thinky
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 2,121
- 267
Namba hazina mwanzo wala mwisho we ulisoma shulegani ambazo hazifundishi number line.
ndo kithibitisho kwamba MUNGU hana mwanzo wala mwisho na zero ndo maana ya hatumuoni
Namba hazina mwanzo wala mwisho we ulisoma shulegani ambazo hazifundishi number line.
tunaanza na 0,1,2,3.4..5.6......10..11..12...13 nk
lakini mwisho wake ni ngapi
Mfano mnaposema inahesabu number mpaka uchoke .. na jina lake litaitwaje ..
Kwa sababu kuna Laki...millioni.... bilioni na trillioni.
Mfano ; 10006900000000000780000000000000000000008880009.
nimeonheza number na nimechoka ..je nimtamkie mtu kwa maneno nimeamdika number gani .?
Fikiria kwanza unachokihesabu ni nini ? (Just think about it) kama unachokihesabu kipo basi mwisho ni pale unachokihesabu kitakapokwisha..
Ila kama unataja namba kwa kuongeza namba nyingine mbele basi hakuna mwisho.., sababu kila utakapoishia kuna uwezo wa kuongeza nyingine.... na hata kama figure fulani hatujaipatia jina watu tunaweza tukakaa na kukubaliana kuipatia jina
Namba ya mwisho ni zillioni.
hili jibu mimi limenifaa. asante mkuu
aliyegundua hesabu ametisha.
mwisho ni infinity...
swadakta kabisa,,mwanzo 1 na mwisho 9Mwisho ni 9
Previously mathematicians said its that number when you write one then you put zeros right hand side till your hands get tired. But different people gets tired at different time period. So They agreed to the number called Millinillion. Its 10 power 3003(ie 10^3003). But in actual fact numbers are infinite since you can write numbers for the whole of your life without finishing them!
tunaanza na 0,1,2,3.4..5.6......10..11..12...13 nk
lakini mwisho wake ni ngapi
Mwisho nipale hakili zetu zinapo komea na kujilizisha eti matilioni mwache mungu aitwe mungu.
tunaanza na 0,1,2,3.4..5.6......10..11..12...13 nk
lakini mwisho wake ni ngapi
katika kuhesabu hakuna kitu kinachoitwa infinity....ni uvivu wa kuhesabu tu........nikirudi kwenye swali.....unazungumzia katika system/base gani? mfano Decimal, binary, Hexadecimal system............nkmwisho ni infinity...