Hivi kumvalia nusu uchi kaka yako ni sawa?

Hivi kumvalia nusu uchi kaka yako ni sawa?

Baada ya kumuuliza jamaa yangu zaidi ya mara mbili hasa nikitaka kujua kwamba kile ninacho fahamu cha undugu wao je ni sahihi na jamaa kanihakikishia kuwa ni sahihi na ni ndugu wa tumbo moja na alikuwa akinishangaa mimi kwanini nashangaa
Ulizubaa ungemuomba namba huyo binti!
 
Kaka zangu uwakalie ki asara asara hivyo kwanza bila mtandio kichwani utaisoma number,seuze ukave sijui mini hata kama umeolewa ukija kwao kuja na adabu zako..
 
Huo ni utamaduni wa hiyo familia, waliouzoea. Ukiwashangaa na wao watakushangaa. Kuna baadhi ya familia huwezi kukuta mtoto wa kike amefunga kanga lubega asubuhi hadi jioni halafu anapita pita mbele ya wazazi wake, ila ukistaajabu hilo kwa huku uswahilini kwetu watakuona mshamba tu.
View attachment 465693

Hata tukurejea tulipotoka, zamani wazee wetu walikuwa wanakaa nusu uchi na familia zao lakini kwa sababu ilikuwa ni utamaduni wao, haikuleta shida wala haikuwa ni jambo la kushangaza.
View attachment 465694
Picha ilikuwa ni ngumu kupata ila pia kwa utashi wangu nisingeweza kuweka picha zao bila ruhusa yao
inasemekana Mzazi akiwa mnenguaji basi watoto huwa vinyang'anyiro halisi !!!!!
 
Siku hizi hata huku uzunguni mambo yanapungua sana aise! Kumbe nyumbani bado wanaiga tu!
 
Dada hana chiu kwa kakaake wewe.Hata hizo cjui hijab hom hawavai.Sema na moyo wako.
 
Wanajamvi ni matuamini yangu sote tu wazima wa afya, kwa wale wenye shida na changamoto tofauti tuombe Mungu na tusikate tamaa.
Hivi limekaaje hili suala la mtoto wa kike kukaa nusu uchi mbele ya kaka yake au baba yake mzazi,
Leo nimepita katika familia moja kubwa na ya kitajiri kwelikweli hapa nchini nimeshuhudia hili na wao wako sawa kabisa wala hawahisi kukosea.

Niliitwa na rafiki yangu mtoto wa tajiri huyo, nilipofika katika nyumba hiyo nikashtuka kidogo kuona hali ilivokuwa pale, mtoto kavaaa kigauni kifupi kiasi kwamba hawez hata kuinama bila kuonyesha utamu wake hadharani na juu huko nguo ni very transparent Niliwakuta wakicheza Ps ila katika viti tofauti,
Je imekaaje hii ni uzungu au.
Hongera kwa kuingia kwenye nyumba ya kitajiri
 
Inamaana ukimkuta Dada yako yuko uchi Mara 2 tatu unamaliza?
 
Fuckup wapi umeona nimeandika hiyo ktu unayowaza kama umeamua tu kuandika bila kuelewa please not on this buddy
Haujajibu swali mkuu.....

Kama ni ndio Basi asivae hivyo vivazi....

Kama Sio mwache avae chochote tu maana Amna effect yoyote.......

Sio uzunguni tu Mkuu Uswahiliin MTU anashinda na Kanga moja mbele ya familia ni vitu vya kawaida sana.....
 
Ndo maana mvua hazinyeshi maaaana kwa namna unavojibu ni kama vitu hivi ni vya kawaida saaaana kwenu
 
Duh hiyo sio poa kabisa,heshima lazima iwepo na mipaka iwepo,
 
Hao wazungu wenyewe ambao paja na mkono rangi sawasawa sasa hivi wanagegedana ndani ya family kwa kujidai wako huru kupita kiasi... Je sisi waafrika tulivyo na maumbile ya kutamanisha itakuwaje?
Wanazo sheria Kali tu kwenye incestious relationship. Hata kwao ni taboo
 
Wanazo sheria Kali tu kwenye incestious relationship. Hata kwao ni taboo
Sheria kweli zipo... Lakini si mpaka mtu aende kushtaki.Na jambo lenyewe linafanyika kwa makubaliano tena kwa siri. Mtawakamataje???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom