Hivi Kinana ni lini alikana uraia wa Somalia?

kijenge

kijenge

Senior Member
Joined
Mar 9, 2012
Messages
166
Likes
111
Points
60
kijenge

kijenge

Senior Member
Joined Mar 9, 2012
166 111 60
Nakukumbuka wakati wa uchaguzi wa mwaka 1995 kinana aliacha kuchukua fom ya kugombea ubunge baada ya NCCR Mageuzi kusema kuwa sio raia kwani ana uraia wa Tanzania na Somalia.

Kinana alingia na babaake Tanzania akiwa na miaka 8 na alikataa kuukana uraia wa Somalia.Amekuwa akifanya biashara ya madawa ya kulevya mandrax na mdogo wake Ahmed Nuru Kinana ambaye alimpa machine za kufulia zizokuwa msaada kutoka kwa waisani kwa ajili ya hospatal ya Mount Meru.

Sasa hivi Ahmed ndio kinara wa kuingiza wasomali na waethopia wanaokwenda kusini.
 
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Messages
7,936
Likes
382
Points
180
Age
85
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2012
7,936 382 180
Wasifu mzito na historia za kutukuka za baadhi ya wateule wanaounda
timu ‘mpya' ya viongozi watendaji wa CCM kwa kiwango kikubwa ndicho
kitu kikubwa pekee kinachosababisha mtu yeyote makini ajikute akipata
shida kuyabeza yale yaliyofanywa na chama hicho tawala mwishoni mwa
wiki kule Dodoma.

Msuko mpya wa safu ya wakuu wa idara za CCM uliotangazwa na Rais
Jakaya Kikwete ukiwajumuisha wanasiasa wasiojua mizaha wawapo kazini
kama alivyo Philip Mangula, au makada wa muda mrefu wa chama hicho wa
kariba ya Muhammad Seif Khatib na Zakia Meghji una kila sababu ya
kutafutiwa dawa mahususi na makamanda wa kambi ya upinzani ambao kwa
muda mrefu wamekuwa wakipambana kuing'oa CCM madarakani.

Ni mtu asiyejali au mpuuzi asiyezijua vyema siasa za Tanzania
anayeweza akasimama na kuudharau uteuzi uliofanywa na Rais Kikwete
ambaye baada ya kushindwa mara kadhaa hatimaye amefanikiwa
kumshawishi, mmoja wa wanasiasa makini na wakongwe, mtumishi wa umma
wa muda mrefu, mwanadiplomasia na Kanali Mstaafu wa Jeshi,
Abdulrahaman Kinana kuwa Katibu Mkuu wa CCM.
 
Mzito Kabwela

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
17,750
Likes
1,958
Points
280
Age
36
Mzito Kabwela

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
17,750 1,958 280
Muwacheni Kinana apumuwe
 
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Messages
7,936
Likes
382
Points
180
Age
85
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2012
7,936 382 180
kibanda ndio anajua kinana ni nani nyie wengine mnahangaika tu
 
kbm

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Messages
5,108
Likes
236
Points
160
kbm

kbm

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2012
5,108 236 160
..., kwanza tunataka arudishe pembe zote za ndovu alizotorosha na meli yake juzi tu' Sioni sababu ya kumsifia kiongozi hasiye kuwa na uchungu na maliasili yetu, huyu ndugu ana mambo mengi machafu' yaliyofichika nyuma ya pazia.
 
HUGO CHAVES

HUGO CHAVES

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Messages
1,884
Likes
268
Points
180
HUGO CHAVES

HUGO CHAVES

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2011
1,884 268 180
Nakukumbuka wakati wa uchaguzi wa mwaka 1995 kinana aliacha kuchukua fom ya kugombea ubunge baada ya nccr mageuzi kusema kuwa sio raia kwani ana uraia wa tanzania na somalia.kinana alingia na babaake tanzania akiwa na miaka 8 na alikata kuukana urai wa somalia.Na amekuwa akifanya biashara ya madawa ya kulevya mandrax na mdogo wake Ahmed Nuru kinana ambaye alimpa machine za kufulia zizokuwa msaada kutoka kwa waisani kwa ajili ya hospatal ya mount meru.na sasa hivi ahmed ndio kinara wa kuingiza wasomali na waithopia wanaokwenda kusini.
ingawa habari hii ina ukweli ndani yake utatakiwa uthibitishe chanzo cha habari hii .hii habari sio ngeni masikioni mwangu MASHINE HIZO ZINATUMIKA KWENYE DRY CLEANER MOJA IPO MAENEO YA METROPOLE ARUSHA INAITWA VIP DRY CLEANER
 
W

WildCard

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2008
Messages
7,494
Likes
104
Points
160
W

WildCard

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2008
7,494 104 160
Watanzania wazawa halisi ni watu wa mikoa ya Dodoma, Singida, Morogoro, Shinyanga na Mwanza mpya baada ya Geita kuondoka.
 
C

cencer09

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Messages
2,452
Likes
566
Points
280
C

cencer09

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2012
2,452 566 280
Wasifu mzito na historia za kutukuka za baadhi ya wateule wanaounda
timu ‘mpya’ ya viongozi watendaji wa CCM kwa kiwango kikubwa ndicho
kitu kikubwa pekee kinachosababisha mtu yeyote makini ajikute akipata
shida kuyabeza yale yaliyofanywa na chama hicho tawala mwishoni mwa
wiki kule Dodoma.

Msuko mpya wa safu ya wakuu wa idara za CCM uliotangazwa na Rais
Jakaya Kikwete ukiwajumuisha wanasiasa wasiojua mizaha wawapo kazini
kama alivyo Philip Mangula, au makada wa muda mrefu wa chama hicho wa
kariba ya Muhammad Seif Khatib na Zakia Meghji una kila sababu ya
kutafutiwa dawa mahususi na makamanda wa kambi ya upinzani ambao kwa
muda mrefu wamekuwa wakipambana kuing’oa CCM madarakani.

Ni mtu asiyejali au mpuuzi asiyezijua vyema siasa za Tanzania
anayeweza akasimama na kuudharau uteuzi uliofanywa na Rais Kikwete
ambaye baada ya kushindwa mara kadhaa hatimaye amefanikiwa
kumshawishi, mmoja wa wanasiasa makini na wakongwe, mtumishi wa umma
wa muda mrefu, mwanadiplomasia na Kanali Mstaafu wa Jeshi,
Abdulrahaman Kinana kuwa Katibu Mkuu wa CCM.
kweli safu imara Mang'ula na vimemo vya wizi wa epa,Mengji,mtetezi wa Kagoda kuwa ni usalama wa taifa mnawapa makamanda hoja kwa maamuzi kukurupuka.Au hakuna msafi CCM?
 
M

Moony

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
1,603
Likes
13
Points
135
M

Moony

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2011
1,603 13 135
Wasifu mzito na historia za kutukuka za baadhi ya wateule wanaounda
timu ‘mpya' ya viongozi watendaji wa CCM kwa kiwango kikubwa ndicho
kitu kikubwa pekee kinachosababisha mtu yeyote makini ajikute akipata
shida kuyabeza yale yaliyofanywa na chama hicho tawala mwishoni mwa
wiki kule Dodoma.

Msuko mpya wa safu ya wakuu wa idara za CCM uliotangazwa na Rais
Jakaya Kikwete ukiwajumuisha wanasiasa wasiojua mizaha wawapo kazini
kama alivyo Philip Mangula, au makada wa muda mrefu wa chama hicho wa
kariba ya Muhammad Seif Khatib na Zakia Meghji una kila sababu ya
kutafutiwa dawa mahususi na makamanda wa kambi ya upinzani ambao kwa
muda mrefu wamekuwa wakipambana kuing'oa CCM madarakani.

Ni mtu asiyejali au mpuuzi asiyezijua vyema siasa za Tanzania
anayeweza akasimama na kuudharau uteuzi uliofanywa na Rais Kikwete
ambaye baada ya kushindwa mara kadhaa hatimaye amefanikiwa
kumshawishi, mmoja wa wanasiasa makini na wakongwe, mtumishi wa umma
wa muda mrefu, mwanadiplomasia na Kanali Mstaafu wa Jeshi,
Abdulrahaman Kinana kuwa Katibu Mkuu wa CCM.

Kikwete naye aweza kuteleza na kukosea, siyo ajabu. Pia umakini, ukongwe na umahili wa Kinana hauwezi kufuta fact kwamba ni msomali. Pia kuwa msomali hakumzuii mtu kuwa mwana ccm safi na fisadi wa kichinichini. Anaweza kuwa ana agenda zake za ki al shabaab lakini il asijulikane akajitia ni ccm damudamu
 
SoNotorious

SoNotorious

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2011
Messages
2,425
Likes
14
Points
135
SoNotorious

SoNotorious

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2011
2,425 14 135
huyu kinana anajua ujangili tu, miraji kikwete alimzidi akili uchaguzi wa 2010 akabaki lumumba amepigwa dolo, hata ukImuuliza jk alipata kura kiasi gani jimbo la ilala hawezi kukupa majibu, mangula na kinana wametangulizwa kaburini kupokea maiti(CCM) isiumie wakati inaingizwa kaburini 2015.
 
Grand Master Dulla

Grand Master Dulla

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2012
Messages
383
Likes
23
Points
35
Grand Master Dulla

Grand Master Dulla

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2012
383 23 35
mna uhakika kuwa hakuzaliwa tz?? na kama ni msmali je ni msmali wa wapi mbona hana nywele za kisomali kama za rage na bashe isije ikawa ni msomali mbantu kama wale tuliowarudisha tanga???!!! mana wale ni wazigua tu.
 
M

Moony

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
1,603
Likes
13
Points
135
M

Moony

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2011
1,603 13 135
mbona tuna wahindi, waarabu na wazungu waTanzania? hivi tumefikia hadi kulinganisha texture za nywele za watu ili kudetermine utanzania? tujiangalie sana (search our souls)
 
M

Moony

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
1,603
Likes
13
Points
135
M

Moony

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2011
1,603 13 135
kweli safu imara Mang'ula na vimemo vya wizi wa epa,Mengji,mtetezi wa Kagoda kuwa ni usalama wa taifa mnawapa makamanda hoja kwa maamuzi kukurupuka.Au hakuna msafi CCM?

Kama Madabida na sakata la dawa za ukimwi kapewa uenyekiti wa ccm utasema wana good governance? think about it
 
Grand Master Dulla

Grand Master Dulla

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2012
Messages
383
Likes
23
Points
35
Grand Master Dulla

Grand Master Dulla

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2012
383 23 35
hii sasa hatari!!!!
 
M

MTENDAHAKI

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Messages
4,011
Likes
951
Points
280
M

MTENDAHAKI

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2011
4,011 951 280
Hoja haina nguvu!Utumikie JWTZ kwa nuda mrefu ukiwa sio MTZ!Aaah,kama ni rangi wapo kibao CCM Tanzania ukianza na Megji,Seif (CUF),Bashe, Rostam,Abood,shabiby,"Sabodo", ............weeeeeengi!Waacheni watanzania wawe huru ndani ya nchi yao bwana!Mbona Obama ni Rais wa Marekani!
 
M

MCHUMIPESA

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Messages
2,093
Likes
8
Points
0
M

MCHUMIPESA

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2012
2,093 8 0
Kimewauma eee haooooo hata aibu hamna bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi aliye juu kesha ukiomba ashukeee babuuu looooohhhh aibuuuuu
Bahati gan ya kuiba pembe za ndovu?.Unaonekana wew ni vidole juu,toa mipasho yako hapa ipeleke kwenye taarab,ni yale yale kasoro tarehe.Wez wakubwa nyie!Yaone.Hatuwez kukaa na watu waovu,majambaz na matapeli.Tafute usia wa nyerere kuhusu sfa za kiongozi na cyo kukurupuka tu!
 
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Messages
7,936
Likes
382
Points
180
Age
85
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2012
7,936 382 180
Wewe acha zingu kwani ni uongo?Si akanushe mwenyewe?Tunakuwa na maviongozi majambazi na mafanyabiara ya madawa ya kulevya.Kama ni uongo aje akanushe hapa mwenyewe na cyo wewe kujweka kimbelembele 4 nothng.Who a u by the way?
kwanini mnakula hela za sabodo lakini hamuulizi uraia wake?kinana hana mda mchafu kuja kujibu simple mind kama ya kwako unaejadili maisha ya watu badala ya kujadili ideas.nimekupa tu kwa faida ya wengine.kinana ni mtz ndio mana alitumikia jeshi zaidi ya miaka 30 akastaafu kama mbowe avokuwa bot alivowekwa na mkwe wake
 
mangikule

mangikule

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Messages
3,326
Likes
1,353
Points
280
mangikule

mangikule

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2012
3,326 1,353 280
Hoja haina nguvu!Utumikie JWTZ kwa nuda mrefu ukiwa sio MTZ!Aaah,kama ni rangi wapo kibao CCM Tanzania ukianza na Megji,Seif (CUF),Bashe, Rostam,Abood,shabiby,"Sabodo", ............weeeeeengi!Waacheni watanzania wawe huru ndani ya nchi yao bwana!Mbona Obama ni Rais wa Marekani!
Masaburi masaburi masaburi masaburi pwaaaaaaaa! Hukumbuki mlivyomchimba Salum Ahmed Salum alipotaka kuingia kwenye kinyang'anyiro na dhaifu!! Hiyo dhambi itawatafuna mpaka mwisho=nemesis!!
 
Forum statistics

Threads 1,238,200
Members 475,856
Posts 29,312,607