mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,295
- 8,848
Niliwah kuleta Uzi humu na nikasema mwamnyeto, Edmund john , n.k hawafai kubaki Yanga sc, nikaishia kutukanwa na kuitwa mjinga.
Leo nitawasanua Tena , max nzengeli,anacheza nafasi isiyokua yake kiuhalisia ,sio Central midfielder, nor box to box , ni no 10 yanga wanapaswa kutafuta viungo asilia wawili wa Kati ..duke abuya ana energy lakini ufanisi wake wa pasi ni butu na maamuzi yake mengi uwanjan ni amateur level hafai hata kukaa benchi Yanga .
Yanga inahitaji namba Tisa mwingine mkali , iwafukuze dube na depu, wote ni useless!!...Yanga wanahitaji natural winger walau mmoja , Kisha mfukuze buba jameeh, Lakini Shadrack Boka pia sio material ya Yanga sc, ni mchezaji wa kawaida mwenye mbio bila ufundi mguuni , .
Mwamnyeto nimemsema mara nyingi , huyu ameshuka uwezo na hafai kuanza Wala kukaa benchi Yanga ni vile tu mpira wa bongo umekua wa mazoea sana.
Pacome awekwe kwenye mipango ya kuuzwa sababu uwezo wake ni duni na haonyeshi kama atarudi katika kiwango chake ,na hili linaweza kufanyika dirisha dogo mwakani ikiwa hatoonyesha improvement mwanzoni mwa msimu ujao ..
Mwisho Koch msomali Hana technical awareness kiwango cha ku manage timu kubwa kama Yanga ..huyu hafai hata kua sehemu ya washauri .
Mwisho kabisa kiburi cha viongozi wa Yanga ndio anguko la Yanga
Adiossss