Kumtetea Kinana ni kupingana na historia

aduwilly

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
1,176
305
Unapozungumzia wafanyabiashara za maduka ndani ya Tanzania huwezi kuwatenga wachaga, kwani wameanza tangu enzi na enzi na wako radhi ku-take risk kuwekeza kwenye biashara ya duka. Ukiongelea ufugaji wa ng'ombe ni wazi wamasai utawaweka kwenye kundi hilo, haijarishi ni wamasai raia wa kenya au Tanzania. Uraia siyo issue, issue ni asili.

Nije kwenye hoja yangu ya msingi, katika ujangiri wa wanyama pori watu wenye asili ya somalia huwezi kuwaweka pembeni. Makamanda na askari wa wanyamapori wanalijua hili, wasomali wamekuwa wakiwajeruhi na wengine kuuawa katika swala la nyara. Kinana kama mtu mwenye asili ya Somalia (sisemi raia wa somalia kwani hata kariakoo tuna wahindi wengi tu ambao ni watanzania)ku-behave tofauti na watu wa asili yake, ni lazima awe na utashi uliotukuka ila kutokana na kupitia sehemu za ukakamavu (jeshini) nachelea kusema ana kila element ya usomali halisi.

Kumtetea kutohusika na wanyamapori bila kujali asili yake na utashi wake ni kupingana na historia. Mmasai ameacha aishi kwenye mbuga za wanyama kwa kuwa anafahamika hatumii wanyama pori kama kitoweo au chanzo chake cha maisha, kwa msomali habari ni tofauti.

You can't escape from who you real are, if you are a dog you will remain the dog forever hata kama uvishwe nguo na viatu na kulazwa kitandani'
 
Hakika umenena lakini cha kushangaza ni kwamba kwanini meli ile ilokamatwa na shehena ya pembe za ndovu haijataifishwa na serikali? kuna magari mengi yako polisi tangu miaka ya themanini na mengine yametaifishwa sababu yalikamatwa na nyara za serikali za aina mbalimbali meli ya kinana vipi?Nchimba anajua sheria ya utaifishaji mali za wahujumu uchumi? au sheria zimefutwa??
 
mauaji ya tembo na kinana kwa kiinglish huwa tunasema ni intertwined they can not be discussed separately.

popote yanapotokea mauaji ya tembo na ukakuta meno yameng'olewa ukiwaleta wale wataalamu wa crime scene investigation lazima wapate traces za kinana.
 
unapozungumzia wafanyabiashara za maduka ndani ya tanzania huwezi kuwatenga wachaga, kwani wameanza tangu enzi na enzi na wako radhi ku-take risk kuwekeza kwenye biashara ya duka. Ukiongelea ufugaji wa ng'ombe ni wazi wamasai utawaweka kwenye kundi hilo, haijarishi ni wamasai raia wa kenya au tanzania. Uraia siyo issue, issue ni asili.

Nije kwenye hoja yangu ya msingi, katika ujangiri wa wanyama pori watu wenye asili ya somalia huwezi kuwaweka pembeni. Makamanda na askari wa wanyamapori wanalijua hili, wasomali wamekuwa wakiwajeruhi na wengine kuuawa katika swala la nyara. Kinana kama mtu mwenye asili ya somalia (sisemi raia wa somalia kwani hata kariakoo tuna wahindi wengi tu ambao ni watanzania)ku-behave tofauti na watu wa asili yake, ni lazima awe na utashi uliotukuka ila kutokana na kupitia sehemu za ukakamavu (jeshini) nachelea kusema ana kila element ya usomali halisi.

Kumtetea kutohusika na wanyamapori bila kujali asili yake na utashi wake ni kupingana na historia. Mmasai ameacha aishi kwenye mbuga za wanyama kwa kuwa anafahamika hatumii wanyama pori kama kitoweo au chanzo chake cha maisha, kwa msomali habari ni tofauti.

You can't escape from who you real are, if you are a dog you will remain the dog forever hata kama uvishwe nguo na viatu na kulazwa kitandani'

a pig will remain a pig,
 
Hakika umenena lakini cha kushangaza ni kwamba kwanini meli ile ilokamatwa na shehena ya pembe za ndovu haijataifishwa na serikali? kuna magari mengi yako polisi tangu miaka ya themanini na mengine yametaifishwa sababu yalikamatwa na nyara za serikali za aina mbalimbali meli ya kinana vipi?Nchimba anajua sheria ya utaifishaji mali za wahujumu uchumi? au sheria zimefutwa??

Thubutu yake Nchimbi labda kama hajipendi! Akamate meli ya Mkiti wa kampeni wa rais Kikwete? Siyo ktk enzi za JK!! Kwanza hiyo wizara siyo ya kuingia kichwa kichwa kama huamini muulize Antony Diallo yaliyomkuta. Alingia wizarani kwa mbwembwe lakini alikutana na wakurugenzi ambao walikuwa na baraka za ikulu!! Alitolewa balu!!
 
mauaji ya tembo na kinana kwa kiinglish huwa tunasema ni intertwined they can not be discussed separately.

popote yanapotokea mauaji ya tembo na ukakuta meno yameng'olewa ukiwaleta wale wataalamu wa crime scene investigation lazima wapate traces za kinana.

Duh, kaaazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom