Nonpartisan
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 278
- 254
Mkuu ungeibia ka picha tuamini.
Oooh sorry sikujua comment yangu itakupea tabu,nilijibu mleta mada.Wewe uliyezaliwa na kukulia Mwanalumengo unaona sio poa lakini wenzio wamekulia Chicago kwenye tamaduni tofauti. Umbea ni kuchukua mambo ya nyumbani mwa watu na kuyajengea mazingira mabaya kwa jinsi utakavyo wewe
Dada mtamu sana huyo...Huo ni utamaduni wa hiyo familia, waliouzoea. Ukiwashangaa na wao watakushangaa. Kuna baadhi ya familia huwezi kukuta mtoto wa kike amefunga kanga lubega asubuhi hadi jioni halafu anapita pita mbele ya wazazi wake, ila ukistaajabu hilo kwa huku uswahilini kwetu watakuona mshamba tu.
View attachment 465693
Hata tukurejea tulipotoka, zamani wazee wetu walikuwa wanakaa nusu uchi na familia zao lakini kwa sababu ilikuwa ni utamaduni wao, haikuleta shida wala haikuwa ni jambo la kushangaza.
View attachment 465694
Wanajamvi,
Ni matuamini yangu sote tu wazima wa afya, kwa wale wenye shida na changamoto tofauti tuombe Mungu na tusikate tamaa. Hivi limekaaje hili suala la mtoto wa kike kukaa nusu uchi mbele ya kaka yake au baba yake mzazi, Leo nimepita katika familia moja kubwa na ya kitajiri kwelikweli hapa nchini nimeshuhudia hili na wao wako sawa kabisa wala hawahisi kukosea.
Niliitwa na rafiki yangu mtoto wa tajiri huyo, nilipofika katika nyumba hiyo nikashtuka kidogo kuona hali ilivokuwa pale, mtoto kavaaa kigauni kifupi kiasi kwamba hawez hata kuinama bila kuonyesha utamu wake hadharani na juu huko nguo ni very transparent Niliwakuta wakicheza Ps ila katika viti tofauti.
Je, imekaaje hii ni uzungu au?
Mke wa kaka yako ni mkali? Tuanzie hapo. Isijekuwa bi chekaInabidi wavae vizuri na wafunike maungo yao maana ni yathamani sana
Mi binafsi siwezi pata hisia za dada yangu kamwe hata mke wa kaka yangu.hata nikiwa kwenye gemu nikamfikiria mke wa kaka yangu isia zinapungua
Unachangia kwa wanajamii, sio mtoa mada. Acha wogaOooh sorry sikujua comment yangu itakupea tabu,nilijibu mleta mada.
sawaUnachangia kwa wanajamii, sio mtoa mada. Acha woga