Hivi, kiwango cha mwisho cha kuhesabu namba ni ngapi?

Hivi, kiwango cha mwisho cha kuhesabu namba ni ngapi?

Fikiria kwanza unachokihesabu ni nini ? (Just think about it) kama unachokihesabu kipo basi mwisho ni pale unachokihesabu kitakapokwisha..

Ila kama unataja namba kwa kuongeza namba nyingine mbele basi hakuna mwisho.., sababu kila utakapoishia kuna uwezo wa kuongeza nyingine.... na hata kama figure fulani hatujaipatia jina watu tunaweza tukakaa na kukubaliana kuipatia jina
Upo sahihi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom