Hivi Kinana ni lini alikana uraia wa Somalia?

Wale wazigua ndo mi walinizingua hadi nikawachukia akina Kinana! Fikiria tangia meli iwabwage wakiwa watumwa kwenye rasi ya pembe ya afrika hadi wamerudi zaidi ya karne moja bado walikuwa wanaongea kizigua. Maana yake akina Bashe hawakuwapokea wala kuwaruhusu kuoa au kuolewa na wao na hivyo hata kisomali wakaambulia patupu! Jamani TZ safi maana hao ndo tunawapa uwaziri wa ulinzi na majeshi hapa kwetu kwao lalalalala!!!! Haya yangu macho.

sio wewe tu hata mimi mapenzi yangu kwao yalikwisha baada ya kusikia visa vya hao wazigua,mana walikuwa wanadhalilishwa balaa,walikuwa wanaitwa abidi,yaani watumwa kha!! toka miaka hiyo hadi leo status yao ni hiyo hiyo,
hawakuruhusiwa hata kuoa mabinti wa kisomali wala kupata kazi,wala kupata ujumbe wa nymba kumi,wala ubalozi,yaani walikuwa wanaitwa takataka,lakini embu angalia kwetu wasomali wnavyoenjoy hadi serikalini,sa sijui sisi tuna matatizo gani,sijui TUMELAANIWA!!?? yaani nashindwa hata cha kuongea,sehemu pekee salama kwa mwafrika ni Afrika,sasa iweje na sisi tunawaachia hawa wageni wanatutawala wakati hapa ni kwetu?? ilitakiwa wao wakija huku waonje shubiri kama sisi tunavyoonja tukienda kwao,kwani si huwa tunatumikishwa sisi na kudharauliwa.
 
Inaonekana wewe ni mtu wa karibu na Kinana,naomba umshauri kwasababu ameamua kurudi ktk majukwaa ya siasa ajibu tuhuma hizi juu ya uraia wake. Karibia miaka 20 sasa tuhuma hizi zipo mitaani lakini yeye amekaa kimya. Anaficha nini? Wakati baba yake alipokwenda Ofisi ya Elimu mkoa wa Arusha kumuombea Abdlrahman ajiunge na Elimu ya Msingi alikua ametokea Somalia,hata lugha ya kiswahili ilikua matatizo!

Haya na baba ake ulimuonea wapi? mbona alifariki Kinana akiwa na miaka 16?
 
Nakukumbuka wakati wa uchaguzi wa mwaka 1995 kinana aliacha kuchukua fom ya kugombea ubunge baada ya NCCR Mageuzi kusema kuwa sio raia kwani ana uraia wa Tanzania na Somalia. Kinana alingia na babaake Tanzania akiwa na miaka 8 na alikataa kuukana uraia wa Somalia.

Hii ndio hoja, tujibu/tuchangie hoja wana JF. Ni hoja nzito kwa maoni yangu.
 
Baada ya kuuanza tu kuchunguzwa juu ya uraia wake faili lake liliibiwa ofisini kwetu idara ya uhamiaji katika mazingira ya kutatanisha. Hadi sasa hakuna ajuaye faili lake la kuomba passport linatunzwa masijala gani?


Thanx Hoja ya msingi
 
bado sijajibiwa swali langu jamani,je kinana mke wake ni msomali pia? na je watoto wake nao muonekano wao ni wa kisomali pia??
 
Watanzania wazawa halisi ni watu wa mikoa ya Dodoma, Singida, Morogoro, Shinyanga na Mwanza mpya baada ya Geita kuondoka.

Mtoa uzi hajasema sio mtanzania, anachouliza ni je alishaukana uraia wa Somalia?

Je unapinga kuwa hakuwahi kuwa drugs dealer? Na je hizo machine za kufulia hakuzipora? Je meli yake haikubeba pembe za ndovu kuzitorosha?

Hayo ndo maswali ya msingi yanayopaswa kujibiwa hapa.
 
Watanzania baada ya tukio la Kenya nimejiuliza maswali mengi sana na hayana majibu na bado sijapata majibu,nimeona niwashirikishe ili mnipe majibu kama mnayo
1, Hivi Mh Katibu Mkuu Kinana aliwahi kukana uraia wake wa Somalia kama ilivyo taratibu za uhamiaji zilivyo? Kama tayari sawa na kama bado kwa nini?
2,Tanzania kama nchi imejifunza nini kutokana na tukio la Kenya? Kwanini nauliza hivyo,tunajidai hamnazo au ni kwa sababu ya umaskini wetu tunaweza kumsaidia hata gaidi kuingia nchini,na sisi ndio tunamhifadhi na kumsaidia,ni wageni wangapi ambao wameingizwa nchi hii kwa msaada wa viongozi wakubwa kuruhusu wakae? Wageni kama Wasomali walioingia kwa mgongo wa Kinana,wachina waliojaa Kariakoo,wahindi wanaosaidiwa na wahindi wenzao wanaingia wanafungiwa ndani wanatafutiwa hati za kuishi hapa nchini na zinzpztikana bila kuelewa walikotoka,kutokana na umaskini wa wafanyakazi wa Tanzania baada ya kupokea rushwa na kuwapa hati hizo,unamjua huyu uliyempa hati hii? Wapo wakongo,waganda na watu wa mataifa mengi tu humu nchini wanaoishi kwa vibali vilivyotolewa kwa rushwa na watanzania wenyewe,halafu tunawaonea baadhi ya watu eti operesheni KIMBUNGA hata sijui imefikia wapi sasa hivi,

DCI amesema Tanzania iko tayari akimaanisha kwamba kiulinzi,niulize hivi ingekuwa hao AL SHABAAB wamevamia Tanzania tungefanyaje? Hatuko makini kama Kenya ambako mgeni ukionekana haueleweki tu wanakukamata sembuse Tanzania ambako mtu akijua kiswahili tu unajua ni mwenzako na mbaya zaidi kwa umaskini hata akikupa pesa kidogo utamsaidia kila kitu,tuko tayari kweli kwenye mazingira kama haya?

3,Kenya wanasema wamewaua hao Al shabaab 6 lakini hamna hata picha ya mmoja iliyoonyeshwa na inawezekana hao watu waliondoka eneo hilo na jeshi la Kenya likiwepo na silaha zao wakiwa nazo,wamewazidi ujanja wamewapita wamelala unaemtafuta anakupita anakuangalia unavyohangaika,Je majeshi yetu yako makini kiasi gani? TISS,POLISI,JWTZ wamejiandaa kiasi gani kukabiliana na matukio kama haya? Au wao wanajiandaa kupigana na wapinzani wanaacha mambo ya msingi?

Sasa hivi ugaidi ni tishio Dunia nzima majeshi ya Tanzania yanajiandaa kupambana na wapinzani hivi kweli

Nina wasiwasi hata wale ambao Kenya wanatangaza kwamba ni magaidi wala sio wenyewe,wao walishaondoka saa nyingi,na kuwapita wanaowasaka wanatambaa kumtafuta asiyekuwepo katoa nguo kavaa zingine,very shame kwa jeshi la Kenya,ilitakiwa majeshi yetu wapate somo hapo,kulinda mipaka na raia wake lakini wapo kwa kupambana na wapinzani CHADEMA ,CUF,NCCR kweli?

Tuache mchezo na tujiulize kama ingekuwa kwetu ingekuwaje? Sababu watu 10 au15 wametoa kamasi watu wengi na si ajabu hawakukamata hata mmoja

Tulinde nchi yetu tuache kugeuza majeshi vyama vya siasa au vyombo vya kukandamizia wanasiasa badala yake tufanye mambo yenye manufaa kwa nchi yetu

Operesheni Kimbunga ipitie kwa woote hata wahindi,wasomali iko siku lililotokea Kenya litatokea Tanzania kwa kupitia hawa wageni wanaokaribishwa na kupewa vibali na uraia bila kujua kwamba huko kwao katoka baada ya kufanya nini
 
Hajawahi kuukana na mara nyingi hapa JF kuna taarifa zimekuja kwamba ni mfadhili wa alshabab na ni fund raiser kwa wahamiaji haramu wa kisomali
 
Aaah mwacheni kinana afanye kazi zake jamani, inaonekana Kinana kawashika vibaya CDM kawasambaratisha sasa CDM wanahangaika.
Katibu mkuu wa CDM kapambanishwa na gwiji la siasa za bongo kinana, kwa sasa slaa amepotea kabisa.

Kinana ni jembe hasa endeleza moto huohuo kamata CDM hao mpaka sasa tayari wanapumulia machine ICU ahaah

.....

Nakukumbuka wakati wa uchaguzi wa mwaka 1995 kinana aliacha kuchukua fom ya kugombea ubunge baada ya NCCR Mageuzi kusema kuwa sio raia kwani ana uraia wa Tanzania na Somalia.

Kinana alingia na babaake Tanzania akiwa na miaka 8 na alikataa kuukana uraia wa Somalia.Amekuwa akifanya biashara ya madawa ya kulevya mandrax na mdogo wake Ahmed Nuru Kinana ambaye alimpa machine za kufulia zizokuwa msaada kutoka kwa waisani kwa ajili ya hospatal ya Mount Meru.

Sasa hivi Ahmed ndio kinara wa kuingiza wasomali na waethopia wanaokwenda kusini.
 
Hajawahi kuukana na mara nyingi hapa JF kuna taarifa zimekuja kwamba ni mfadhili wa alshabab na ni fund raiser kwa wahamiaji haramu wa kisomali

Wewe muongo tena huna hata haya, kujibishana na mtu kama wewe nikujivunjia heshima.
 
Kwa lugha ya kihaya Kinana ni ndizi mbivu baba yake alimpachika hivyo hivyo wakati wanawasiri
 
kwanini mnakula hela za sabodo lakini hamuulizi uraia wake?kinana hana mda mchafu kuja kujibu simple mind kama ya kwako unaejadili maisha ya watu badala ya kujadili ideas.nimekupa tu kwa faida ya wengine.kinana ni mtz ndio mana alitumikia jeshi zaidi ya miaka 30 akastaafu kama mbowe avokuwa bot alivowekwa na mkwe wake

Kwa jinsi mapovu yanavyokutoka Kinana atakuwa alimjua mamako!
 
Aaah mwacheni kinana afanye kazi zake jamani, inaonekana Kinana kawashika vibaya CDM kawasambaratisha sasa CDM wanahangaika.
Katibu mkuu wa CDM kapambanishwa na gwiji la siasa za bongo kinana, kwa sasa slaa amepotea kabisa.

Kinana ni jembe hasa endeleza moto huohuo kamata CDM hao mpaka sasa tayari wanapumulia machine ICU ahaah

.....

Duh!akili ikichanganika na kinyesi bhana,lazima tushuhudie post kama za Gulit.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom