Hivi kosa langu ni nini katika haya yote?

Hivi kosa langu ni nini katika haya yote?

Bwana bwana kama hujaoa chunga kauli tena wewe nakuombea uopoe jialimu hiloo

Shindwaaaaa... nipo na headmistress to be katulia kama kawaida yao!!! Watoto corporate mna mambo mengi nyie
 
Kila binadamu ameumbwa na haiba yake.... usishangae kuoa changudoa na akawa wako peke yako u kuoa bikra mkashea mtaa mzima... huu ni mtazamo tu rafiki usinione mjuaji.

Uko sahihi mkuu... ila ni nadra ikatokea hivyo 😊😊
 
Achana nae huyo hana maana, endelea na mariana
 
kosa la mkeo ndio kosa lako.
tofauti ni yeye alikuwa anakunywa pombe. wewe una mnywa Mariana.
Lkn msikulize mama.
Kumbuka alikutoa kwenye mateso ya wife akakuunganishia Sengelema.
 
Ahsante mkuu,
ni lazima na yeye apate maumivu zaid ya uliyoyapata ww
 
Mpwa hizo nguvu zote hizo unazozitumia kulumbana na kugombana nae huku ukimhudumia Mariana LAITI ungeendelea kuziwekeza kwenye huo mradi wa KILIMO ungekuwa mbali sana zaidi ya hapo ulipo. Leo hii badala ya kupost kitu kama hiki ungepost kuhusu mafanikio yako na jinsi tunavyoweza kujifunza kutoka kwako.

You must grow in mind and healthy sio umri tu, hivyo vita ulivyoviendeleza havina mshindi zaidi ya kujiongezea stress na kupunguza concentration kwenye ujasiliamali wako. Mwanzoni ulifikia 19m kwasababu you invested most of your time kwenye hio agribusiness, sasa hivi umei-cut off hio nguvu kwasababu nusu au pengine robo tatu yake inafikiria jinsi ya kumkomoa huyo Mama.

As your Mom said, msamehe muendelee mbele, basi kama hayasameheki basi usiyakuze yaache yabaki hivyo hivyo, hii ndio busara ya Mpwao Elli
 
Wakati mnampa ushauri au kutaja kosa lake msisahau kujiweka kwenye nafasi yake mngekuwa nyinyi.
 
Mkuu kwanza pongezi kwa Mungu kuweza kukuinua tena kurudi kwenye hali ya kawaida kama zamani.....pili shemeji kaonyesha rangi yake halisi na hao ndio walivyo wanapokuwa wanaona mwanaume yupo broke yani kiongozi wao nahisi kaondoka na funguo zao zote sijui atarudi lini.Hapo mkuu piga chini tena kimbia mbio za usain bolt maana anaweza kukudaka shati kupitia nguvu zao wanazoamini za miziziology
 
Wanawake kama hawa ndio wanatufanya wanawake wote tuonekane tunapenda hela tu. Jamani kile kiapo cha shida na raha ni shida na raha kweli sio kwenye shida unakwepa...ndio matokeo hayaaa.....
Back to topic

Mariana.......


......nitakuja kuendelea....
 
Kumbuka unatakiwa ulipe wema kwa ubaya na si ubaya kwa ubaya.Samehe na songa mbele na maisha yako na mkeo.Kumbuka unawatoto so utakapomuacha na kuoa tena watoto wakinyanyasika sababu itakuwa wewe
 
manna zake uyo anakuchora tu,,,ngja uwe broke safar hii atakua anakuja na jamaa ndan kabisa wanafanya yao
 
Alikukosea sawa lakini sidhani kama kumlipizia kisasi ndio itakuletea amani unayoitafuta.
 
Back
Top Bottom