Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,766
- 10,624
Mwanzoni huwa siri,bahati mbaya Ikifahamika ndio kesi na fedheha.Sheria kweli zipo... Lakini si mpaka mtu aende kushtaki.Na jambo lenyewe linafanyika kwa makubaliano tena kwa siri. Mtawakamataje???
1)Mwanza 2012 baba wa around 60 alimkuta mkewe na their son. Akapiga mapanga akaua.
2)Pwani mzee wa 80 alihisi mkewe 50 anatembea na son 13. Akamwambia mkewe aapie kama hahusiki. Mke akakaza,mzee akanywa dawa akafa.
Hizi ni zilizofahamika.