Hivi Kinana ni lini alikana uraia wa Somalia?

Kinana anakuteseni sana na bado.leo yuko arusha ngoja akayachome moto magwanda huko ndo mtajua kwann kanga ana madoa doa
 
Tutampima mtu kwa uzalendo wake sio kwa kabila lake,wala rangi yake wala ukanda anaotoka wala dini yake kama nyie mnavowapima watu kwa kanda wanazotoka ama dini yake ama kabila lake.
 
Tukianza kuulizana mtanzania ni nani kati yetu hatutampata kwa sababu wangoni wametoka msumbiji,wanyakyusa wametoka zambia,wahehe wametoka s.afrika,wasukuma,waha,wahaya,wanyamwezi wametoka rwanda,burundi na kongo,wajaluo,wakurya na kina mura wametoka kenya na uganda,wachaga ndio kabisaa ni wakimbizi hao walikimbia vita huko kaskazini mwa kenya,wanyaturu,warangi na wambulu wametokea ethiopia na sudan kwa hiyo hoja yako mleta mada imekufa mwaka 1961 tulipopata uhuru
 
Duuu!!!,hawa jamaa kila mtu wao mwenye dhamana ana utata wa kitu fulani,hivi kwa nini wanakuwa hivi, kwani hawana TISS yao ya kumscan mtu kabla ya kumpa Madaraka makubwa???
 
Mama mwarabu baba msomali alafu awe mzalendo tangu lini msomali akaoa asie msomali au mwaarabu alafu tunawaita wenzetu tumeliwa.
kama una dada na mama zako wadogo ni vema ukawaweka wazi waoolewe na wasomali kwani mm naamini mapenzi hayachagui kwani wapo wengi walioa waswahili mfano profesa Feisal, Husein bashe na wengi 2 zunguka mioani usikalie umbea na wivu wa kumuonea gele kinana kwani ni mtu safi

:target:

Kama ni kweli hajakana uraia wa wazazi wake; ni hoja. Siyo hoja ya kupuuzia. Lakini kama alifuata utaratibu wote wa kupata uraia wa Tanzania jawabu linatakiwa kuwa ni lini aliomba na kukubaliwa uraia.
 
Kinana alishika nyadhifa za Waziri wa ulinzi, naibu waziri mambo ya nje, Mbunge Arusha, Spika bunge la Afrika Mashariki, campain manager Marais Mkapa na Kikwete, Kanali jeshi la Wananchi wa TZ! kote huko asingepita kama sio raia!
Leo kawa Katibu mkuu wa CCM ndio uraia wake mnauhoji? tena baada ya kuzeeka?

Wewe Mwanakijiji ukichunguzwa vizuri utajikuta baba ako au babu ako ama katokea Congo, Malawi au Msumbiji nk! sasa ni wangapi ambao tuliukana uraia wa nchi nyingine?

Saa nyingine huwa hatuna hoja za msingi kwasababu ama tuna chembechembe za ubaguzi wa rangi ama tunachuki za kibinafsi au tunatumiwa na baadhi ya vigogo kwa sababu za migongano yao ya kisiasa!

Kinana kwa sasa ni Katibu Mkuu wa CCM mtake msitake na Wzara ya Mambo ya ndani ndio wanajua kuwa ni raia ama si raia! tuache ubaguzi na tushike jembe Mwanakijiji tukalime!
 
msomali hawezi kukna uraia wake, hata wale wa eastleigh ni vivyo hivyo, hata hao unaoita wazigua ni vivyo hivyo, wanabadilika sura wakiwa na shida
 
Nakukumbuka wakati wa uchaguzi wa mwaka 1995 kinana aliacha kuchukua fom ya kugombea ubunge baada ya nccr mageuzi kusema kuwa sio raia kwani ana uraia wa tanzania na somalia.kinana alingia na babaake tanzania akiwa na miaka 8 na alikata kuukana urai wa somalia.Na amekuwa akifanya biashara ya madawa ya kulevya mandrax na mdogo wake Ahmed Nuru kinana ambaye alimpa machine za kufulia zizokuwa msaada kutoka kwa waisani kwa ajili ya hospatal ya mount meru.na sasa hivi ahmed ndio kinara wa kuingiza wasomali na waithopia wanaokwenda kusini.

Alikuwa JWTZ na alikuwa anafahamika kwa SOKOINE kama Mwanajeshi Mkakamavu na alikuwa VITA vya KAGERA stratergy... Aliondoka JESHINI kama MAJOR; LOWASSA aliondoka Mapema zaidi yake akiwa CAPTAIN.
 
Lakini alikuwa Colonel na Battalion Commander wa jeshi la wananchi wa Tanzania (TPDF). Baadaye akawa Regional Comissionera wa Arusha. Madaraka yote hayo yalitokana na comssiona ya Rais na Amiri jeshi mkuu wa Tanzania. Ukiwa na wasiwasi na uraia wake inabidi umuulize rais wa nchi aliyempa madaraka hayo makubwa nchini.
 
Alikuwa JWTZ na alikuwa anafahamika kwa SOKOINE kama Mwanajeshi Mkakamavu na alikuwa VITA vya KAGERA stratergy... Aliondoka JESHINI kama MAJOR; LOWASSA aliondoka Mapema zaidi yake akiwa CAPTAIN.

sassa na wewe unatuchanganya unasema aliacha jeshi akiwa major na sasa ni kanali sasa huo ukanali aliupataje???
 
sassa na wewe unatuchanganya unasema aliacha jeshi akiwa major na sasa ni kanali sasa huo ukanali aliupataje???

Wakati ULE wa NYERERE haukumbuki kulikuwa kuna MKOA wa JESHI? Walikuwa Hawajiuzulu toka JESHINI Unaweza kufanya KAZI serikalini na bado MUDA wako wa kupanda CHEO unafika UNAPANDISHWA...

Walibadilisha Wakati wa MWINYI wakati wa MIKAKATI ya kuanzisha VYAMA VINGI VYA KISIASA
 
freepalestina,

Sema alichokosea badala ya kutukana.

Kinana ninayemfahamu mimi ni Msomali. Simwamini Msomali yeyote. Hawana maana kabisa. Jiulize jinsi Hussein Farrah Aidid alivyowafanyia wamarekani. Waulize Wakenya wanavyolia na wasomali wao.

Hapa kwetu tumesema mara nyingi kwamba Kinana hafai kabisa ktk uongozi baada ya kujihusisha na biasahara ya siraha DRC. Huyu ni mchafu na siku si nyingi atatokomea Somalia baada ya kuchafua nchi.

CCM wana tatizo kubwa kwamba hawana tena niya njema na nchi hii. wao lengo lao ni kufanikiwa kama makundi mengine ya kiharifu yafanyavyo. CCM kila wakati nawafananisha na wauza madawa wa Kolombia. Wanapanga uchafu na kuutekeleza. Ndani ya CCM hakuna tena mwema anayeweza kukemea upuuzi. Akijitokeza anaondolewa, anasota nje kama Mangula ili akirudishwa aje na adabu ya kuvuna vitunguu vya njombe.

Kinana siyo M-tanzania.
 
Last edited by a moderator:
Hivi mke wake naye ni mtanzania mswahili au naye ni msomali mana sijawahi kuwaona vipi watoto nao wasomali kabisa???
 
Humu jamvini! Hivi mtu akifoji na akapata vyeo inahalalisha uraia wake? Kama hana akaombe tuu cv zake zitamtetea!
 
Kinana alishika nyadhifa za Waziri wa ulinzi, naibu waziri mambo ya nje, Mbunge Arusha, Spika bunge la Afrika Mashariki, campain manager Marais Mkapa na Kikwete, Kanali jeshi la Wananchi wa TZ! kote huko asingepita kama sio raia!
Leo kawa Katibu mkuu wa CCM ndio uraia wake mnauhoji? tena baada ya kuzeeka?

Wewe Mwanakijiji ukichunguzwa vizuri utajikuta baba ako au babu ako ama katokea Congo, Malawi au Msumbiji nk! sasa ni wangapi ambao tuliukana uraia wa nchi nyingine?

Saa nyingine huwa hatuna hoja za msingi kwasababu ama tuna chembechembe za ubaguzi wa rangi ama tunachuki za kibinafsi au tunatumiwa na baadhi ya vigogo kwa sababu za migongano yao ya kisiasa!

Kinana kwa sasa ni Katibu Mkuu wa CCM mtake msitake na Wzara ya Mambo ya ndani ndio wanajua kuwa ni raia ama si raia! tuache ubaguzi na tushike jembe Mwanakijiji tukalime!

Mimi sina tatizo kama amefuata taratibu halali zote kupata Uraia wa Tanzania. Nisaidie kabla sijaanza kuchangia zaidi Kinana alipata Elimu ya Msingi shule gani pale Arusha? Alifika pale akiwa darasa la ngapi?
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom