Hivi kinachoitwa MFUMO ni kitu gani?

Hivi kinachoitwa MFUMO ni kitu gani?

mfumo unaanzia mbali katika kuutengeneza, mbali huko kwa wananchi. ule mfumo wa juu(wananchi,Katiba, Bunge) ungeweza kuuita a Corporate system na huu wa huku chini(wizara, idara, taasisi, regional secretariets, executive agencies, serikal za mitaa nk nk) ni operation systems.

mfumo ni kitu kipana sana, stop being too parochial.

Source: ni mimi mwenyewe
May be it is you who should stop generalizing issues sasa watu wanaibia wapi kwenye katiba au kwenye mifumo hafifu ya kwenye taasisi na usimamizi wake?

Hizo dili za radar, IPTL, Mabehewa ya second, Poor contract terms za kwenye migodi, Mradi wa bandari aliyetaka kupewa mchina sijui mzungu hapo dar uwekezaji wa dollar $50m sijui $30m kwa miaka 50 wakati bandari yenyewe kwa sasa inaingiza zaidi ya hiyo hela kwa mwezi tu, tender za serikari za mitaa na serikari kuu vyote hivi vinafanyikia wapi kwenye operational levels au huko unaposhikilia wewe kwenye katiba?

Ukishapata jibu ndio utajua tatizo la mfumo lilipo zaidi.
 
11825921_864940273587869_584721516591045598_n.jpg
 
sasa kama watu wanaiba na Rais(executive), kwa kujua kuwa katiba mbovu inamlinda kutoshtakiwa, anajigeuza mahakama (Judiciary) kuwaprosecute na kuwa acquit watuhumiwa wa uhalifu, kwa sharti moja tu kwamba warudishe walichoiba, unategemea watu wasiendelee kupiga dili kwa nini?!! hiyo mikataba mibovu, unayoisema, mwenye uwezo wa kusimamia isiwe mibovu, na kuwajibisha, ni bunge (legislature), je bunge la ccm linaiwajibisha serikali yake? wabunge wa ccm wanakimbiza harakaharaka mikataba mibovu, ya wizi, ya gesi kuipitisha harakaharaka baada ya kula 10% na Rais anasaini harakaharaka!!!! sasa kama wabunge (legislature) wanapiga dili za wizi kwa nini nao wakurugenzi wa serikal za mitaa(executive) nao wasipige dili zao huku wakijua kuwa hata wakipelekwa mahakamani mahakama(judiciary) hizo hazipo free and fair kwenye kuwahukumu kwa kujua zinaingiliwa na executive (Rais ndo anawateua Judiciary na ana power juu yao)?

unaona huo mfumo wa kiouvu unavojisokotasokata? ndo maana unaambiwa wizi wa ccm ni wa kimfumo na si mtu mmoja tu kama lowassa au chenge, ni mfumo wote ambao unaanzia kuleeeeee kwenye katiba mbovu
 
Ngoja nikusaidie kushangaa ndugu yangu.........maana watu waliokuwa wakituaminisha kuwa LOWASA NI FISADI na wakasema ushahidi wanao....leo hii wanataka kutuambia kuwa ni msafi na kumuita fisadi ni kumchafua.......kweli kuishi kwingi ni kuona mengi.........

Tangu lini tank thinker akaamini ya kuambiwa?
 
Kama wewe ni kiongozi makini na msafi huwezi kushiriki kuiangamiza nchi yako,inasikitisha watu kuaminishwa kwamba swala la Rich.mond n shinikizo kutoka juu kama uloshinikizwa kwanini usikatae? Ikibidi uachie ngazi au wadhifa wako ili ulinde heshima yako?
 
sasa kama watu wanaiba na Rais(executive), kwa kujua kuwa katiba mbovu inamlinda kutoshtakiwa, anajigeuza mahakama (Judiciary) kuwaprosecute na kuwa acquit watuhumiwa wa uhalifu, kwa sharti moja tu kwamba warudishe walichoiba, unategemea watu wasiendelee kupiga dili kwa nini?!! hiyo mikataba mibovu, unayoisema, mwenye uwezo wa kusimamia isiwe mibovu, na kuwajibisha, ni bunge (legislature), je bunge la ccm linaiwajibisha serikali yake? wabunge wa ccm wanakimbiza harakaharaka mikataba mibovu, ya wizi, ya gesi kuipitisha harakaharaka baada ya kula 10% na Rais anasaini harakaharaka!!!! sasa kama wabunge (legislature) wanapiga dili za wizi kwa nini nao wakurugenzi wa serikal za mitaa(executive) nao wasipige dili zao huku wakijua kuwa hata wakipelekwa mahakamani mahakama(judiciary) hizo hazipo free and fair kwenye kuwahukumu kwa kujua zinaingiliwa na executive (Rais ndo anawateua Judiciary na ana power juu yao)?

unaona huo mfumo wa kiouvu unavojisokotasokata? ndo maana unaambiwa wizi wa ccm ni wa kimfumo na si mtu mmoja tu kama lowassa au chenge, ni mfumo wote ambao unaanzia kuleeeeee kwenye katiba mbovu
Mkuu moshdar me sijui unaelewa kinachotusumbua hapa. Kinachotupa shaka hapa,ni kuruhusu kundi lilelile lije kuwaongoza. Kumbuka Lowassa akichaguliwa kuwa rais,atachaguliwa kwa mujibu wa katiba hii hii iliyopo. Kwa maantiki hiyo anauwezo hata wa kuachana na mchakato wa katiba mpya. Ndo maana sisi wengine pamoja na kuwa ni wapenda mageuzi,mfumo huo uliotufikisha hapa ni pamoja na hao walioukumbatia. Huwezi kuwa unasema eti tatizo ni mfumo siyo watu kana kwamba huo mfumo ni kitu hivi cha kushika na kinajiongoza chenyewe.
 
Last edited by a moderator:

Kati ya wanasiasa ambao wanaesabika kwa kukosa uadilifu kama Chenge na hata huyo chenge wizi aliufanya akiwa mtumishi wa serikari, so as Karamagi and the rest of their clan. Kwa hivyo kati ya wanasiasa na wafanyakazi wa umma nani wanaongoza kwa kuifilisi nchi, mikataba inasainiwa na wataalamu wa serikari, wizara zinaendeshawa na makatibu wakuu na wataalamu wao, na wao ndio wanaofanya tathmini kila kitu sasa mwizi mfanyazaki wa serikari au mwanasiasa for the most part.

Kuna mwanasiasa anaweza iba bila ya kushirkiana na mfanyakazi wa serikari in the first place?
 
uwezo huo aupate wapi? yeye Lowassa anaungwa mkono na UKAWA, je wajua UKAWA ni nini?
 
mkuu hakuna. in most cases, if not always, ni lazima mwanasiasa ashirikiane na technocrat. after all mwanasiasa ndo anayemteua/ mwajiri huyo techonocrat ili atekeleze matakwa (ilani ya uchaguzi) yake mwanasiasa. ndo maana tunasema wizi wa ccm ni wa kimfumo. wanaiba kimfumo kwa kushirikiana na kulindana

kwa jinsi mifumo ya uendeshaji taasisi ulivyo, hasa serikali of all the pepole, si rahis kwa mtu mmoja kuiba hela ya serikali zaidi ya biillions moja au mbili, ijulikane, halafu eti asikamatwe mtu hata mmoja!!!! haiwezekani. ukiona hivyo ujue ni kwa sababu kuna mfumo ovu unalindana.
 
Kama wewe ni kiongozi makini na msafi huwezi kushiriki kuiangamiza nchi yako,inasikitisha watu kuaminishwa kwamba swala la Rich.mond n shinikizo kutoka juu kama uloshinikizwa kwanini usikatae? Ikibidi uachie ngazi au wadhifa wako ili ulinde heshima yako?
na kwa nini huyo aliyeshinikiza alishinikiza? je huyo aliyeshinikiza yeye alifanya sawa kushinikiza? kama hakufanya sawa kwa nini yeye hawajibiki na wala halaumiwi? au yeye yupo juu ya sheria?

infallible president akuamrishe kufanya kitu halafu eti ujifanye kukataa wewe unajipenda?
 
Hahahahaha umenichekesha umeongea vitu usivyovijua au wewe mgeni katika siasa hizi. Joka lenye makengengeza mbona tayari limeshaingia ndani ya nyumba na wala hujazinduka kuliua, na badala yake ndio kwaaanza umelipa chakula lile ili lisije likafa. Viongozi wa ukawa wameshabadili msimamo wa itikadi na wameshasema wamechoka kila siku wanapiga kelele ufisadi ufisadi wameona haulipi sasa na umeshapitwa na wakati kwamba hakuna fisadi wala nini. Wamesema ni nani aliye msafi ambaye anaweza rusha mawe kwa mwenzake ambaye si msafi? ?? Ina maana hakuna msafi dunia hii labda awe malaika. Kilichobaki wametoa ruhusa wooote ruhusa kujiunga nao tupambane kuutoa mfumo.
Sasa mfumo ni nini? Hapo ndio woote tumebaki tumechanganyikiwa. Inavyoonekana woote hao wakihamia chadema basi kule litabaki likitu linaitwa mfumo peke yake basi tutakuwa tumeliepuka milele na milele.
Jamani jamani jamani hivi kweli wameona wananchi ni wajinga kiasi hiki. Hawana uwezo wa kufikiri.??? Maslahi binafsi haya kwa kweli hayataweza kufanya nchi yetu ipige hatua, kwa maana ubinafsi wa kila mtu yarabi nafsi yangu ni kwa manufaa ya mtu mmoja mmoja na si kwa maslahi ya watu wote.
Hivi ni kwanini viongozi mmeamua kuchukua rushwa kiasi hiki kwa mtaji wa wananchi walala hoi.??? Watu wameshakufa kwa sababu ya siasa zenu uchwara za uongo utapeli na uzandiki ambazo hivi sasa mmeamua kugeuka kwa kuwa mmeona hazilipi kwa haraka. Ni kwa niniiiiii? ???????? Mmefanya hivyo?
Mnazungumzia ufisadi, ufisadi haya mafisadi wenyewe mmeamua kuwakumbatia kwa kufuta hukumu hiyo na kuwasafisha utafikiri nyinyi ni mahakimu. Ili mradi malengo yenu yafikiwe. Mlijifanya mna ushahidi wooote wa mafisadi kumbe ni usanii na uongo mtakatifu. Sasa nauliza tuambieni, MNATAKA NA MNATUSHAWISHI TUIONDOE CCM MADARAKANI KWA SABABU ZIPI? ????????
JE MNA TUHUMA GANI MPYA SASA MTAKAZOKWENDA KUKAMPENIA MITAANI ZAIDI YA UFISADI? ?????
Slaa, Lissu, Mnyika, Mdee, Mbowe, Marando, Safari mna lipi jipya la kutuambia. ??????
NADHANI MKAE TU MAJUMBANE MWENU NA WALA HATUWAHITAJI KUWAONA MITAANI KWA USALAMA WENU. MTAJUTA KUZALIWA, WANANCHI HAWAWAELEWI HATA KIDOGO.
Na nasema wananchi wakati umefika sasa tuwape adhabu ya milele majitu haya majizi tu yote.
 
mkuu hakuna, in most cases, if not always, ni lazima mwanasiasa ashirikiane na technocrat. after all mwanasiasa ndo anayemteua/ mwajiri huyo techonocrat ili atekeleze matakwa (ilani ya uchaguzi) yake mwanasiasa. ndo maana tunasema wizi wa ccm ni wa kimfumo. wanaiba kimfumo kwa kushirikiana na kulindana

kwa jinsi mifumo ya uendeshaji taasisi ulivyo, hasa serikali of all the pepole, si rahis kwa mtu mmoja kuiba hela ya serikali zaidi ya biillions moja au mbili, ijulikane, halafu eti asikamatwe mtu hata mmoja!!!! haiwezekani. ukiona hivyo ujue ni kwa sababu kuna mfumo ovu unalindana.
What about mfanyakazi wa serikari anapoiba bila ya mwanasiasa kushiriki, misamaha ya kodi au ukwepaji wa kodi unaofanywa na wafanyabiashara wa ndani inawausu nini wanasiasa katika usimamizi huo, public procurement za wizarani au serikari za mitaa zinausisha wanasiasa kwenye kuamia, wizi wa mbolea uliojitokeza unausisha wanasiasa, ballooning of building kama nyumba ya mwalimu ku-cost sh80m huko Igunga inahusisana vipi na mwanasiasa, malipo hewa ya wafanyakzi yanahusiana vipi na wanasiasa.

Sikatai kuna unscrupulous politicians ambao wanashirikiana na wafanyakazi wa serikari lakini asilimia kubwa ni wafanyakazi wa serikari wenyewe ndio wahusika,na hii inaanzia kwenye service delivery floor levels all the way to senior levels nearly in all organization and ministries za Tanzania.

Moja ya mapendekezo ya CAG ni kubadilisha mifumo ya usimamizi na kuangalia upya uwezo wa senior management kwenye kuendesha mashirika sometimes it just a matter of poor managing skills to detect flaws on their internal operation au kuja na mbinu za kuendesha mashirika. Of course there is so much blame to be shared lakini swala ni mifumo yenyewe pia ina matatizo inayowafanya wanasiasa na wafanyakazi kutenda wanayotenda.

Mwisho wa siku wanasiasa awaajiri kila mfanyakazi wa umma, kwa hivyo some blame is worth being pointed to responsible senior civil servants kosa kubwa serikarini ni kutokuwa na expectations kutoka kwenye taasisi zake na kupima quality offered based on their bench marks or expectations. Mi simjui mkaguzi wa kiwango zaidi ya TBS kwenye bidhaa what about mkaguzi wa huduma za serikari? mkaguzi wa tabia za wafanyakazi wa serikari na mashirika huko atutaki viwango, mkaguzi wa value of government spending etc.
 
uwezo huo aupate wapi? yeye Lowassa anaungwa mkono na UKAWA, je wajua UKAWA ni nini?
Kuungwa mkono na UKAWA wala si hoja hapa,haiwezi kuwa hoja kwa sababu UKAWA yenyewe haipo kisheria na hata makubaliano wanayofanya hayana nguvu za kisheria. Huwezi kujenga hoja kwa kutumia mambo ya kufikirika. Lazima ukubali chadema na ukawa,wamejitengenezea mazingira ya kuchukiwa vyama vyao na wananchi kwa kukumbatia mafisadi kwa kisingizio cha mfumo.

Tulitaka ikulu waingie watu wasio na doa,km dr.slaa mtu ambae hana doa na tangu awe maarufu,amebaki na umaarufu kwa zaidi ya miaka 5. Halafu leo mnamuweka nyuma ya mtuhumiwa wa ufisadi..!! Hii hapana aiseee!
 
mkuu tatizo lako ni lile lile la kuwa paronchial...

nikuulize swali, je unamjua mwajiri mkuu na mkuu wa utumishi wa umma nchini ni nani?

unajua kitu kinaitwa vacarious liability na corporate liability?
 
Kuungwa mkono na UKAWA wala si hoja hapa,haiwezi kuwa hoja kwa sababu UKAWA yenyewe haipo kisheria na hata makubaliano wanayofanya hayana nguvu za kisheria. Huwezi kujenga hoja kwa kutumia mambo ya kufikirika. Lazima ukubali chadema na ukawa,wamejitengenezea mazingira ya kuchukiwa vyama vyao na wananchi kwa kukumbatia mafisadi kwa kisingizio cha mfumo.

Tulitaka ikulu waingie watu wasio na doa,km dr.slaa mtu ambae hana doa na tangu awe maarufu,amebaki na umaarufu kwa zaidi ya miaka 5. Halafu leo mnamuweka nyuma ya mtuhumiwa wa ufisadi..!! Hii hapana aiseee!
mtuhumiwa yupi? kama unaamanisha lowassa, chenge na wengineo wa aina hiyo ni kwamba hao si watuhumiwa tena. mtu ukituhumiwa na baadaye ikathibitika kuwa tuhuma si za kweli basi mtu huyo habakii kuwa mtuhumiwa milele. ukishachunguzwa na ikathibitika si mtuhumiwa basi utuhumiwa unaisha. ccm ilishathitisha, kwa maneno na vitendo, kwamba tuhuma za ufisadi, dhidi ya lowassa na waliokuwa wanaccm wengine kama kina karamagi, muongo nk nk, ni uongo.

sasa wenye serikali wakishasema vyombo vya serikali vimechunguza na vimethibitisha kuwa tuhuma ni uongo sasa mnaililia CDM ili iwasaidieje tena?

Basi kama mmeshindwa kaeni pembeni sasa ili lowassa wa UKAWA awaoneshe ni jinsi gani Lowassa wa ccm, na kina lowassa wengine wa ccm, wanavopaswa kushughulikiwa.
 
uwezo huo aupate wapi? yeye Lowassa anaungwa mkono na UKAWA, je wajua UKAWA ni nini?
UKAWA ni kichaka kinachotumia mfumo wa fumbling about.kisheria hakipo.chadema au KAFU yeyote akitoa nanga ukawa ni haipo.ukawa ni sawa na kichaa anayetafuta rungu.utajua matokeo!
 
yaan wananchi tulivochoka na ufisadi wa ccm tuko radhi hata tutawaliwe na kichaa kuliko ccm.

ccm piga chini haooo.

lowassa hoyeeeeeeeee. twende, twende baba lowassa, angusha ccm.

twende nchimbo, twende kimbasa, twende ma'sophy, twende lugola, twende chengi, twende rostiam, twende musukumo, twendeni jamani, twendeni tuwapige chini ccm.....ahahahahahahaa!!

siku ya kufa nyani
 
Mtoa mada hoja yako dhaifu sana.mfumo ni sheria,kanuni,na taratibu na mfumo unakuwa mzuri pale panapokuwa na utekelezaji wa hizo kanuni na taratibu.
Kwani wageni wakija kwako hata 5 wataishi kutokana na utaratibu wao au taritibu ulizoziweka wewe
 
Back
Top Bottom