Hivi Kinana ni lini alikana uraia wa Somalia?

kinana ni raia wa tz, km hamuamini rudini shule msome types of citizenship
 
sumaye "kama kinana ndio kipimo cha usafi ndani ya ccm, basi mimi ni mtakatifu"
 
Kinana ni mzaliwa wa tanzania amezaliwa arusha amesoma shule ya msingi west meru sekondari kasoma old moshi baba yake alikua miongoni mwa wanachama wa tanu NA sheria ya uhamiaji inasema mtu yeyote oliezaliwa tz kabla ya uhuru ni raiya
 
Ukitaka kutukanwa ingia kwenye siasa,siku zote hamkusema mulikuwa wapi?au mulisubiri awe Katibu,pengine ulikuwa mtoto,KINANA amekuwa Mjeshi na kapigana vita AMINI ,katika bataliani yao kafanya mambo sana anakumbukwa jeshini,Kipindi hicho MBOE anacheza disko na DJ na SLAA bado haujamshinda UPADRE lkn anatembea na mwanakwaya wake kisirisiri kisa kampiga watoto wawili kammwaga,Mbunge mara mbili A town,Naibu wazili wa mambo ya nnje badae Waziri wa Ulinzi,Mwalimu alimpendekeza KINANA awe mwenyekiti wa kampeni,yeye ndio aliyempangia Mwalimu Nyerere wapi hautubie katika mikutano wakati BEN 1995.Watu wameifanyia nchi hii mambo(uzalendo) uliotukuka,usimfananishe na mtu ambae kashindwa kutunza familia ya watu3.mumetafuta kashfa zake mumekosa, sasa mumebaki nasikianasikia yan dhana tu.

Uliyoyasema hayafuti kuwa yy si msomali na hajakana usomalu wake. Jenelari Ulimwengu alukuwa ameisha fanya makubwa alipokuja kuulizwa uraia wake. Ebu thibitisha kama alisha ukana usomali wake.
 
uraia wake ni safi madhali angali CCM na hajamshika simba sharubu. Hebu ajaribu kuhamia UKAWA tuone matokeo yake
 
Mwaka wa lowasa alete mabadiriko.ccm siamini tena tangu waniahidi maisha bora ikawa maisha shida
 
sio wewe tu hata mimi mapenzi yangu kwao yalikwisha baada ya kusikia visa vya hao wazigua,mana walikuwa wanadhalilishwa balaa,walikuwa wanaitwa abidi,yaani watumwa kha!! toka miaka hiyo hadi leo status yao ni hiyo hiyo,
hawakuruhusiwa hata kuoa mabinti wa kisomali wala kupata kazi,wala kupata ujumbe wa nymba kumi,wala ubalozi,yaani walikuwa wanaitwa takataka,lakini embu angalia kwetu wasomali wnavyoenjoy hadi serikalini,sa sijui sisi tuna matatizo gani,sijui TUMELAANIWA!!?? yaani nashindwa hata cha kuongea,sehemu pekee salama kwa mwafrika ni Afrika,sasa iweje na sisi tunawaachia hawa wageni wanatutawala wakati hapa ni kwetu?? ilitakiwa wao wakija huku waonje shubiri kama sisi tunavyoonja tukienda kwao,kwani si huwa tunatumikishwa sisi na kudharauliwa.

Umesema sehemu pekee salama kwa mwafrika ni Afrika sasa Somalia ni Europe? (kubwa jinga)
 
Nakukumbuka wakati wa uchaguzi wa mwaka 1995 kinana aliacha kuchukua fom ya kugombea ubunge baada ya NCCR Mageuzi kusema kuwa sio raia kwani ana uraia wa Tanzania na Somalia.

Kinana alingia na babaake Tanzania akiwa na miaka 8 na alikataa kuukana uraia wa Somalia.Amekuwa akifanya biashara ya madawa ya kulevya mandrax na mdogo wake Ahmed Nuru Kinana ambaye alimpa machine za kufulia zizokuwa msaada kutoka kwa waisani kwa ajili ya hospatal ya Mount Meru.

Sasa hivi Ahmed ndio kinara wa kuingiza wasomali na waethopia wanaokwenda kusini.
Ulipata jibu sahihi au .............
Dah! Makaburi mengine!
 
Umeamkaje bro?
huyu kinana anajua ujangili tu, miraji kikwete alimzidi akili uchaguzi wa 2010 akabaki lumumba amepigwa dolo, hata ukImuuliza jk alipata kura kiasi gani jimbo la ilala hawezi kukupa majibu, mangula na kinana wametangulizwa kaburini kupokea maiti(CCM) isiumie wakati inaingizwa kaburini 2015.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom