Hivi kosa langu ni nini katika haya yote?

Hivi kosa langu ni nini katika haya yote?

Usimwache c weng sana wangeweza kukuhudumia ulipoumwa! trust me..n mwanadamu!
 
duuh mkuu hayo sio maisha..!! mbona alikusaidia wakati ukiwa hoi hospitalini?? hizo ni changamoto za maisha kumbuka huyo ni mkeo ukipata matatizo na Mariana wako utakimbiwa..kumbuka mkeo huwa ni mkeo tu mkuu..hapo ni kumrudia Mungu ili muimarishe ndoa yenu
 
Mpe mwanaume pesa ujue tabia yake. Haka ka msemo kameapply hapa. Mkuu ulivyokuwa alosto hukuwahi kufikiria kukatafuta kamartina na kurudi alfajiri, ila pesa ndo imechochea hayo. Anyway, ulitakiwa kudivorce bi mkubwa...hapo naona kuna madhara makubwa yatakuja tokea kwenu na watoto.
 
Ndo maana nimeweka uzi kuwa SITAOA humu ndani.Haya mambo ndo tatizo.FUKUZAAAAA oa Mariana


Mkuu ndoa kujipa ugonjwa wa moyo na kukufanya ushindwe kuishi kwa starehe dunia yenyewe ipo wapi mpaka ushindwe kuishi kwa starehe sababu ya stress za ajabu
 
Huyo mwanamke ni shetani kabisa hata huruma hana. Hata hivyo wewe ni m?milivu. Kama mimi ningemuacha zamani sana. Damn shit!
 
kosa lako kulipa kisasi. kisasi muachie mungu.
 
Mpe mwanaume pesa ujue tabia yake. Haka ka msemo kameapply hapa. Mkuu ulivyokuwa alosto hukuwahi kufikiria kukatafuta kamartina na kurudi alfajiri, ila pesa ndo imechochea hayo...

Mbona mwanzo kabla ajapata ajali yeye ndoalikua injini kwenye familia, na hakuchepuka. ?
 
Na huyo ulienae unaedhani anakupenda atakuua kabisa chezea mwanamke anaependa pesa wewe !!atakunyamazisha,et Mariana hata angekuwa queen
 
Aisee pagumu kweli hapo, na ni bonge la fundisho hilo!
Wife inabidi awe mpole tu mpaka utakaporudisha moyo nyuma otherwise ataleta matatizo wakati yeye ndo aliyoyaanzisha! Ila keep in mind alikusaidia kipindi uko chini kbs akasubiria mpaka umepona, so in way or another anastahili kutendewa wema, Kingine I dont believe mariana anakupenda kweli au kwa sbb una kitu for now! So tumia akili ya ziada na busara kuhandle hii situation!
Lastly ubaya haulipwi kwa ubaya, unalipwa kwa wema, so tafuta njia stahiki ya kudeal naye, mueleze mapenz hayapo tena kwake na ugomvi wake unaharibu zaidi badala ya kujenga, aache ugomvi na ajirudi afikirie afanye nn kurudisha upendo wako kwake! as n yeye pekee ndo anayeweza kusolve hilo tatizo.
 
Kwa mtazamo mwingine, mke amekuuguza kwa muda wa miaka 3 ukiwa hujiwezi muhimbili. 5 years more uko nyumbani huna kazi unamtegemea yeye. Akafrustrate akakunyanyasa kidogo, ni part of being human. Ulivyo kuja kupata pesa tena za msaada tu, ukaondoka nyumbani hata hukuaga! Umekuja kufanikiwa ndiyo umeongeza kiburi, uzinzi na dharau. Usidhani ndiyo umeona kila kitu bwana, dunia inazunguka hii! Mchukue mkeo mkae, muongee na muanze upya.
 
Back
Top Bottom