Hivi kuna Route ndefu kuishida Dar - Karagwe?

Sahihi kabisa. Juzi nimepishana na hiyo City Boy mida ya 12 jioni Dodoma nikajiuliza hili basi liko serious kweli?? nikajiuliza litafika lini huko Karagwe.
Wanaopanda hilo gari ni ukosefu wa pesa z kutosha ila sio kabisa kwa safari ya umbali ule
 
Nilipandia singida hiyo basi ya play boy inayotoka karagwe ilifika singida kwenye saa mbili ,
Nikapanda kuelekea dar aisee watu niliowakuta ndani ya gari walikuwa wamechoka balaa ukikaa karibu na mtu unasikia harufu kama vile kafariki duh
Safari ndefu balaa.
 
Wewe ni wakukurupuka kama jina lako... Wapi mtoa mada ameongelea ishu ya mabasi... Kajifunze kuelewa sentensi za kiswahili kwanza ndio ulete ukurupukaji wako... Hapa tunaongelea route
Sasa kuna route bila aina ya usafiri unaenda mbinguni au?
Hapa ni Mabasi hatuzungumzii safari za kuunga unga.
 
Nilipandia singida hiyo basi ya play boy inayotoka karagwe ilifika singida kwenye saa mbili ,
Nikapanda kuelekea dar aisee watu niliowakuta ndani ya gari walikuwa wamechoka balaa ukikaa karibu na mtu unasikia harufu kama vile kafariki duh
Safari ndefu balaa.
😂😂😂😂Mtuache tunachoka kwer kwer
 
Yani mwanang
Sio kweli Kigoma pafupi kuliko hata Bukoba. Elewe kua Bus za kigoma zinapita hapo Manyoni - Itigi-Tabora - Urambo -Kaliua then Kigoma mapema sana.
Yaani chief we mbishi au nawe wakigoma😂😂mabasi yapite manyoni sijui yapite Nzega kote Yana lala njiani ukitoka kule apa unafika saa kumi alfajiri iyo ni siku ya ngapi
 
Karagwe ipo ndani ya mkoa gani? Kwanini unashindwa kuchambua thread kiasi cha kwamba unaandika kaa sisi wote tumekaa huko mkuu? Au ii ilikuwa text unamtumia shemeji imejipost kibahati mbaya?
Hii elimu nowadays sijui tumebugi wapi, hivi unashindwaje kujua wilaya za mikoa ya Tanzania? Hapo ukiulizwa majina ya wachezaji wa Man U au Liver unayajua yoooteee mpaka bench la ufundi ...
 
Back
Top Bottom