Hivi kuna sababu zipi zilizopelekea kushindwa kwa India katika vita ya 1962

FUTA UZI WAKO
afu rudia kuandika vizuri kabisa na kwa heshima kama mtu anaehitaji kweli Msaada kisha usubiri uone majibu yake utakayopata na hutojuta kuwa hapa jukwaani ni hayo tu chief
Asante sana chief
 
Hbr za mida Wakuu,

Hivi kuna sababu zipi zilizopelekea kushindwa kwa India katika vita ya 1962.Kwa sababu ya Mpaka kati ya China na India,Japo mgogoro bado Upo chini chini,mwenye sababu anisaidie maana nimefuatiria migogoro ya mipaka mingi cana.

Soo huwa sielew kwa nini India alixhindwa vita iyoo?!!

Karibuni wakuu turidadafue hili jambo..View attachment 750050
Turidafafue ndio nini
 
Popote ulipotumia X badala ya S rudia kuziondoa halafu tumia lugha inayoeleweka upo "JAMII INTELLIGENCE" lasivyo mada yako ni utoto haupo serious!!!..SIO OMBI
Mwambie huyo dogo wa Facebook, uandishi wa kimapenzi sijui huwa wana haraka gani.
 
Msameheni bure kwa uandishi wa kitoto, lakini mwenye kujua atoe hiyo elimu itusaidie na sisi pia.
 
Popote ulipotumia X badala ya S rudia kuziondoa halafu tumia lugha inayoeleweka upo "JAMII INTELLIGENCE" lasivyo mada yako ni utoto haupo serious!!!..SIO OMBI
Teh teh ati si ombi..
Watu wa Jf mna mikwara..:D:D:D
 
Hadi post hii bado hajajibiwa! Kweli JF kosa dogo tu unajiharibia uzi wako!
 
Teh teh ati si ombi..
Watu wa Jf mna mikwara..:D:D:D
Kaiweka kichit chat sana!..halafu sijui imekuaje Admin wameipeleka hewani bila kuiangalia post wakati ukiweka mada huku Intelligence kuna kaujumbe "waiting for moderation before posted"
Kuna wengine wanalalamika nyuzi zao hazipandi huku!.
 
Back
Top Bottom