIGENCE" lasivyo mada yako ni utoto haupo serious!!!..SIO OMBI
Kaiweka kichit chat sana!..halafu sijui imekuaje Admin wameipeleka hewani bila kuiangalia post wakati ukiweka mada huku Intelligence kuna kaujumbe "waiting for moderation before posted"Teh teh ati si ombi..
Watu wa Jf mna mikwara..