uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,454
- 2,244
Story tamu lakini fupi..anyway huna kosa ndugu
pale wanawake wanataka kujifananisha na wanaume hayo ndio matokeo,cheeerrrs
Kosa lako ni kutokusamehe na kuchepuka baaas...hakuna lingine
amen amenkama ukiwa mgonjwa alikuhandle with care tena bila malalamiko wala kukunyanyasa unapaswa ujiweke ktk nafasi yake uwaze na ujue kuwa alijitahidi to the maximum kuhudumia familia na mgonjwa bila kutetereka. Ulipopona alitarajia ungepata kazi mapema ili msaidiane maisha bt mambo yalipokuwa kinyume na matarajio yake frustration zilichukua nafasi na ndio mana alifanya hayo yaliyokuudhi wewe.
Mama yako seems anajua ugumu alioupitia mkeo and thats why amekushauri umsamehe.
Really penzi la pembeni linakuwaga tamu sana ila unapokuja kuamua kuishi jumla utagundua kasoro nyingi na maybe itakuwa too late kumpata mama watoto wako.
Binadamu huwa wanakosea na kwa mtazamo wangu ur not even, ubaya wako umepitiliza maana unataka kubomoa familia ambayo mkeo alijitahidi kuisimamisha.
Angekuwa mbaya kwa kiwango unachokiwazia angekurudisha kwenu ndugu zako wakakulee.
By the way, kwa hapa jf most of people watakupa ushauri ambao kwa 90% utakuharibia maisha maana wengi hapa ni agents of destruction.
Mungu akuongoze ndugu.