ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,292
- 4,967
system
Wanasema tatizo la ufisadi ktk nchi yetu ni "mfumo"ndiyo maana hata baada ya lowassa kujiudhuru mwaka 2008,umeendelea..! Me nauliza huo mfumo ni kitu gani sasa ambacho binadamu hawa(watuhumiwa)hawahusiki!??
Slaa kaminywa uhuru wake
kha!! aulizwe slaa tena?!!!!!!!!!!!! yashakuwa hayo??!!! kweli ccm mburula
ahahahaahaah, mmeliwa mwaka huu, mmeshaingizwa mjini na watoto wa mjini kina mbowe.
Kimsingi tunaongelea jambo moja, na tunakubaliana, ila tofauti yetu ni kitu kidogo sana. Kuna jambo ndogo tu hutaki kulielewa.
well. nikuulize kitu, hapo kwenye red, je unaweza kuweka kanuni ya kuongoza chochote kile katika nchi bila kuwa na katiba kwanza? Jibu hapa ni hapana, kwa sababu, kabla hujatengeneza kanuni au mwongozo mwingine wowote ule (iwe sera, sheria, kanuni, utaratibu, waraka nk nk) lazima kwanza ujue/ufanye reference ya Kanuni/sheria/mwongozo mama (yaani katiba) ili ujue kwanza katiba inasemaje juu ya hiyo sub kanuni unayotaka kutunga. Sababu ya kufanya hiyo reference ni kwamba, na kama ulivyosema wewe mwenyewe, haitakiwi itungwe kanuni, sera, sheria, mwongozo, au utoe waraka wowote ambao unapingana na katiba la sivyo kanuni hiyo itakuwa ni illigal. vivyo hivyo na mifumo inatengenezwa na sheria sera kanuni (ambazo zinatokana na/au sharti zilandane na katiba ya nchi) na ambazo zinaboreshwa siku hadi siku ili kuifanya mifumo ufanye kazi vema zaid na zaid. Ndo maana ulikuwa unaona watu wenye akili kama cdm na ukawa walikuwa wanahoji uwepo kwanza wa mifumo ( sera, sheria, kanuni nk) ya uendashaji wa biashara ya gesi kabla gesi haijaanza kuchimbwa na kabla mikataba haijaanza kuingiwa. Lakini ninyi ccm, kama kawaida yenu, mlikuwa mnakimbilia tu kuchimba gesi kabla hata ya kutengeza hiyo mifumo ya kusimamia hiyo kazi. Anyway, ni uzuzu fulani ambao tunataka sasa kushirikiana na Lowassa kuundoa.
Kwa hiyo, kimsingi, Sipingani na maelezo yako ila nachokuelewesha ni kuwa katiba ndo kanuni ya kwanza kabla ya kanuni nyingine zote, ndo sheria, sera, mwongozo wa kwanza unaozaaa miongozo mingine yote hence mifumo yote ya uendeshaji nchi
Mfumo wa CDM ni upi sasa utaolekebisha watu kwa maajabu kiasi hicho? Maana kina Zito, Arfi, Kitila, Mwigamba, Shonza, Shibuda etc walikuwa humohumo na mfumo wa CDM ulishindwa kuwabadilisha mpaka wakaitwa wasaliti.
Besides, ukiniuliza mimi naona CDM ndo wana mfumo mbaya eg kubadilisha katiba ya chama ili kuruhusu watu kubaki madarakani, kuendesha mchakato wa mgombea urais kwa usiri, kutesa wakosaji bila kufata sheria (Kagenzi) etc
Juhudi za kumsafisha Lowassa zimeshika kasi hasa humu jamvini..!
Viongozi wa ukawa walipoulizwa juu ya ufisadi wa Lowassa,walidai tatizo la ufisadi si lowassa bali ni "mfumo" Tangu hapo wapenzi wa upande huo wamekuwa wakiitetea sana hoja hiyo. Me naomba wanisaidie,hivi kinachoitwa mfumo ni kitu gani,maana tunaaminishwa kana kwamba hicho kinachoitwa mfumo ni kitu hivi cha kushika.
Hata ccm yenyewe huwezi kuishika hivi mkononi,utakuta kuna viongozi,wanachama,sare,katiba nk.
Hivi kwa mfano viongozi wote walioko ccm na serikali yake wote wakihamia chadema,huo unaoitwa mfumo utabaki ccm kwenye majengo au utakuja chadema walikohamia wenye mfumo!??
Yaani eti hata wakija chadema rostam azizy;nazir karamagi,andrew chenge nk. Eti mfumo utakuwa umebaki ccm na wahusika watakuwa safi!!!
Acheni bhaana..
hii katiba au mfumo huu haukuweko huko nyuma kipindi cha mwalimu?au katiba imebadilika?ufisadi ni wizi tu?wanasiasa waache kuhadaa watu,ccm haina sera ya ufisadi ila viongozi ndiyo mafisadi na wezi,nyerere mwenyewe alikuwa mwizi.
Kitu gani kinakupa imani kwamba hao mnaowapokea kutoka huko kwenye mfumo mbovu na mnawapa nafasi za juu kabisaa,kwamba hawatafanya yale waliyokuwa wakifanya wakiwa huko!!??Siyo vizuri mtu mwenye akili timamu kujitoa fahamu! Kii usichoelewa hapo!!? Kama CCM ingekuwa na mfumo wa Utawala unaopiva vita ya kweli rushwa na ufisadi tusingesikia utitiri wa matukio ya ufisadi hata baada ya EL kujiondoa Serikalini. Lowasa mwenyewe ameeleza namna Mamlaka za juu zilivyohusika ktk sakata la Richmond. Huo ndio mfumo mbaya tunaozungumza. Pia tabia ya CCM kukosa uwezo wa kukemea Serikali pale inapoboronga ni moja wapo ya mifumo mibaya. Kudharau katiba ya wananchi (Ya Warioba) ili kulinda maslahi ya wachache pia ni mfumo m'baya.
Juhudi za kumsafisha Lowassa zimeshika kasi hasa humu jamvini..!
Viongozi wa ukawa walipoulizwa juu ya ufisadi wa Lowassa,walidai tatizo la ufisadi si lowassa bali ni "mfumo" Tangu hapo wapenzi wa upande huo wamekuwa wakiitetea sana hoja hiyo. Me naomba wanisaidie,hivi kinachoitwa mfumo ni kitu gani,maana tunaaminishwa kana kwamba hicho kinachoitwa mfumo ni kitu hivi cha kushika.
Hata CCM yenyewe huwezi kuishika hivi mkononi,utakuta kuna viongozi,wanachama,sare,katiba nk.
Hivi kwa mfano viongozi wote walioko ccm na serikali yake wote wakihamia chadema,huo unaoitwa mfumo utabaki ccm kwenye majengo au utakuja chadema walikohamia wenye mfumo!??
Yaani eti hata wakija CHADEMA, Rostam Aziz,Nazir Karamagi,Andrew Chenge nk. Eti mfumo utakuwa umebaki CCM na wahusika watakuwa safi!!!
Acheni bhaana..
ccm bana! ok basi umeshinda.Tunapo kubaliana ni kuwa katiba ni sheria mama, lakini wewe unaendelea kuchanganya zao la mfumo wa uendeshwaji serikarini pia unategemea katiba hapo ndio tunapopingana.
Kwa mfano CAG kagundua kuna tatizo la mishahara hewa, already kuna sheria za ubadharifu kwenye criminal law already sasa hapo kutatuwa tatizo sugu la kuzuiwa huu uwizi unahitaji sheria nyingine tena kutatua tatizo au management creativity kama vile electronic management information systems kwenye kila taasisi mfano electronic log inns or anyother operation management tools and reasoning to ensure supervision of their resources kutoka wizarani kuweza kuangalia resources zao kwa umakini? Kwa sasa tatizo kulitatuwa wameamua kulipa mabenki moja kwa moja kitu gani kinazuia watu kuajiriwa na kutakiwa kupeleka nusu kwa boss kama dili ilihali awaingii maofisini kwa hivyo sidhani kama ni mwarobaini kamili.
In short system za serikari ni jinsi mambo yanavyofanyika na kusimamiwa kufikia malengo sheria nyingi zipo sambasamba na katiba lakini for the most part ni administrative laws tu jinsi watu watakavyofanya vitu lakini bado kuna wigo kubwa sana la management abilities kwenye kutekeleza hayo mambo na mengi ayahitaji sheria ni management creativity people go to school to learn those skills wala sio sheria. Mfano CAG akisema tatizo la ufisadi pia unachangiwa na poor management abilities utaweka sheria gani? wakati already huyo mtu labda ana phd, kwa hivyo swala linaweza kuwa serikari kutomwekea measurable performances za kazi zake na jinsi ya kugagua taasisi anayo iongoza kuhakikisha ufisadi aupo kabisa kwenye taasisi kwa hivyo hapo ni management system inahitajika sio sheria.
Swala la mikataba pia sheria aiwezi weka kila kitu zaidi ya ku-cover privity tu or rules of consideration kwa sababu mambo ya kuzalisha yanategemea faida za pande mbili ambayo yanaweza kuwa complicated kwenye hesabu zenyewe za ROI ambayo inataka uwe technical as per joint venture wakati mnaandika mkataba husika. Kwa hivyo lazima kuwe na wigo to negotiate pia.
Katiba sio system toa hicho kitu kwenye kichwa chako.
Too lowSystem ni Kitengo ni kakikundi kadogo tu ka watu kan akopatikana katika kila taasisi ndani ya CCM System ndio waliompachika Edward kupeperusha bendera ya CCM ndani ya Chadema ndio waliomzawadia uanachama Edward wakamzawadia na ugombea uraisi ukitaka kujua nguvu ya CCM ni kubwa kuliko chama kizima pale anapojiunga ndani ya chama ndani ya siku tatu tuu anapewa nafasi ya kugombea nafasi ya uraisi sina uhakika kama huyu mtu alipata hata mda wa kusoma katiba na sera za chama lakini System ikiamua hakuna wa kupinga
ni mfumo wetu safi ndo unaotupa imani.Kitu gani kinakupa imani kwamba hao mnaowapokea kutoka huko kwenye mfumo mbovu na mnawapa nafasi za juu kabisaa,kwamba hawatafanya yale waliyokuwa wakifanya wakiwa huko!!??
Tunapo kubaliana ni kuwa katiba ni sheria mama, lakini wewe unaendelea kuchanganya zao la mfumo wa uendeshwaji serikarini pia unategemea katiba hapo ndio tunapopingana.