Ugumu wake ni upi hapo? Masomo yenye formula yanakuwaje magumu? Ukishaelewa vitu kama Calculus, Linear Algebra, Complex Numbers, Probability & Statistics na Classical Physics (hasa Mechanics na Waves) kipi kitakushinda hapo?
Binafsi masomo magumu ambayo kwa kweli huwa nashangaa sana wanao yasoma ni kama Sociology, political science, diplomacy, economics na mengineyo ya aina hiyo.
Unasoma vitu ambavyo vinaishia vitabuni, havipo implemntable kabisa. Wasomi wake ni wengi lakini hata uwape nafasi ya kufanyia kazi, bado social status ku improve ni miujiza, mmesoma program moja, lakini implimentation yake inatofautiana kabisa nchi na nchi. Huwa siyaelewi kabisa