kama una dada na mama zako wadogo ni vema ukawaweka wazi waoolewe na wasomali kwani mm naamini mapenzi hayachagui kwani wapo wengi walioa waswahili mfano profesa Feisal, Husein bashe na wengi 2 zunguka mioani usikalie umbea na wivu wa kumuonea gele kinana kwani ni mtu safiMama mwarabu baba msomali alafu awe mzalendo tangu lini msomali akaoa asie msomali au mwaarabu alafu tunawaita wenzetu tumeliwa.
Kama ni kweli hajakana uraia wa wazazi wake; ni hoja. Siyo hoja ya kupuuzia. Lakini kama alifuata utaratibu wote wa kupata uraia wa Tanzania jawabu linatakiwa kuwa ni lini aliomba na kukubaliwa uraia.
Nakukumbuka wakati wa uchaguzi wa mwaka 1995 kinana aliacha kuchukua fom ya kugombea ubunge baada ya nccr mageuzi kusema kuwa sio raia kwani ana uraia wa tanzania na somalia.kinana alingia na babaake tanzania akiwa na miaka 8 na alikata kuukana urai wa somalia.Na amekuwa akifanya biashara ya madawa ya kulevya mandrax na mdogo wake Ahmed Nuru kinana ambaye alimpa machine za kufulia zizokuwa msaada kutoka kwa waisani kwa ajili ya hospatal ya mount meru.na sasa hivi ahmed ndio kinara wa kuingiza wasomali na waithopia wanaokwenda kusini.
Kama ni kweli hajakana uraia wa wazazi wake; ni hoja. Siyo hoja ya kupuuzia. Lakini kama alifuata utaratibu wote wa kupata uraia wa Tanzania jawabu linatakiwa kuwa ni lini aliomba na kukubaliwa uraia.
Alikuwa JWTZ na alikuwa anafahamika kwa SOKOINE kama Mwanajeshi Mkakamavu na alikuwa VITA vya KAGERA stratergy... Aliondoka JESHINI kama MAJOR; LOWASSA aliondoka Mapema zaidi yake akiwa CAPTAIN.
sassa na wewe unatuchanganya unasema aliacha jeshi akiwa major na sasa ni kanali sasa huo ukanali aliupataje???
Tutampima mtu kwa uzalendo wake sio kwa kabila lake,wala rangi yake wala ukanda anaotoka wala dini yake kama nyie mnavowapima watu kwa kanda wanazotoka ama dini yake ama kabila lake.
sassa na wewe unatuchanganya unasema aliacha jeshi akiwa major na sasa ni kanali sasa huo ukanali aliupataje???
Kinana alishika nyadhifa za Waziri wa ulinzi, naibu waziri mambo ya nje, Mbunge Arusha, Spika bunge la Afrika Mashariki, campain manager Marais Mkapa na Kikwete, Kanali jeshi la Wananchi wa TZ! kote huko asingepita kama sio raia!
Leo kawa Katibu mkuu wa CCM ndio uraia wake mnauhoji? tena baada ya kuzeeka?
Wewe Mwanakijiji ukichunguzwa vizuri utajikuta baba ako au babu ako ama katokea Congo, Malawi au Msumbiji nk! sasa ni wangapi ambao tuliukana uraia wa nchi nyingine?
Saa nyingine huwa hatuna hoja za msingi kwasababu ama tuna chembechembe za ubaguzi wa rangi ama tunachuki za kibinafsi au tunatumiwa na baadhi ya vigogo kwa sababu za migongano yao ya kisiasa!
Kinana kwa sasa ni Katibu Mkuu wa CCM mtake msitake na Wzara ya Mambo ya ndani ndio wanajua kuwa ni raia ama si raia! tuache ubaguzi na tushike jembe Mwanakijiji tukalime!