Njia ndefu zaidi kutoka TANROADS

Itscharlie

JF-Expert Member
Apr 15, 2022
3,795
15,777
Ukisema kwenu ni mbali pengine ni karibu sana kuna wenzako siku mbili wapo njiani wanaendelea na safari hizi ni njia za mkoa kwa mkoa zenye kilomita ndefu zaidi hapa nchini
Kama zipo nyingine zaidi ya hizi usisite kuziongezea karibuni.

Musoma-Mtwara
-1926

Lindi-Bukoba
-1744km

Mtwara-Mpanda
-1683km

Lindi-Mpanda
-

Dar-Karagwe
-1545km
Bus distance-1545km
Flight distance-1093km
Driving time-20hrs 3min
Flight- 1hr 51min

Dar-Bukoba
-1423 distance
Bus distance-1423km
Flight-1027km
Driving time-18hrs 39min
Flight-1hr 46min

Songea-Mwanza
-1421km
Driving time-15hrs 30min

Dar-Musoma
-1370km
Driving time 13hrs>

Dar-Sumbawanga
-1348

Dar-Kigoma
-1258km

Dar-Geita
-1228km

Moro-Bukoba
-1241

Hembu shusha zingine tuone route gani ni ndefu zaidi kuliko zingine.
 
Back
Top Bottom