Hivi kinachoitwa MFUMO ni kitu gani?

Hivi kinachoitwa MFUMO ni kitu gani?

magode

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2014
Posts
2,204
Reaction score
3,339
Juhudi za kumsafisha Lowassa zimeshika kasi hasa humu jamvini..!

Viongozi wa ukawa walipoulizwa juu ya ufisadi wa Lowassa,walidai tatizo la ufisadi si lowassa bali ni "mfumo" Tangu hapo wapenzi wa upande huo wamekuwa wakiitetea sana hoja hiyo. Me naomba wanisaidie,hivi kinachoitwa mfumo ni kitu gani,maana tunaaminishwa kana kwamba hicho kinachoitwa mfumo ni kitu hivi cha kushika.

Hata CCM yenyewe huwezi kuishika hivi mkononi,utakuta kuna viongozi,wanachama,sare,katiba nk.

Hivi kwa mfano viongozi wote walioko ccm na serikali yake wote wakihamia chadema,huo unaoitwa mfumo utabaki ccm kwenye majengo au utakuja chadema walikohamia wenye mfumo!??

Yaani eti hata wakija CHADEMA, Rostam Aziz,Nazir Karamagi,Andrew Chenge nk. Eti mfumo utakuwa umebaki CCM na wahusika watakuwa safi!!!

Acheni bhaana..
 
Ngoja nikusaidie kushangaa ndugu yangu.........maana watu waliokuwa wakituaminisha kuwa LOWASA NI FISADI na wakasema ushahidi wanao....leo hii wanataka kutuambia kuwa ni msafi na kumuita fisadi ni kumchafua.......kweli kuishi kwingi ni kuona mengi.........
Wanasema tatizo la ufisadi ktk nchi yetu ni "mfumo"ndiyo maana hata baada ya lowassa kujiudhuru mwaka 2008,umeendelea..! Me nauliza huo mfumo ni kitu gani sasa ambacho binadamu hawa(watuhumiwa)hawahusiki!??
 
hii ni ngumu kumeza UPAWA hapa hawawezi kupagusa ni pamoto kwa kuongezea hivi huo mfumo ni kiumbe kilicho hai ama hakina uhai na kama kina uhai je kina masikio? kina macho? kinanusa?
kama si kiumbe hai icho kiumbe mfumo kimetengenezwa kwa materials zip? udongo? mbao? chuma? au vito?
 
Mfumo wa ovyo unaozungumziwa nadhani ni jinsi chama tawala kinavyo isimamia serikari kuakikisha matumizi na sera azichakachuliwi ovyo, nidhamu ya wafanyakazi wa serikari na wanachama wa vyama pia wanavyo behave.

Kikawaida kila mfanyakazi anawekewa code of conduct kutokana na malengo ya taasisi na utaukumiwa kwa kuvunja hivyo iwe usimamizi legelege wa kitengo unacho ongoza, hasara uliyoitia taifa, mwenendo wa ovyo wa kiongozi kimaadili, ubora wa taasisi na wafanyakazi wake katika kueshimu code of conduct, etc.

Kwa hivyo nadhani wanaposema mfumo huko ovyo serikarini kwa kweli kuna hoja leo hakuna jitihada zozote za serikari despite CAG kuanzia kwa Utoh na huyu wa sasa wote kusema kuna kupwaya sana kwenye management levels za serikari and lack of creativity on running most organization inayosababishia ufisadi na inefficiency on quality of the services.

Kipi kimebadilika kutatua hilo hakuna, kwa maana hiyo chama tawala bado kinalea mfumo usio efficiency kwenye kutatua tatizo la ufisadi hakuna imposition of strict adherence of code of conduct in public sector nor thorough organization function audit to rectify repeating offences and slack supervision sanasana watapewa seminar tu.

Tanzania mtu anaweza jiamkia tu asubuhi na kubuni kodi bila ya kujali or introduce fees na kuchakachuwa hili taasisi yake ipate hela za kufanya tafrija na pengine kufisadi to name a few.

Mfumo ni tatizo hila CDM awana majibu vinginevyo wakependekeza hila yap hoja yao ya ufisadi ni product ya utawala mmbovu na supervision mechanism iliyozaa watu kama akina Lowassa, Chenge, Karamagi et al na bado kuwepo mtaani inasimama kialali.

thesunfrontpage--(None)_MED.jpg

This is him in private

sewel_3387803b.jpg


The same man in public utadhani mtu wa maana.

Jana kwenye nchi za wenzetu kiongozi na mwakilishi imebidi aachie ngazi kwaku pigwa picha anatumia mihadharati, yuko na prostitute and his somewhat perplexing pose; hakuna alichovunja kisheria bali under the code of conduct ya kiongozi wa taifa this is unacceptable.

Sasa tena kwa yale anayoleta CAG wetu ambapo kuna serious issues of flaws on mfumo which could save the nation billions of money if not a trillion by only implementing a better system of supervision na bado hakuna maamuzi sahihi we have a problem.
 
Mfumo ni kama kichaka au dimbwi la maji au kisima ambacho vitu au wadudu au mimea inayofanana/isiyofanana huishi humo, sasa ndani ya kichaka hicho vitu au wadudu waliomo wanaweza wakafanana kwa maana ya kwamba wote wamo kichakani au dimbwini lakini vile vile wanaweza wasifanane kwa baadhi yao kitabia, hulka, kimtazamo na kiakili.

Sasa Lowassa alikuwa ndani ya kichaka (CCM) ilikuwa lazima ajumuishwe ndani ya orodha kwa kuwa kwake ndani ya kichaka (mfumo).

Kuwa ndani ya mfumo haina maana ya kwamba unakubaliana na kila kitu, na ujue kuwa ndani ya kichaka (mfumo) kila mmoja ana maslahi yake.

Vile vile, Dr. slaa hakukosea kumtaja El kwa sababu ni kama alimtuhumu siyo kumhukumu....hivo anaweza kumuondoa katika orodha hiyo.
 
Miaka ya tisini kulikua na shule inaitwa Tambaza, ilisifika kwa fujo , uhuni na uuaji wa makondakta na wanafunzi wa shule nyingine, baada ya tatizo kuwa sugu , suluhisho lilikua kuwaondoa wanafunzi wote wa O level , na kuwasambaza kwenye shule nyingine, na hapo tiba ya tatizo ikapatikana.

Maana ya mfumo soma hapo chini.

system
ˈsɪstəm/
noun
noun: system; plural noun: systems; noun: the system

  • 1.
    a set of things working together as parts of a mechanism or an interconnecting network; a complex whole.
    "the state railway system"
    [TABLE="class: vk_tbl vk_gy"]
    [TR]
    [TD="class: lr_dct_nyms_ttl"]synonyms:[/TD]
    [TD]structure, organization, order, arrangement, complex, apparatus, network; Moreadministration, institution;
    informalset-up
    "the legal system"



    [/TD]
    [/TR]
    [/TABLE]


    • Physiology
      a set of organs in the body with a common structure or function.
      "the digestive system"


    • the human or animal body as a whole.
      "you need to get the cholesterol out of your system"


    • Computing
      a group of related hardware units or programs or both, especially when dedicated to a single application.


    • Geology
      (in chronostratigraphy) a major range of strata that corresponds to a period in time, subdivided into series.
      "the Devonian system"


    • Astronomy
      a group of celestial objects connected by their mutual attractive forces, especially moving in orbits about a centre.
      "the system of bright stars known as the Gould Belt"


    • short for crystal system.





  • 2.
    a set of principles or procedures according to which something is done; an organized scheme or method.
    "a multiparty system of government"
    [TABLE="class: vk_tbl vk_gy"]
    [TR]
    [TD="class: lr_dct_nyms_ttl"]synonyms:[/TD]
    [TD]method, methodology, technique, process, procedure, approach, practice, line, line of action, line of attack, attack, means, way, manner, mode, framework, modus operandi; More[/TD]
    [/TR]
    [/TABLE]




 
Mfumo ni Mkusanyiko au Muunganiko wa vitu au sehemu ndogo zinazounda kitu kigumu au kitu kimoja.

Kwa tafsiri hii Mfumo unaoongelewa hapa ni Mfumo wa kifisadi ambao umo ndani ya CCM na Serikali yake ambao ni muunganiko wa Watu (Viongozi) na Tasisi mbalimbali za Serikali chini ya Usimamizi wa CCM (Chama Tawala) zinashirikiana kuwezesha Fisadi mbalimbali zinazotokea Nchini.

Kutokana na ukweli huu Mfumo unajumuisha watu wengi na wakati mwigine Taasisi zaidi ya moja. Hivyo katika Mfumo huu wa Kifisadi hata ukimtoa Mtu moja bado haibadilishi kitu, japo Mtu huyu mmoja mkimtoa anweza kubadilika. Kuvunja Mfumo ni Kuondoa Msimamizi wa hawa Watu (viongozi) na Taasisi za Serikali ambae ni CCM
 
Mfumo wa ovyo unaozungumziwa nadhani ni jinsi chama tawala kinavyo isimamia serikari kuakikisha matumizi na sera azichakachuliwi ovyo, nidhamu ya wafanyakazi wa serikari na wanachama wa vyama pia wanavyo behave.

Kikawaida kila mfanyakazi anawekewa code of conduct kutokana na malengo ya taasisi na utaukumiwa kwa kuvunja hivyo iwe usimamizi legelege wa kitengo unacho ongoza, hasara uliyoitia taifa, mwenendo wa ovyo wa kiongozi kimaadili, ubora taasisi na wafanyakazi wake katika kueshimu code of conduct, etc.

Kwa hivyo nadhani wanaposema mfumo huko ovyo serikarini kwa kweli kuna hija leo hakuna jitihada zozote za serikari despite CAG kuanzia kwa Utoh na huyu wa sasa wote kusema kuna kupwaya sana kwa kwenye management levels za serikari and lack of creativity on running most organization inayosababishia ufisadi.

Kipi kimebadilika kutatua hilo hakuna, kwa maana hiyo chama tawala bado kinalea mfumo usio efficiency kwenye kutatua tatizo la ufisadi hakuna imposition of strict adherence of code of conduct in public sector nor thorough organization function audit to rectify repeating offences and slack supervision.

Tanzania mtu anaweza jiamkia tu asubuhi na kubuni kodi bila ya kujali or introduce fees na kuchakachuwa hili taasisi yake ipate hela za kufanya tafrija na pengine kufisadi to name a few.

Mfumo ni tatizo hila CDM awana majibu yap ufisadi ni product ya utawala mmbovu na supervision mechanism iliyozaa watu kama akina Lowassa, Chnege, Karamagi et al na bado kuwepo mtaani.

thesunfrontpage--(None)_MED.jpg


Jana kwenye nchi za wenzetu kiongozi mwakilishi imebidi aachie ngazi kwaku pigwa picha anatumia mihadharati, yuko na prostitute nad his pose; hakuna alichovunja kisheria bali under the code of conduct ya kiongozi wa taifa this is unacceptable. Sasa tena kwa yale anayoleta CAG wetu ambapo kuna serious issues which could save billions if not a trillion in supervision na bado hakuna maamuzi sahihi we have a problem.

Mfumo wa CDM ni upi sasa utaolekebisha watu kwa maajabu kiasi hicho? Maana kina Zito, Arfi, Kitila, Mwigamba, Shonza, Shibuda etc walikuwa humohumo na mfumo wa CDM ulishindwa kuwabadilisha mpaka wakaitwa wasaliti.

Besides, ukiniuliza mimi naona CDM ndo wana mfumo mbaya eg kubadilisha katiba ya chama ili kuruhusu watu kubaki madarakani, kuendesha mchakato wa mgombea urais kwa usiri, kutesa wakosaji bila kufata sheria (Kagenzi) etc
 
Mfumo ni Mkusanyiko au Muunganiko wa vitu au sehemu ndogo zinazounda kitu kigumu au kitu kimoja.

Kwa tafsiri hii Mfumo unaoongelewa hapa ni Mfumo wa kifisadi ambao umo ndani ya CCM na Serikali yake ambao ni muunganiko wa Watu (Viongozi) na Tasisi mbalimbali za Serikali chini ya Usimamizi wa CCM (Chama Tawala) zinashirikiana kuwezesha Fisadi mbalimbali zinazotokea Nchini.

Kutokana na ukweli huu Mfumo unajumuisha watu wengi na wakati mwigine Taasisi zaidi ya moja. Hivyo katika Mfumo huu wa Kifisadi hata ukimtoa Mtu moja bado haibadilishi kitu, japo Mtu huyu mmoja mkimtoa anweza kubadilika. Kuvunja Mfumo ni Kuondoa Msimamizi wa hawa Watu (viongozi) na Taasisi za Serikali ambae ni CCM
Swali Je hao watu wote wa CCM wakiamia Chadema na chama kikabaki ivoivo huo mfumo umekufa au la???????
 
Ndugu mtoa mada nakwambia kuna maajabu mengi duniani ila inabidi liongezwe ajabu jibya ambalo ni watanzania.

Yaani wanaibiwa mchana kweupe kabisa alafu hawashtuki kama misukule. Mie ngoja niendelee kusubiri Rostam, Chenge na Karamagi kukaribishwa na ukawa alafu mzee mbowe kama kawaida anakupa siasa ni dynamics tunabadirisha gia angani.

Kweli hela mwanaharamu, imenunua hadi Malaika tuliowaamini.
 
Post hii haitapata wachangiaji wengi. Hata hivyo nashangaa kwamba imefika page ya pili hujaitwa "buku 7 wa Lumumba" na vitu kama "Tulia ww kitu kiku-penetreiti, Gamba unaweweseka, Lowassa ni chaguo La mungu" etc.
 
Mfumo wa CDM ni upi sasa utaolekebisha watu kwa maajabu kiasi hicho? Maana kina Zito, Arfi, Kitila, Mwigamba, Shonza, Shibuda etc walikuwa humohumo na mfumo wa CDM ulishindwa kuwabadilisha mpaka wakaitwa wasaliti.

Besides, ukiniuliza mimi naona CDM ndo wana mfumo mbaya eg kubadilisha katiba ya chama ili kuruhusu watu kubaki madarakani, kuendesha mchakato wa mgombea urais kwa usiri, kutesa wakosaji bila kufata sheria (Kagenzi) etc
Yap wanayarudia yale yale wao wenyewe hawana huo mfumo thabiti wakiambiwa mkaguzi anakuja utasikia hesabu zao aziko tayari na walipata hati chafu sujui yenye mashaka kutoka kwa CAG from their accounting books.

Lakini aliondoi tatizo la jumla kwanza CAG anapofika akutakiwi kuwa na hadithi hatupo tayari or else inaondoa the meaning of random checks, ndio maana wewe unaajiri accoutants wako kwa sababu ya vitu kama hivi.

Mbali na CDM au vyama vya siasa hata kwenye taasisi za serikari ni hivi hivi NHC mwaka wa pili wanamaliza awajatoa financial statement publicly na taasisi nyingi za serikari azifanyi hivyo. Ni mwanzo tu kwakweli mfumo wa usimamizi ni tatizo including ndani ya hao hao CDM wenyewe not only with their expenditures but also having a vision on what they want to do with Tanzania.

This is a national problem
 
Ndugu mtoa mada nakwambia kuna maajabu mengi duniani ila inabidi liongezwe ajabu jibya ambalo ni watanzania.

Yaani wanaibiwa mchana kweupe kabisa alafu hawashtuki kama misukule. Mie ngoja niendelee kusubiri Rostam, Chenge na Karamagi kukaribishwa na ukawa alafu mzee mbowe kama kawaida anakupa siasa ni dynamics tunabadirisha gia angani.

Kweli hela mwanaharamu, imenunua hadi Malaika tuliowaamini.

Nakuhakikishia Chenge, Rostam wanaweza kuhamia chama kingine chochote na huko wakawa viongozi wazuri kulingana na utamaduni watakaoukuta huko. Kwa lugha nyepesi, kinachoitwa 'mfumo' hapa ni utamaduni uliojengeka chini ya uongozi wa ccm ambapo wakosaji na wezi wa mali ya umma wenye nyadhifa serikalini hawawajibishwi kwa makosa wanayotenda. Badala yake wanalindwa. Wanasiasa hao wakihamia chama kingine ambacho hakina huo utamaduni wa hovyo, hawana jinsi bali kubadilika.
 
Back
Top Bottom